yumi_trends

yumi_trends �GENUINE COSMETICS �
�PRODUCTS FROM USA,UK AND SA��
�ORIGINAL TU�

30/03/2026

Umaogoaje??

Maana unaweza lalamika lotion haijakupendeza kumbe namna ya uogaji wako.

Tumia.filipino soap.na hutotuti

25/03/2026

Multi Collagen Powder ni siri ya ngozi laini, yenye elasticity na mwanga wa asili. Inasaidia kupunguza fine lines, kuimarisha ngozi, na kukuacha na ule muonekano wa youthful unaovutia kila mtu 💫 Pia inaboresha afya ya nywele na kucha — beauty ya kweli kutoka ndani kwenda nje 🤍

Usisubiri kuona dalili za aging ndipo uanze kujali ngozi yako ❌

Anza sasa, jenga foundation ya skin yako mapema ✔️

Tumia kila siku na uone tofauti taratibu lakini za kudumu. Glow yako iko kwenye mikono yako ✨
DM kuorder 📩

25/03/2026

Kumaliza melasma kwa njia rahisi inawezekana, lakini ukweli ni huu
Haitoki overnight—unahitaji consistency.

Hizi ndio njia rahisi lakini zenye matokeo 👇

1. Sunscreen ni lazima (hii ndiyo #1)
Tumia kila siku hata ukiwa ndani
Chagua SPF 50 na kuendelea...
Bila hii, hata product kali haitafanya kazi

2. Tumia bidhaa sahihi za kupunguza madoa
Angalia ingredients hizi:

Kojic acid – hupunguza uzalishaji wa rangi nyeusi

Niacinamide – hu-balance ngozi na ku-lighten

Ceramide-- hurepea ngozi yako taratibu

Alpha Arbutin – hupunguza dark patches taratibu

3. Tumia Divine glow Night routine (usiku ndio ngozi inajirepair zaidi) Hii inafuta kabisa madoa ya melasma na kutreat ngozi wakati umelala.

4. Epuka vitu vinavyoichochea
Jua kali ☀️
Heat (joto la jikoni, sauna)
Cream zenye steroids, zinaharibu zaidi baadaye

5. Kuwa na uvumilivu
Results huanza kuonekana ndani ya wiki 2–6
Ukiacha katikati, melasma hurudi haraka

Epuka kuchanganya products nyingi kwa wakati mmoja
Ukweli muhimu

Melasma inaisha 100% kwa watu wengi, ukiwa consistent.

Set ya melasma 85000

24/03/2026

K**a una shida ya weusi chini ya macho tumia hii,

25000 ru.

Hili ni bonge la eye botox,

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255758405820

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when yumi_trends posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to yumi_trends:

Shortcuts

Share