Afya Fit2022

Afya Fit2022 Nawasaidia Wanaume katika kuondokana na changamoto ya uzazi

NAJARIBU KILA SIKU KUGUSIA UPANDE WA VYAKULA KWA SABABU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UIMARA KATIKA TENDO,,, H...
14/05/2023

NAJARIBU KILA SIKU KUGUSIA UPANDE WA VYAKULA KWA SABABU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UIMARA KATIKA TENDO,,, HUTIBIWA NA VIRUTUBISHO, VYAKULA VYA ASILI, (matunda, mbogamboga, na mimea ya asili) NA HAUWEZI KUTIBU TATIZO HILO KWA DAWA K**A WENGI MNAVYO DHANI

k**a ukizingatia vyakula mbali mbali nnavyo kufahamisha kila siku tatizo lako litapona moja kwa moja na utaimarika ipasavyo katika tendo,,, ila we k**a huamin elimu za vyakula endelea na dawa zako za hospitali ila ujue huwezi pona changamoto yako,MBEGU za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu za kiume, sawa na ilivyo kwa samaki pweza na supu yake.

Madaktari na wataalamu wa lishe wanathibitisha kuwa mbegu za maboga zina kiwango kikubwa cha virutubishi vya vitamin na madini na hivyo kusaidia katika kuupa mwili nguvu na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali yakiwamo ya baadhi ya aina za saratani, kisukari, moyo na ini.

Imeelezwa na wataalamu kuwa k**a ilivyo kwa sifa ya mnofu wa pweza, mbegu za maboga pia zina sifa ya kuwa sawa na kifurushi cha madini yanayomfaidisha mlaji kwa wakati mmoja, baadhi yakiwa ni ya chuma, manganizi, maginizia, zinki na shaba. Walaji wa mnofu wa pweza hunufaika pia kwa wingi wa virutubishi k**a protini, mafuta (fats) vitamin B12, selenium, madini ya chuma, shaba na vitamin B6.

Imebainika zaidi kuwa kufahamika zaidi kwa ukweli kuwa viini lishe vilivyomo ndani ya mbegu za maboga vina faida kubwa ikiwamo ya kuimarisha afya za uzazi ndiko kunakoongeza matumizi yake kiasi cha kutishia umaarufu wa supu ya pwezaMaboga na mbegu zake vina faida nyingi mwilini na kwamba, kufahamika zaidi kwa taarifa zake katika siku za hivi karibuni kunaweza kuwa chanzo cha kuongezeka kwa watumiaji wake kila uchao.

Baadhi ya faida za mbegu na pia maboga yenyewe kwa walaji ni pamoja na kuwaepusha na uzito wa mwili kupita kiasi, kuwaongezea uoni wa macho kutokana na kuwa na viini viitwavyo ‘beta-carotene’ vinavyobadilishwa mwilini kuwa vitamin A; kuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa na pia kuwafanya walaji waonekane vijana zaidi.Faida nyingine ni kwa walaji kujipunguzia uwezekano wa kupata magonjwa ya kansa. Tafiti zinaonyesha kuwa watu wanaokula vyakula vyenye wingi wa virutubisho vya beta-carotene (vilivyomo kwenye maboga) huwa na uwezekano mdogo wa kupata baadhi ya aina za kansa, ikiwamo ya tezi dume na kansa ya mapafu.

Maboga husaidia pia kukabili kisukari kwa kuimarisha kiwango cha sukari mwilini; kuongeza utulivu wa mwili pia kutokana na kuwapo kwa kiwango cha virutubisho viitwavyo ‘tryptophan’ vinavyowasaidia watu wenye matatizo ya kukosa usingizi (insomnia).

Faida za mbegu za maboga zina kiwango kikubwa cha madini k**a ya Zinc ambayo yana faida nyingi mwilini. Mbali na faida hizo maboga huimarisha uwezo wa walaji katika kuonja na kunusa, ukuaji wa seli mbalimbali za mwili na pia kuwa na viinilishe vyenye kuongeza nguvu ya tendo la ndoa kwa wanaumeMbegu za maboga zina vitamini E ingawa siyo kwa kiwango kikubwa lakini hiyo husaidia afya ya ngozi. Zina protini ambayo husaidia mwili kukabili maradhi k**a kisukari, tezi dume na aina nyingine za saratani.

Ni vizuri kwa walaji kutumia zaidi mbegu za maboga zilizo mbichi kwa sababu ndizo zenye madini zaidi kulinganisha na zile zilizokaushwa na pia wawe makini ili kuepuka kula mbegu zilizokaa kwa muda mrefu na kushambuliwa na fangasi. Wanaozikaanga wahakikishe kuwa haziwi kwenye kikaangio kwa zaidi ya dakika 15. Hii itasaidia kutozipotezea ubora wake.

Ukweli ni kwamba wengi na baadhi huzijumuisha katika vyakula maalumu vya lishe ya watoto. Wapo kina mama huzikausha na kuzisaga pamoja na chakula cha watoto. Hii ni lishe nzuri kwa sababu ina virutubisho vingi muhimu na vyote hupatikana kwa pamoja kwa walaji.HIZO NDO FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA NA ZINAHUSIANA VIPI KATIKA NGUVU ZA KIUME NA MATATIZO MENGINEYO YA KIAFYA MWILINI

baadhi yetu uko mikoani maboga na mbegu zake tumekula sana😅 ila saiv watu wamefika mijini na maisha yamebadilika maboga yapo masokoni ila watu hawataki kuyanunua kutokana na maisha ya kishua ya siku izi🤓 aya basi mbegu za maboga zipo kila kona zinauzwa na leo nimesha kufahamisha siri yake, ubaki wewe tu kulifanyia kazi
Kwa maelezo zaidi tupigie/sms&whatsap +255789701665

04/05/2023

Nawasaidia Wanaume katika kuondokana na changamoto ya uzazi

11/02/2023

Ningependa niwaelezee kuhusu pack.

Inafanya vyema sanaa kwa wanaume wenye changamoto Za Tezi Dume na udhibiti wa kukua kwa Tezi dume.

Kulingana na Takwimu za watumiaji wa Prostate fix therapy kuanzia January 2022 hadi leo ni Asilimia 97% Wamepata matokeo mazuri sana kwenye suala mzima la kutibu tatizo la tezi Dume iliyotanuka, Maambukizi ya njia ya Uzazi
Mawe kwenye figo na
kuimarisha Afya Ya mfumo wa Uzazi na tendo la ndoa.

Pia Imefanya vizuri sana kwenye Kuongeza Uzalishaji wa mbegu kwa 89% na kwa wanaokosa mbegu kabisaa 40% wameanza kupata k**a kawaida.

Pia imesaidia sana kuondosha Adha za kukua kwa Tezi Dume k**a:-
kukojoa Mara kwa Mara

Maumivu wakati wa kukojoa

Mkojo kukatika katika wakati wa kutoka
Kukosa hamu ya Tendo la Ndoa

Well as Kukinga Tezi Dume kwa ambao wanajikinga.
Pack hii inasaidia kutibu pia changamoto zinazosababishwa na maamukizi k**a Vidonda vya Tumbo, Fungus ,kukosa choo vyema na tumbo kujaa gesi, Kuponya vidonda na kudhibiti kiwango cha Sukari Na Faida nyingine nyingi mwilini mwako.

Gharama ya prostate fix therapy ni 300,000
Half pack ni 147000 Japo kiukweli full pack its working very well more sababu.
K**a Unachangamoto ingine nje ya kukuwa kwa Tezi dume ninaomba unieleze Ninaweza kutumia pack hii hii kutatua changamoto zingine za ziada.
Inatumika kwa siku 30

Prospect fix ni tumaini jipya kwa wanaume wenye changamoto ya tezi dume na walio katika hatari ya kupata tatizo hili.

Unaweza kuorder kwa kutupigia
0789701665
WhatsApp Bonyeza hii link hapa chini 👇🏽👇🏽
https://wa.link/dwri68

Nawasaidia Wanaume katika kuondokana na changamoto ya uzazi

Je unakabiliwa na changamoto ya kukosa hamu ya Tendo La Ndoa na kushindwa kuendelea na Mchezo kwa kuwahi kufika kileleni...
02/02/2023

Je unakabiliwa na changamoto ya kukosa hamu ya Tendo La Ndoa na kushindwa kuendelea na Mchezo kwa kuwahi kufika kileleni wasiliana nasi kwa namba 0789701665 au whatsapp https://wa.link/dwri68

01/02/2023
UFAHAMU UGONJWA WA  TEZI DUME NA MADHARA YAKE.Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya k...
22/01/2023

UFAHAMU UGONJWA WA TEZI DUME NA MADHARA YAKE.

Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.

Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.

Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50 kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume,

mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.

Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi.

Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini

- Uwepo wa sumu nyingi mwilini

- Kutokufanya mazoezi

- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

- Msongo wa mawazo ( Stress )

- Magonjwa ya zinaa

- Umri mkubwa

- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

- Historia ya Familia (Kurithi)

- Sababu za kimazingira (Ethnicity)

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Mtu mwenye tatizo katika tezi huanza kwa dalili ndogo ndogo sana,

Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.

Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.

Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki bali Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako

mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu

- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu

- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo

- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.

- Homa

- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu

- Miguu kuwa dhaifu

- Kushindwa kumudu tendo la ndoa , au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa

- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa

- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji

- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.

Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka

- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.

- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa

- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)

- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)

- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)

- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume

- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA.

SULUHISHO PENDWA

a) Suluhisho Linalopendwa

Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.

Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.

Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka

1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:

Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

2. Madawa

“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”

3. Upasuaji

Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”

Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

SULUHUSHO LA KUDUMU

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili unavihitaji. Hivyo basi program maalumu ya virutubisho imeandaliwa kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume.

Ili kujifunza zaidi bonyeza link hapo chini...👇🏾
wa.link/eufege

UFAHAMU UGONJWA WA  TEZI DUME NA MADHARA YAKE.Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya k...
16/01/2023

wa.link/dwri68

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fit2022 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share