Dr.nyaka

Dr.nyaka Karibu sana tunatoa ushauri na tiba juu ya changamoto mbalimbali za mfupa na changa moto za watoto

23/07/2023
23/06/2023

Mtindio wa ubongo (cerebral palsy),ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo inayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo wa neva k**a vile kujongea, kujifunza, kusikia, kuona na kufikiri.
Neno utindio wa ubongo linatumika kuwakilisha matatizo yote ya mfumo wa neva yanayotokea utotoni na yanayothiri mjongeo na misuli ya mtoto. Hali ya mtoto mwenye tatizo hili haibadiliki. Japo mtindio wa ubongo huathiri zaidi misuli, hausababishwi na matatizo kwenye misuli au neva. Mtindio wa ubongo husababishwa na matatizo kwenye maeneo ya ubongo yanayodhibiti mjongeo.
Kuna aina mbalimbali za tatizo hili, aina hizi ni pamoja na mtindio wa ubongo unaosababisha kukaza kwa misuli, mtindio wa ubongo unaosababisha kulegea kwa misuli, n.k

23/06/2023

kumtikisa mtoto mwenye miezi nane kushuka chini kunaweza msababishia mtoto kupata mtindio wa ubongo

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.nyaka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr.nyaka:

Share