AJAM herbal clinic

AJAM herbal clinic TUNAWASAIDIA WAHANGA WA MAGONJWA MBALIMBALI KWA KUTUMIA MIMEA TIBA

13/05/2026
12/05/2026

Suluhisho la acid reflux

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA  KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA ( GERD-ACID REFLUX)-Zipo dalili nyingi ambazo hu...
21/04/2026

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA

( GERD-ACID REFLUX)

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🧷 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🧷 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🧷 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🧷Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🧷Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🧷Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🧷 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🧷 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🧷Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🧷 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🧷 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🧷Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🧷Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🧷 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🧷 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🧷 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🧷Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🧷 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🧷 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🧷Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🧷 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🧷Kichefuchefu na kutapika.
23.🧷 Miwasho ya ngozi mwilini
24.🧷Masikio kupiga kelele/kuwa mazito.
25.🧷 Baadhi ya viungo vya mwili kutetemeka/kucheza mfano vidole na chini ya macho.
26.🧷 Mdomo kuwa mchungu/Mchachu
27.🧷 Presha kupanda mara kwa mara ikiambatana na dalili zingine za Acid reflux.

abbas
_+255748267740_
AJAM HERBAL CLINIC
TANDIKA - DAR ES SALAAM
---------------------------------------------------------

MIONGONI MWA DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO NI:🧷Kuchokachoka sana bila sababu maalumu🧷Kuuma mgongo au kiuno.🧷Kupungukiwa au...
20/04/2026

MIONGONI MWA DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO NI:

🧷Kuchokachoka sana bila sababu maalumu
🧷Kuuma mgongo au kiuno.
🧷Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu au hamu ya tendo la ndoa.
🧷Usingizi wa mara kwa mara.
🧷Maumivu makali kifuani kwa ndani k**a vile unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
Maumivu hayo wakati mwengine hutokeza mgongoni na kuchoma k**a sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali mno.
🧷Kichefuchefu.
🧷Kiungulia
🧷Kusahau mara kwa mara.
🧷Hasira bila sababu za msingi.
🧷Tumbo kujaa gesi.
🧷Kukosa hamu ya kula.
🧷Kula kupita kiasi.
🧷Tumbo kuwaka moto.
🧷Maumivu makali sehemu kilipo kidonda.
🧷Kukosa choo
🧷 kupata choo cha shida tena kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi.
🧷Kutapika nyongo.
🧷Kutapika damu
🧷kuharisha.
🧷Kupata ganzi

.abbas
Cell phone: 0748 267 740
AJAM HERBAL CLINIC
Tandika-Dar es salaam
_____________________________

13/04/2026

VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA

Dozi ya vidonda vya tumbo 85,000/=

piga simu au tuma ujumbe WhatsApp
0748 267 740

0748267740

Tupo Dar es salaam tandika

PRESHA NA MOYOJe unasumbuliwa na presha ?Au una tatizo la moyo?Wasiliana nasi sasa uweze kumaliza changamoto hizi kwa mu...
12/03/2026

PRESHA NA MOYO

Je unasumbuliwa na presha ?
Au una tatizo la moyo?

Wasiliana nasi sasa uweze kumaliza changamoto hizi kwa muda mfupi kabisa bila kutumia vidonge

■BAADHI YA DALILI ZA PRESHA
●Maumivu ya kifua
●moyo kwenda mbio
●kizunguzungu
●kutokwa jasho jingi hasa usiku
●kupata ganzi mikononi au miguuni
●mwili kuishiwa nguvu n.k
Tujitibu kwa mimea

Piga simu au tuma sms 0748 267 740
Tandika-Dar es salaam

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AJAM herbal clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AJAM herbal clinic:

Shortcuts

Share