360 Wellness Centre

360 Wellness Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from 360 Wellness Centre, Medical and health, +255650289985, Dar es Salaam.

Karibu 360 WELLNESS CENTRE ๐Ÿฅ

Tunatoa elimu na ushauri kuhusu:
โœ”๏ธ Vidonda vya tumbo
โœ”๏ธ Bawasiri
โœ”๏ธ Afya ya ini
โœ”๏ธ Mmeng'enyo wa chakula

Lengo letu ni kukusaidia kupata maarifa sahihi ya afya kwa maisha bora.

๐Ÿ“ž WhatsApp: +255 650 289 985

01/09/2026

Afya ndio msingi wa Mwanaadamu

01/09/2026
29/08/2026

Usikae muda mrefu bila kusimama na kutembea.
:

25/08/2026

Usipuuze dalili zinazorudia

24/08/2026
24/08/2026

๐ŸŒถ๏ธ JE, PILIPILI NDIO CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO?

Si kila anayekula pilipili anapata vidonda vya tumbo. Lakini baadhi ya vyakula vinaweza kuchochea dalili kwa mtu mwenye tatizo la tumbo.

๐Ÿ‘‰ Usikisie tuโ€”tafuta chanzo cha tatizo na pata ushauri sahihi.

โค๏ธ Afya yako ni mtaji!

23/08/2026

VIDONDA VYA TUMBO VINAWEZA KUPONA? โค๏ธ

Ndiyo! Lakini muhimu ni kujua chanzo cha tatizo na kupata matibabu sahihi.

Usijitibu kwa kubahatisha.
๐Ÿ‘‰ Jua chanzo.
๐Ÿ‘‰ Pata ushauri sahihi.
๐Ÿ‘‰ Fuata matibabu ulizopewa.

Afya yako ni mtaji! ๐ŸŒฟ

23/08/2026

Mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaweza kula chungwa? ๐ŸŠ
Ndiyo, lakini si kila mtu atalivumilia kwa njia ileile. Chungwa lina asidi ambayo kwa baadhi ya watu inaweza kuongeza kiungulia, maumivu ya tumbo au reflux.
๐Ÿ‘‰ K**a chungwa linakuchochea dalili, lipunguze au liepuke.
๐Ÿ‘‰ Usitumie chungwa k**a tiba ya vidonda vya tumbo.
Afya yako ni mtaji โค๏ธ

Address

+255650289985
Dar Es Salaam

Telephone

+96898576175

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 360 Wellness Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share