Mussa mtunzaafya

Mussa mtunzaafya 🧿Huduma ya Virutubisho Lishe 🍓🥭🧿
🥼Mshauri Wa Afya Na Fursa Ya Biashara
🇹🇿Furahia Biashara Yenye Uhuru Wa Kipato
Na Muda
Kwa Maelezo Zaidi☎️0718939765🧿

08/06/2026

BHAAAAAASSSSS KUNA NN TENA

30/05/2026

Faida za BF Suma Broken Ganoderma Spores kwa Binadamu 💊

Kwa sababu ukoko wake umevunjwa, mwili unapata virutubisho 90%+ moja kwa moja. Hizi ndizo faida kuu:

Huimarisha Kinga ya Mwili
Ina Polysaccharides na Germanium inayofundisha seli nyeupe za damu kushambulia virusi, bacteria, na uvimbe.
Ni nzuri kwa mtu anayeugua mara kwa mara, mafua sugu, au kinga dhaifu baada ya ugonjwa.

Inapambana na Uvimbe & Kansa
Triterpenes ndani yake husaidia kuzuia seli za uvimbe zisiongezeke.
Husaidia wagonjwa wa fibroids, cysts, kansa ya matiti, prostate, kizazi, na uvimbe mwingine kupunguza maumivu na kuvimba.

Inasafisha & Inalinda Viungo
Ini: Ina detoxini mwili, inasaidia ini iliyoharibiwa na dawa pombe au hepatitis kupona.
Figo: Inaboresha utendaji wa figo kwa kupunguza sumu kwenye damu.
Damu: Inasaidia kurekebisha presha na kisukari kwa kuboresha mzunguko wa damu.

Inapunguza Uchovu na Kuongeza Nguvu
Inaboresha upatikanaji wa oksijeni kwenye seli. Matokeo: Unalala vizuri, unaamka ukiwa na nguvu, ubongo unafanya kazi vizuri.
Ni nzuri kwa watu wenye uchovu sugu, stress, au kazi nyingi.

Inapunguza Mzio & Kuvimba
Triterpenes hufanya kazi k**a "anti-inflammatory" asili. Husaidia asthma, mizio ya ngozi, maumivu ya viungo na mgongo.

Kwa nani hasa?
Mwenye tatizo la uvimbe, fibroids, cysts, kansa
Mwenye kisukari, presha, kolesterol
Mwenye figo au ini
Mwenye kinga dhaifu na uchovu sugu
Wazee - inasaidia kuzeeka kwa afya

Kumbuka: Ni supplement, si dawa. Inafanya kazi vizuri ukifuata maelekezo na kuwa na subira - kwa sababu inatibu chanzo si dalili tu.

Call. 0717693446

DODOMA TANZANIA 🇹🇿 Weekend ya Kufungua CODE za Residual income Wewe Mwanachama Wa BFSUMA Tanzania 🇹🇿 Popote Ulipo Tumia ...
26/05/2026

DODOMA TANZANIA 🇹🇿

Weekend ya Kufungua CODE za Residual income

Wewe Mwanachama Wa BFSUMA Tanzania 🇹🇿

Popote Ulipo Tumia Fursa Hii Adhimu Alika Wageni wako wa Kutosha kwa Mustakabali Bora wa Biashara yako .

K**a huma Team DODOMA TANZANIA 🇹🇿

Hakikisha unaalika wageni wengi kuliko Watu wote .

Siku : JUMAPILI
Tarehe : 31/05/2026
Muda: SAA 8:30 hadi SAA 10:30
Mahali : EMMAUS Shule ya BIBLIA

Hii Ni
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Call
0717693446

🚀 FURSA HALISI YA BIASHARA MTANDAONI 🚀Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako au kuanza biashara ya uhakika?Natoa ma...
25/05/2026

🚀 FURSA HALISI YA BIASHARA MTANDAONI 🚀
Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako au kuanza biashara ya uhakika?
Natoa mafunzo ya biashara ya kuuza virutubisho lishe kupitia mitandao ya kijamii 📱💼
Mfumo huu tayari umewasaidia zaidi ya watu 500+ kutengeneza kipato cha kuanzia
💰 100,000 hadi 500,000 KWA SIKU
👉 Hii siyo nadharia — ni mfumo unaofanya kazi!
📌 VIGEZO: ✔ Umri: Miaka 18 – 60
✔ Elimu: Kuanzia Form Four na kuendelea
✔ Mtaji: Kuanzia 150,000 tu
✔ Uwe tayari kujifunza na kuchukua hatua
🌍 Haijalishi uko mkoa gani — tuna ofisi na support nchi nzima
🎯 Utajifunza: • Jinsi ya kuuza kwa kutumia mitandao ya kijamii
• Mbinu za kupata wateja kila siku
• Jinsi ya kujenga timu na kukuza kipato chako
• Njia za kufanya biashara kisasa bila stress
🔥 Nafasi ni chache – chukua hatua sasa!
📩 Comment: “NIPO TAYARI” ili uanze safari yako
📞 Piga simu: 0717693446
💡 Usisubiri maisha yakubadilike… chukua hatua ubadilishe maisha yako leo!

25/05/2026

🚀 FURSA HALISI YA BIASHARA MTANDAONI 🚀
Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako au kuanza biashara ya uhakika?
Natoa mafunzo ya biashara ya kuuza virutubisho lishe kupitia mitandao ya kijamii 📱💼
Mfumo huu tayari umewasaidia zaidi ya watu 500+ kutengeneza kipato cha kuanzia
💰 100,000 hadi 500,000 KWA SIKU
👉 Hii siyo nadharia — ni mfumo unaofanya kazi!
📌 VIGEZO: ✔ Umri: Miaka 18 – 60
✔ Elimu: Kuanzia Form Four na kuendelea
✔ Mtaji: Kuanzia 150,000 tu
✔ Uwe tayari kujifunza na kuchukua hatua
🌍 Haijalishi uko mkoa gani — tuna ofisi na support nchi nzima
🎯 Utajifunza: • Jinsi ya kuuza kwa kutumia mitandao ya kijamii
• Mbinu za kupata wateja kila siku
• Jinsi ya kujenga timu na kukuza kipato chako
• Njia za kufanya biashara kisasa bila stress
🔥 Nafasi ni chache – chukua hatua sasa!
📩 Comment: “NIPO TAYARI” ili uanze safari yako
📞 Piga simu: 0717693446
💡 Usisubiri maisha yakubadilike… chukua hatua ubadilishe maisha yako leo!

VIRUTUBISHO MUHIMU KWA UKUAJI NA AFYA YA MTOTO• Inampa mtoto hamu ya kula• Inaimarisha afya ya macho na kuzuia mtoto kup...
23/05/2026

VIRUTUBISHO MUHIMU KWA UKUAJI NA AFYA YA MTOTO

• Inampa mtoto hamu ya kula
• Inaimarisha afya ya macho na kuzuia mtoto kupata matatizo ya utotoni
• Inaimarisha afya ya ubongo, mfumo wa fahamu na kumfanya awe na kumbukumbu nzuri
• Inaimarisha afya ya moyo na kuzuia mtoto kupata matatizo ya moyo
• Inampa nguvu ya mwili kupambana na magonjwa
• Humpatia mtoto virutubisho mwilini
• Hufanya mtoto kuchangamka
• Inampa mtoto madini yote muhimu

NB: Mpe mtoto wako virutubisho muhimu kwa ukuaji bora na afya njema kila siku

Mawasiliano 0717693446

🔥 FURSA YA KUJENGA MAISHA YAKO 🔥📞 PIGA SIMU:+255 718 939 765+255 717 693 446Je umechoka kuwa mtu wa kulalamika na kulaum...
20/05/2026

🔥 FURSA YA KUJENGA MAISHA YAKO 🔥
📞 PIGA SIMU:
+255 718 939 765
+255 717 693 446
Je umechoka kuwa mtu wa kulalamika na kulaumu hali ya maisha?
Je unahitaji kuwa sehemu ya watu wanaoleta SULUHISHO la changamoto za kiuchumi kwao binafsi na kwa Taifa 🇹🇿?
🎓 Je wewe ni MWANAFUNZI unayewaza maisha baada ya chuo?
📚 Je umemaliza masomo na uko mtaani huna cha kufanya?
💼 Je wewe ni MUAJIRIWA ambaye mshahara haukidhi mahitaji yako?
🛒 Je unatafuta kazi au biashara ya ziada ya kujikwamua kiuchumi?
Usijali kuhusu kazi unayofanya sasa wala kiwango cha elimu yako.
Kazi yetu ni kukufanya uwe mtu bora, mwenye thamani katika jamii, kwa kukufundisha na kukusimamia hatua kwa hatua ✍️
🔥 Hii itakuwa siku ya kuongeza THAMANI ya maisha yako na jamii yako.
🇹🇿 “Tutakufanya uwe mtu wa kujiuliza:
Nimeifanyia nini TANZANIA, badala ya Tanzania imenifanyia nini?” 🇹🇿
✅ Chagua kuwa sehemu ya watu wa SULUHISHO
❌ Acha kuwa MLALAMIKAJI
📍 Watu wa DODOMA hii si ya kukosa kabisa 🔥🔥🔥
☎️ Thibitisha kushiriki kwa kupiga simu:
+255 718 939 765
+255 717 693 446

Address

ᴛᴀɴᴢᴀɴɪᴀ
Dar Es Salaam

Telephone

+255718939765

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mussa mtunzaafya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mussa mtunzaafya:

Share