LINDA AFYA

LINDA AFYA tunawasaidia watanzania wote Kama wewe kuondoa sumu mwilini na kulinda afya yako kwa kutoa elimu(tiba

🔴 *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA*👉🏻Usumbufu wa hedhi👉🏻Kuumwa kichwa mara mara👉🏻Kizunguzungu👉🏻Kichefuchefu👉🏻Kuongeze...
23/11/2024

🔴 *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA*

👉🏻Usumbufu wa hedhi
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kizunguzungu
👉🏻Kichefuchefu
👉🏻Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
👉🏻Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids)

🔴 *MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA*

👉🏻Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe
👉🏻Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
👉🏻Kuumwa kichwa mara mara
👉🏻Kupata kichefuchefu
👉🏻Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
👉🏻Kubadilisha mwenendo wa damu
👉🏻Kuliathiri ini kidogo kidogo
👉🏻Kupata kisukari
👉🏻Kupata ugonjwa wa moyo
👉🏻Kupooza upande mmoja wa mwili.
👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

*🔴MADHARA YA KIJITI*

👉🏻Husababisha saratani za aina mbali mbali
👉Kuchanganyikiwa kiakili
👉🏻Shinikizo la damu
👉🏻Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
👉🏻Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
👉🏻Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa

*🔴MADHARA YA KITANZI*

👉🏻Utokaji ovyo wa damu
👉🏻Kutoboka fuko la uzazi
👉🏻Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.
👉🏻Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
👉🏻Kuondoa hamu tendo la ndoa.

K**a umeshaathirika na moja Kati ya njia hizi karibu nikusaidie

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA KWA CHANGAMOTO ZOZOTE ZA KIAFYA TUWASILIANE KWA NAMBA 0769002453

*UKE MKAVU:* ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaan ESTROGEN HORM...
20/11/2024

*UKE MKAVU:* ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaan ESTROGEN HORMONES,, ambayo huleta ute na vilainishi vya uke

✍️✍️_kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wa wastanii ambao hufanya uke kubana, kuleta joto na raha katka tendo.

*DALILI ZA UKE MKAVU*
_Maumivu makali wakatI wa tendo la ndoa
_kutokwa na damu wakati/baada ya tendo la ndoa
_kukosa/kupungua hamu ya tendo la ndoa
_maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo
_maumivu ya kiuno, mgongo na tumbo
_maumivu ya mifupa na viungo
_kuwa na ngozi kavu
_msongo wa mawazo kupita kiasi
_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
_kuto furahia tendo la ndoa
_kuto shika mimba

➡️ikiwa wewe ni mwanamke unapatwa na ukavu ukeni, au kupoteza hamu ya tendo la ndoa. Usisite kunicheki sasa, nitakushauri na kukuelekeza nini cha kufanya.

*KAZI ZA UTE KWENYE UKE WA MWANAMKE:-*1. Kutoa unyevunyevu wa asili - Husaidia kulainisha uke.2. Kinga dhidi ya maambuki...
20/11/2024

*KAZI ZA UTE KWENYE UKE WA MWANAMKE:-*

1. Kutoa unyevunyevu wa asili - Husaidia kulainisha uke.

2. Kinga dhidi ya maambukizi - Ute hutoa kinga dhidi ya bakteria na fangasi.

3. Kusaidia mchakato wa uzazi - Ute wa rutuba huboresha mazingira ya mbegu za kiume kusafiri.

4. Kudhibiti pH ya uke - Husaidia kudumisha usawa wa tindikali.

5. Dalili za mabadiliko ya homoni - Hutoa ishara za mzunguko wa hedhi.

6. Kuboresha starehe ya tendo la ndoa - Hutoa ulainishaji wa asili, na kuondoa maumivu.

7. Kusafisha uke - Husaidia kuondoa seli zilizokufa na uchafu.

Ni wakati wa kutoa sumu mwilini na kua na mwili wenye Afya*Vyanzo vikuu vya Sumu Mwilini* 1) *Ulaji duni WA virutubisho*...
20/11/2024

Ni wakati wa kutoa sumu mwilini na kua na mwili wenye Afya
*Vyanzo vikuu vya Sumu Mwilini*
1) *Ulaji duni WA virutubisho*
Kukosa mlo kamili au kitaalumu tunaita balance diet kunaweza sababisha mtu kupata sumu kutokana na kula wanga peke au vyakula venye mafuta mengi k**a chips na nyama nyekundu.

2) *Uchafu WA mazingira* hasa mioshi mbalimbali mfano mioshi ya viwandan, mioshi ya magari pamoja na mioshi ya watu wanaovuta sigara hiyo yetu hupita kwenye mapafu yetu na kuharibu moja kwa moja seli zetu za ndani.
3) *Kukosa mda WA mapumziko*
Shirika LA Afya Dunia linashauri binadamu kulala masaa 7 had 8 kwa mtu mzima, kwasababu mda ambao tunapumzika seli zetu zinapumzika pia na kupata mda WA kujizalisha kwa wingi zaidi.
4) *Msongo WA mawazo,* mawazo ya kupitiliza husababisha kuharibika kwa seli za ubongo hivyo kuathiri utendaji Kazi wake.
*5)Madawa ya viwandani,* dawa hizo au vidonde vya hospital n vzr Sana kwa kutibu changamoto mbali mbali za kiafya ila hutuachi sumu Kati miili yetu hivyo kuharibu seli zetu na utendaji wake WA Kaz.
Unakumbushwa kuchukua dawa hizi pale tu u apo fanya vipimo na kupata Ushauri wa dactari.
*6)Njia mbali mbali za Uzazi wa Mpango*
Njia hizi hutuachia sumu mwilini na kuharibu mifumo yetu ya Uzazi hasa kwa wanawake.

*Namna ya kuondoa Sumu mwilini*
✍️Kula Mlo kamili na pendelea kula zaidi Vyakula vya Asili
✍️Kunywa Maji Mengi
✍️Pendelea kufanya Mazoezi ya Viungo
✍️Epuka mazingira hatarishi mfano maeneo yenye Maji taka, uchafu na maeneo yenye mioshi
✍️Epuka matumizi ya Pombe na Sigara
✍️Usipende kutumia dawa za viwandani kihorera, tumia dawa pale tu unapofanya vipimo au kushauriwa na Dactari.

Viashiria vya mtu Mwenye sumu nyingi Mwilini
✨kichwa kuuma mara kwa mara
✨ uchovu wa mara kwa mara
✨kupata choo kigumu( constipation)
✨kuharisha na matatizo mengi ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
✨ maumivu ya Mgongo
✨ Allergies za aina yoyote
✨ Matatizo ya Ngozi k**a chunusi sugu, mabaka,vipere.
✨Unene uliopitiliza
✨mkojo wenye harufu kali na rangi ya njano.
✨kukosa usingizi mzuri
✨Msongo wa mawazo.

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa number +255769002453

Address

Dar Es Salaam
2015

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LINDA AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share