09/06/2026
⚠️ VIDONDA VYA TUMBO SI VYA KUPUUZA! ⚠️
Je, unapata maumivu ya tumbo mara kwa mara, kiungulia, kichefuchefu au tumbo kujaa gesi? Hizi zinaweza kuwa dalili za vidonda vya tumbo.
✔️ Epuka kula kwa kuchelewa mara kwa mara.
✔️ Punguza matumizi ya vyakula vyenye pilipili nyingi
✔️ Fanya uchunguzi mapema unapohisi dalili.
Afya yako ni mtaji wako mkubwa. Usisubiri hali iwe mbaya ndipo utafute msaada.