IJALI AFYA YAKO

IJALI AFYA YAKO Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IJALI AFYA YAKO, Medical and health, Dar es Salaam.

Tunatibu matatizo yote yanayosababishwa na mfumo mmbovu wa mmeng'enyo wa chakula kama
�Acid Reflux
� vidonda Vya tumbo
�Bawasili
�Choo kigumu, kukosa hamu ya kula
� gesi kujaa tumboni& viungulia n.k

*MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO*>> Kufanyika kwa upasuaji Mkubwa Wa tumbo ili kuondoa eneo lote lililoathirika>> Kushindwa...
07/07/2026

*MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO*

>> Kufanyika kwa upasuaji Mkubwa Wa tumbo ili kuondoa eneo lote lililoathirika

>> Kushindwa tendo la ndoa kwa jinsia zote hususani kwa mwanaume kupungua kwa uwezo Wa kufanyika kazi

>> Kuharibu uti Wa mgongo

>> Bila kuchukua hatua thabiti,kifo hutokea

>> Husabisha Uvimbe tumboni

{VIDONDA VYA TUMBO}

Ni nini Haswa÷

Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika k**a peptic ulcers.

Vidonda hivi hutokea kutokana na mashambulizi ya bakteria wanaoitwa Helicobacter pylori (H.pylori) au kulika kwa ukuta wa tumbo kutokanana na athari za tindikali zilizopo tumboni (stomach acids) k**a vile tindikali ya hydrocloric yaani hydrocloric acid.

Kwa wakati tulio nao hili ni tatizo la kawaida maana limewapata watu wengi na halisabababishi vifo vya watu wengi k**a maaradhi ya saratani na kisukari.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda hivi vimegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni:-

1.Gastric ulcers hivi hutokea ndani ya tumbo la chakula

2.Esophageal ulcers hivi hutokea ndani ya esophagus. Hii ni sehemu inayounganisha kati ya koo la chakula na tumbo la chakula.

3.Duodenal ulcers hivi hutokea kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo inayoitwa duodenum.

SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO

Sababu za kawaida za vidonda vya tumbo ni maambukizo na bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) na utumiaji wa dawa za muda mrefu za aspirini na aina za dawa ziitwazo nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) ni k**a (Advil, Aleve, na nyingine).

Stress (msongo wa mawazo) na vyakula vyenye viungo havisababishi vidonda vya tumbo. Walakini, vinaweza kufanya dalili zako kuwa mbaya zaidi.

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili hizi hutofautiana kulingana na aina za vidonda.

Ila hapa nitaorodhesha baadhi ambazo ni kawaida kwa vidonda hivi.

>.maumivu ya tumbo kutokea kitovuni mpaka kifuani

>.Kukosa hamu ya kula

>.Kutoka na damu na kupata choo cheusi sana au chenye damu

>.Kupungua uzito bila sababu

>.Kutapika na kutapika damu

>.kupata kiungulia mara kwa mara.

>.Tumbo kujaa.

>.Kuchoka Sana

VIPI VIDONDA VYA TUMBO VINATOKEA

1. kutokana na athari za tindikali (asidi):

Vidonda vya tumbo hufanyika wakati asidi kwenye njia ya utumbo inapokula utando mlaini uliopo kwenye uso wa ndani wa tumbo au utumbo mdogo.

Asidi inaweza kuunda vidonda wazi ambacho kinaweza kutokwa na damu.

Njia ya tumbo ya kumengenya chakula imeunganishwa na safu ya utando (mucus) ambayo kwa kawaida hulinda sehemu za ndani za tumbo dhidi ya athari za asidi.

Lakini ikiwa kiwango cha asidi kimeongezeka au kiwango cha utelezi kimepungua, inaweza kusababisha vidonda.

2. Mashambulizi ya Bakteria.

Bakteria aina ya pylori ya Helicobacter kitaalamu huitwa Helicobacter pylori au H.pylori kawaida huishi kwenye safu ya utando laini ambao unashughulikia na hulinda tishu zilizopo kwenye tumbo na utumbo mdogo.

Mara nyingi, bakteria aina ya H. pylori hawana shida, lakini wanaweza kusababisha kuvimba kwa safu za utando laini ndani ya tumbo, na kusababisha vidonda.

Bado wataalamu wa afya hawajatoa maelezo kamili juu ya kwa namna gani jinsi maambukizi ya H. pylori yanaenea. Inaweza kusambazwa kutoka kwa mtu hadi mtu kwa mawasiliano ya kugusana, k**a kumbusu (kiss). Watu wanaweza pia kuambukizwa H. pylori kupitia chakula na maji.

3. Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu. Kuchukua aspirini, na vile vile dawa za maumivu ya juu-na-na dawa inayoitwa nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) zinaweza kusababisha uvimbe kwenye ukuta wa tumbo lako na utumbo mdogo.

Dawa hizi ni pamoja na ibuprofen (Advil, Motrin IB, na nyingine), sodiamu ya naproxen (Aleve, Anaprox, na nyingine), ketoprofen na na nyingine. Dawa hizi hazijumuishi acetaminophen (Tylenol).

Vidonda vya tumbo ni kawaida zaidi kwa watu wazima wazee ambao huchukua dawa hizi za maumivu mara kwa mara au kwa watu ambao huchukua dawa hizi za ugonjwa osteoarthritis yaani ugonjwa wa maumivu ya viungio k**a magoti na kiunoni.

4. Matumizi ya Dawa zingine zisizokuwa hizo zilizotajwa hapo juu. Kuchukua dawa zingine pamoja na zile za NSAIDs, k**a vile steroid, anticoagulants, aspirin ya kiwango cha chini, kuchagua inhibitors ya serotonin reuptake (SSRIs), alendronate (Fosamax) na risedronate (Actonel), kunaweza kuongeza sana nafasi ya kukuza vidonda.

NB: Inawezekana una vidonda vya tumbo Na Umehangaika sana Kwa muda Mrefu kwa maumivu Yake Bila kupata suluhu,

Imekuwa ni Changamoto kwako Kupona !

Nimewasaidia watu wengi kupona Vidonda vya tumbo ndani ya siku 30-60 tu Bila kutumia madawa makali

K**a ungependa nikusaidie Kupona Tatizo hili , wasiliana sasa hivi nami Kwa Whatsapp namba 0684899587

Karibu nikuhudumie

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 (𝟳) 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗗𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗖𝗜𝗗 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 (𝗔𝗖𝗜𝗗 𝗥𝗘𝗙𝗟𝗨𝗫) 👇 na DR EMANUEL MJOLI 𝟭: 𝗞𝗨𝗖𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗞𝗜𝗙𝗨𝗔𝗡𝗜: Hisia ya joto au kuchomwa ...
06/07/2026

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 (𝟳) 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗗𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗖𝗜𝗗 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 (𝗔𝗖𝗜𝗗 𝗥𝗘𝗙𝗟𝗨𝗫) 👇 na DR EMANUEL MJOLI

𝟭: 𝗞𝗨𝗖𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗞𝗜𝗙𝗨𝗔𝗡𝗜:
Hisia ya joto au kuchomwa kifuani inaweza kutokea.

𝟮: 𝗟𝗔𝗗𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗨𝗠𝗩𝗜 𝗠𝗗𝗢𝗠𝗢𝗡𝗜:
Kuwa na ladha ya chumvi au uchungu mdomoni mara kwa mara.

𝟯: 𝗞𝗨𝗞𝗪𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗢𝗢:
Hisia ya kitu kizito au kukwama kooni.

𝟰: 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗣𝗜𝗞𝗔:
Baadhi ya watu wanaweza kutoa haja ya kutapika.

𝟱: 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔𝗟𝗔:
Acid reflux inaweza kusababisha matatizo ya kulala au usingizi wa kukatizwa.

𝟲: 𝗞𝗜𝗞𝗢𝗛𝗢𝗭𝗜:
Kikohozi kilichosababishwa na kupanda kwa asidi kutoka tumbo hadi kooni.

𝟳: 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗘𝗭𝗔:
Maumivu au ugumu wakati wa kumeza chakula au maji.

𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜
Tembelea Ofisini Kwetu Iliyoko arusha jengo la mega complex au Tupigie Sasa kuongea na Daktari Kupitia Simu nambari

☎️ 0684899587

NB: HUDUMA zetu ni Kwa Tanzania nzima na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.

TATUA NA JIKINGE NA TATIZO LA BAWASILI BILA KUFANYIWA UPASUAJIPIGA/WHATSAPP  0684899587IJUE BAWASIRI NA TIBA YAKE_Bawasi...
15/06/2026

TATUA NA JIKINGE NA TATIZO LA BAWASILI BILA KUFANYIWA UPASUAJI

PIGA/WHATSAPP 0684899587
IJUE BAWASIRI NA TIBA YAKE

_Bawasiri ni hali Kupasuka kwa mishipa sehemu ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vinyama katika Maeneo hayo.

AINA ZA BAWASIRI
1_Bawasiri ya ndani
2_Bawasiri ya nje.

_Bawasiri ya nje hutokea mwisho wa mfereji wa haja kubwa Mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda, ikiambatana na maumivu makali
_Bawasiri ya ndan hutokea ndan ya mfereji wa haja kubwa, hii huambatana na maumivu. hapa wengi huwa hawajijui

DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI

_Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa
_miwasho na maumivu sehemu ya haja kubwa
_kinyesi kuvuja
_kinyesi kutoka kuchanganyika na damu chenye harufu mbaya.

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI

_kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu Mfano madereva wa masafa marefu ,mafundi cherehani,watu wanaokaa maofisi kwenye kiti zaidi ya masaa 3.
_kufanya mazoez magumu yanayokaza misuli ya haja kubwa
_Uzito kupitiliza
_Mapenz kinyume na maumbile
_tatizo la kutokupata choo

TIBA YAKE_Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo wengi ilirudi baada ya kufanyiwa upasuaji.
_Sasa unaweza kutibu tatizo hili kwa kutumia virutubisho kutoka USA vilivyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ambavyo havina kemikali 100% PIGA

KAZI YAKE.

_Huondoa miwasho na maumivu
_huweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuanzia mdomon hadi sehemu ya haja kubwa
_huondoa Bawasiri bila upasuaji.
_kulainisha choo.
NI VYEMA KUWAHI KUPATA TIBA MAPEMA KABLA YA KUBADILIKA NA KUWA CANCER.. TUWASILIANE KWENYE

Piga 0684899587

*JE, UNAJUA?*👉🏾Takribani asilimia 70 ya choo hutengenezwa na maji pamoja na nyuzinyuzi (fiber). Mwili unapokosa nyuzinyu...
15/06/2026

*JE, UNAJUA?*

👉🏾Takribani asilimia 70 ya choo hutengenezwa na maji pamoja na nyuzinyuzi (fiber). Mwili unapokosa nyuzinyuzi za kutosha, choo huwa kigumu kutoka vizuri na mfumo wa mmeng’enyo huanza kufanya kazi kwa shida.

*Dalili Za Mwili Kukosa Fiber:*
👉🏾Kufunga choo mara kwa mara.
👉🏾Tumbo kujaa gesi au kuvimba.
👉🏾Kujisikia mzito na mchovu.
👉🏾Choo kigumu au kutoka kwa maumivu.

*Kwa Nini Fiber Ni Muhimu?*
Nyuzinyuzi husaidia:
👉🏾Kulainisha choo na kurahisisha kutoka.

👉🏾Kusafisha utumbo kwa asili.

👉🏾Kusaidia bakteria wazuri wa tumboni.

👉🏾Kupunguza kuvimbiwa na gesi
Kuboresha afya ya mfumo wa mmeng’enyo

Utumbo wenye afya husaidia mwili kuondoa uchafu na sumu kwa njia ya asili. Kula vyakula sahihi, kunywa maji ya kutosha, na kutumia mimea ya asili kunaweza kusaidia kuboresha mmeng’enyo wa chakula na kuupa mwili nguvu mpya.

Ukitaka kuanza safari ya kusafisha tumbo na kuboresha mmeng’enyo wa chakula kwa njia ya asili, unaweza kuanza na mpango wangu wa Herbal Detox kwa siku 28 kusaidia kuupa mwili nafasi ya kujirekebisha kiasili(naturally).

TAMBUA YA KWAMBA!

Afya Ya Utumbo = Afya Ya Mwili. Ukiponya Tumbo umeponya maisha. Karibu 🫴🏾 0684899587

11/06/2026

Usikubali tena kuteseka na changamoto ya Acid reflux, wakati suluisho la changamoto hii linapotoka📌

Unasumbuliwa na
✓Kiungulia
✓tumbo kuwaka moto
✓Vidonda Vya tumbo
✓Choo kigumu
✓Changamoto za gesi n.k

Wasiliana nasi sasa kupata Tiba ya changamoto hii kwa
0684899587

Doze ni ya siku 30
Chupa Moja ni 20,000
Chupa zote Tano ni sh90,000 tu badala ya 100,000

Tibainakufikia popote ulipo, karibu sasa, ujitibie changamoto yoko📌

Bado unasumbuka na Changamoto hizi👇✓Gesi kujaa tumboni ✓Vidonda Vya tumbo ✓Tumbo kuwaka moto✓Viungulia✓Chembea moyo n.kA...
07/05/2026

Bado unasumbuka na Changamoto hizi👇
✓Gesi kujaa tumboni
✓Vidonda Vya tumbo
✓Tumbo kuwaka moto
✓Viungulia
✓Chembea moyo n.k
Amua leo kuondokana na changamoto hii ndani ya siku 5 TU kwa Kutumia NT Acid kwa bei ndogo ya sh 20000 TU!
Chupa zote 5, utapata kwa Tsh90000 tu
Tupigie sasa kwa 0684899587

02/05/2026

Furaha yetu ni kuona watu wanapona changamoto zao kiafya
Usikae na changamoto inayokusumbua, chukua hatua sasa, IJALI AFYA YAKO📌
0684899587

02/05/2026

Chupa Moja TU kati ya chupa 6 za doze ya mwezi mzima mzima
Yani siku ya nne tu tangia anze doze, changamoto yake yaanza kuisha🔥

02/05/2026

Changamoto za Viungulia, gesi tumboni, kichefu chefu, kutapika, kukosa hamu ya kula, zinatibika
Kupata Tiba hii wasiliana nasi kwa 0684899587

02/05/2026

Acid reflux isipotibiwa kwa wakati, huathiri mpaka utendejaji kazi wa mwilini mzima,
Chukua hatua mapema TIBU changamoto kwa Tiba Sahihi zenye uwezo wa kutibu changamoto Yako bila kujirudia🔥

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255749800898

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IJALI AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share