Ujauzito Solution

Ujauzito Solution Nasaidia wanawake na wanaume kupata sululisho la changamoto zote zaafya ya uzazi. wa.me.255656112427

Kwanza nikupe hongeraa tele Kwa kuleta kiumbe kipya duniani haijalishi umejifungua Kwa Njia Gani au ulipata changamoto a...
16/02/2024

Kwanza nikupe hongeraa tele Kwa kuleta kiumbe kipya duniani haijalishi umejifungua Kwa Njia Gani au ulipata changamoto au hukupata lakini umefanya kazi kubwa.

Sasa usibweteke!

☑️Jitahidi uwe msafi Kwa mwili wako,mtoto na Kwa wanaokuzunguka.

☑️Ongeza Kasi ya kula mlo kamili Ili uweze kupata maziwa ya kutosha na nguvu ya kulea na kufanya majukumu mengine.

☑️Kaa ukijua mabadiliko ya mwili huenda taratibu hivyo usijisikie vibaya mwili wako unapochelewa kurudi kwenye Hali yake ya mwanzo.

☑️Usiwe mvivu kutafuta maarifa kuhusu malezi zama zinabadilika usisubiri mpaka matatizo yatokee ndipo uanze kuhangaika Bali...
...jifunze na ufanyie kazi katika kumlea huyo mtoto wako.

Ikiwa utapenda kujifunza zaidi kuhusu malezi basi wasiliana nami Kwa Whatsap namba hizi 0656112427.

Julieth Lobozi
Women Health Consultant

AFYA NI HAZINA.

Najua inakera sana tumbo kujaa gesi lakini usipofanya haya utaendelea kusota zaidi ya hapo😞.Zingatia yafutayo utasahau k...
08/02/2024

Najua inakera sana tumbo kujaa gesi lakini usipofanya haya utaendelea kusota zaidi ya hapo😞.

Zingatia yafutayo utasahau kabisa suala la tumbo kujaa gesi.

1.Punguza kula vyakula ambavyo vinaongeza gesi mwilini k**a kabeji,bloccoli, cauliflower, mimea jamii ya maharage,maziwa na vinywaji vilivyosindikwa k**a vile soda.

Sijasema usile nimesema punguza usile na kunywa k**a hutakula Tena😄

2.Acha kuvuta sigara na kunywa POMBE.

3.Kunywa maji baada ya kula chakula.

4.Kula chakula kidogo kidogo Yani usile chakula kingi Kwa wakati mmoja.

Hata k**a umeambiwa umebeba kiumbe isiwe fujo kula sinia Zima jamani kula kiasi Kwa kuzingatia mlo kamili sio ilimradi umejisikia kula.

Ni MUHIMU kujifunza namna ya kupangilia mlo wako Kila siku na sio kula Kwa mood.kujifunza zaidi kuhusu MLO BORA wakati wote wa ujauzito Wasiliana nami 0656112427

Julieth Lobozi
Women Health Consultant

AFYA NI HAZINA.

Sasa Imagine ukipata na MAPACHA 👯 si utatambaa wewe 🤣 acha kukata tamaa hakuna lisilowezekana haijalishi una umri Gani i...
07/02/2024

Sasa Imagine ukipata na MAPACHA 👯 si utatambaa wewe 🤣 acha kukata tamaa hakuna lisilowezekana haijalishi una umri Gani inawezekana KUPATA mtoto umtakae

13/12/2023
AFANIKIWA KUPATA RAHA YA TENDO LA NDOA BAADA YA KUFANYA HILI."Mwanzoni nilihisi nina mkosi wa kupata mwanaume asiyeweza ...
21/08/2023

AFANIKIWA KUPATA RAHA YA TENDO LA NDOA BAADA YA KUFANYA HILI.

"Mwanzoni nilihisi nina mkosi wa kupata mwanaume asiyeweza kuniridhisha lakini kumbe shida ilikuwa kwangu mwenyewe sipati raha ya tendo kutokana na sababu ambazo...
.. Ujauzito Solution walinieleza na baada ya kutumia dawa zao aisee raha ya tendo ninayoipata haielezeki kwakweli nawashukuru sana sana kazoba herbal clinic"

Huu ni ushuhuda kutoka kwa dada yetu joyce ambae alitumia dawa zetu baada ya kupona changamoto yake ya kukosa raha ya tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Dawa zetu zilimsaidia katika haya yafuatayo;

1.Kurekebisha mvurugiko wa homoni na kuweka sawa ili homoni zake zizalishwe katika utaratibu.

2.Kuongeza kasi ya uzalishwaji wa homoni zake zinazomsaidia kupata raha wakati wa tendo la ndoa ambayo...
..hupotea kutokana na msongo wa mawazo,mtindo wa maisha na mvurugiko wa homoni.

3.Kuimarisha mfumo wake mzima wa uzazi ili asipate changamoto yoyote na abebe ujauzito vizuri.

Ni kweli umepoteza pesa nyingi lakini hebu chukua hatua k**a aliyochukua joyce ili uondokane na adha ya kukosa raha ya tendo la ndoa.

Karibu Ujauzito Solution tutakupatia elimu na kisha dawa zetu za asili zilizotengenezwa na miti tiba iliyothibitishwa kitaalamu.

Tupigie kwa namba hizi 0656112427

Au bonyeza link hii wa.me/255656112427 kuja moja kwa moja whatsapp.

Julieth Lobozi
Women Health Consultant

AFANIKIWA KUPATA RAHA YA TENDO LA NDOA BAADA YA KUFANYA HILI."Mwanzoni nilihisi nina mkosi wa kupata mwanaume asiyeweza ...
21/08/2023

AFANIKIWA KUPATA RAHA YA TENDO LA NDOA BAADA YA KUFANYA HILI.

"Mwanzoni nilihisi nina mkosi wa kupata mwanaume asiyeweza kuniridhisha lakini kumbe shida ilikuwa kwangu mwenyewe sipati raha ya tendo kutokana na sababu ambazo...
..Ujauzito solution walinieleza na baada ya kutumia dawa zao aisee raha ya tendo ninayoipata haielezeki kwakweli nawashukuru sana sana kazoba herbal clinic"

Huu ni ushuhuda kutoka kwa dada yetu joyce ambae alitumia dawa zetu baada ya kupona changamoto yake ya kukosa raha ya tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Dawa zetu zilimsaidia katika haya yafuatayo;

1.Kurekebisha mvurugiko wa homoni na kuweka sawa ili homoni zake zizalishwe katika utaratibu.

2.Kuongeza kasi ya uzalishwaji wa homoni zake zinazomsaidia kupata raha wakati wa tendo la ndoa ambayo...
..hupotea kutokana na msongo wa mawazo,mtindo wa maisha na mvurugiko wa homoni.

3.Kuimarisha mfumo wake mzima wa uzazi ili asipate changamoto yoyote na abebe ujauzito vizuri.

Ni kweli umepoteza pesa nyingi lakini hebu chukua hatua k**a aliyochukua joyce ili uondokane na adha ya kukosa raha ya tendo la ndoa.

Karibu Ujauzito solution tutakupatia elimu na kisha dawa zetu za asili zilizotengenezwa na miti tiba iliyothibitishwa kitaalamu.

Tupigie kwa namba hizi 0656112427

Au andika neno TENDO kisha bonyeza link hii wa.me/255656112427 kuja moja kwa moja whatsapp.

Julieth Lobozi

Ujauzito Solution  Huwezi kupata ujauzito k**a mwanaume wako ana changamoto ktk uume wake...nitafute kwa namba hizi 0656...
18/08/2023

Ujauzito Solution Huwezi kupata ujauzito k**a mwanaume wako ana changamoto ktk uume wake...nitafute kwa namba hizi 0656112426 nikupatie full dozi mahali popote ulipo ndani na nje ya nchi

FANYA HAYA ILI UPATE MAZIWA YA KUTOSHA BAADA YA KUJIFUNGUA.Je,unatamani kuwa na maziwa ya kutosha baada ya kujifungua?Ka...
18/08/2023

FANYA HAYA ILI UPATE MAZIWA YA KUTOSHA BAADA YA KUJIFUNGUA.

Je,unatamani kuwa na maziwa ya kutosha baada ya kujifungua?

Kabla sijaendelea kwanza hongera sana kwa kutuletea mjukuu duniani hatimaye na wewe umekua mama lakini...
..mtoto uliyejifungua anahitaji maziwa ya kutosha kutoka kwako hasa miezi sita ya mwanzo khyo ni muhimu sana kuzingatia yafuatayo ili uweze kuwa na maziwa ya kutosha.

1.Kunywa maji lita 2 au glasi 8 kila siku.

2.Tumia unga wa pilipili manga vijiko 2 hadi 4 kwa siku,changanya kwenye uji au mtori halafu kunywa.

3.Tumia unga wa mbegu za maboga vijiko 4 hadi 6 kwa siku changanya kwenye uji,mtori au supu.

4.Tumia kwenye mchanganyiko wa mboga au vipisi 2 hadi 3 vya vitunguu swaumu kwa siku.

5.Ongeza kiwango cha matumizi ya karoti au juisi yake.

6.Ongeza matumizi ya shayiri(oats) ili kukusaidia pia kudhibiti sukari.

Yawezekana huna mtoto na unatamani kupata mtoto nitafute whatsap kwa namba hizi 0656112427 nikupatie sululisho sahihi.

Julieth Lobozi
Women Health consultant

AFYA NI HAZINA.

FANYA HAYA ILI UPATE MAZIWA YA KUTOSHA BAADA YA KUJIFUNGUA.Je,unatamani kuwa na maziwa ya kutosha baada ya kujifungua?Ka...
18/08/2023

FANYA HAYA ILI UPATE MAZIWA YA KUTOSHA BAADA YA KUJIFUNGUA.

Je,unatamani kuwa na maziwa ya kutosha baada ya kujifungua?

Kabla sijaendelea kwanza hongera sana kwa kutuletea mjukuu duniani hatimaye na wewe umekua mama lakini...
..mtoto uliyejifungua anahitaji maziwa ya kutosha kutoka kwako hasa miezi sita ya mwanzo khyo ni muhimu sana kuzingatia yafuatayo ili uweze kuwa na maziwa ya kutosha.

1.Kunywa maji lita 2 au glasi 8 kila siku.

2.Tumia unga wa pilipili manga vijiko 2 hadi 4 kwa siku,changanya kwenye uji au mtori halafu kunywa.

3.Tumia unga wa mbegu za maboga vijiko 4 hadi 6 kwa siku changanya kwenye uji,mtori au supu.

4.Tumia kwenye mchanganyiko wa mboga au vipisi 2 hadi 3 vya vitunguu swaumu kwa siku.

5.Ongeza kiwango cha matumizi ya karoti au juisi yake.

6.Ongeza matumizi ya shayiri(oats) ili kukusaidia pia katika kudhibiti kisukari cha mimba.

Ikiwa ungependa kujifunza na kupata mwongozo zaidi khs ujauzito na unatamani upate mtoto basi tuma whatsap neno UJAUZITO kwa namba hizi 0656112427 ili kupata sululisho zaidi.

Julieth Lobozi
Women Health consultant

AFYA NI HAZINA.

Fuatilia makala hii kwa umakini ..!Na wewe unapata shida sana ya kupata Ujauzito kwenye ndoa au familia yako?Vipi unakar...
21/04/2022

Fuatilia makala hii kwa umakini ..!

Na wewe unapata shida sana ya kupata Ujauzito kwenye ndoa au familia yako?

Vipi unakaribia kukata tamaa kwasababu miaka inasogea na huna mtoto?

Usikate tamaa lakini naomba unisome vizuri hapa...

Suala la kusema wewe hujapangiwa kuwa na mtoto hiyo sio kweli..

Kwasababu inawezekana kupata ujauzito na ukajifungua salama kabisa.

Kazi ni kwako kuweza kuhakikisha afya yako ya uzazi inakua vizuri na sio...

Umuachie MUNGU kila kitu ilihali ametujalia uwezo wa kuimarisha afya ya uzazi na tukaweza kuijaza dunia.

Hivyo basi unapaswa kutumia tibalishe ili uimarishe afya ya uzazi na uondokane na adha zinazokutesa.

Je,unatamani kujua zaidi namna ya kutumia tibalishe ili upate ujauzito?

Njoo tuyajenge INBOX kwa namba hii 0787651746

Julieth Lobozi
Women Health consultant

AFYA NI HAZINA.

UMUHIMU WA TIBA LISHE WAKATI WA UJAUZITO.Yamkini umekuwa ukisikia kuhusu TIBA LISHE, lakini bado hauelewi ni kitu gani a...
09/04/2022

UMUHIMU WA TIBA LISHE WAKATI WA UJAUZITO.

Yamkini umekuwa ukisikia kuhusu TIBA LISHE, lakini bado hauelewi ni kitu gani au umeelewa na haujui umuhimu wake kwako ni upi?

Basi leo nipo hapa kukuhabarisha kuhusu hili;

TIBA LISHE ni muunganiko wa vyakula na mbogamboga asilia kwa ajili ya kuimarisha afya ya uzazi na maeneo mengine ya mwili.

Tiba lishe hizi zina umuhimu ufuatao kwa mama mjamzito;

1.Hurutubisha mji wa mimba na kuwezesha kuwa imara wakati wote wa ujauzito.

2.Husaidia kuondoa uchovu sugu wakati wa ujauzito.

3.Husaidia kuzalisha ute wa mimba wakati wote wa ujauzito.

4.Huzuia ujauzito kutunga nje ya mji wa mimba.

5.Huwezesha kizazi kuhimili ujauzito.

Je,ungependa kupata faida nilizozitaja hapo juu kupitia tibalishe?

Leo natoa ofa kwa wanawake wajawazito 2 nitawapatia package ya TIBA LISHE kwa Tsh.250,000/= badala ya Tsh. 500,000/= ambavyo...
.. vitawasaidia kuimarisha ujauzito wao katika kipindi chote cha ujauzito.

Ofa hii itadumu ndani ya masaa 48 tu.

Bonyeza linki hii👇
wa.me/255787651746 kuja moja kwa moja whatsapp kupata nafasi ya ofa yako sasa!

Julieth Lobozi
Women Health consultant

AFYA NI HAZINA.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

0656112427

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujauzito Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ujauzito Solution:

Share