Tabibu hajra

Tabibu hajra Ninawasaidia watu wenye Vidonda Vya Tumbo kwa kuwapatia Elimu, Ushauri na Tiba. Tuwasiliane

10/06/2026

📝👂🏽

24/05/2026

⚠️ Unapohisi:
✔️ Moto kifuani
✔️ Acid inapanda hadi kooni
✔️ Ladha chungu mdomoni
✔️ Kifua kuwaka ukilala

Mwili wako unakuonyesha kuwa mfumo wa tumbo haupo sawa.

Kupuuza hali hii kwa muda mrefu kunaweza kufanya maumivu yaongezeke na kuathiri raha ya kula, kulala na hata kufanya kazi vizuri.

💊 Ndiyo maana ni muhimu kupata matibabu sahihi mapema kabla hali haijawa kubwa zaidi.

17/05/2026

“Maumivu ya tumbo hayapumziki Jumapili… na sisi pia hatupumziki.” ❤️📦

K**a unasumbuliwa na:
✔️ Vidonda vya tumbo
✔️ Acid reflux
✔️ Kiungulia
✔️ Gesi na maumivu ya mara kwa mara tumboni

Usiendelee kuvumilia kila siku ukitegemea maumivu yatapita yenyewe.

💊 MNOEDI imekuwa msaada kwa watu wengi waliokuwa wanateseka kwa muda mrefu bila kupata nafuu ya kudumu.

🚚 Tunatuma dawa Dar es Salaam na mikoani kote hata leo Jumapili
💰 Kwa waliopo mikoani unaweza kutanguliza kidogo kisha ukalipia ukishapokea kwa utaratibu maalum

📍 Ofisi: Mbezi Luis, Dar es Salaam
📞 Piga/WhatsApp: 0719291570

👉 Afya yako ni muhimu kuliko kuendelea kuvumilia maumivu kila siku.

14/05/2026

Mnoedi imewasaidia wengi wenye changamoto za:
✔️ Vidonda vya tumbo
✔️ Acid reflux
✔️ Kiungulia
✔️ Gesi tumboni
✔️ Maumivu ya tumbo ya muda mrefu
✔️ Kukosa choo vizuri

Usiendelee kuteseka kimya kimya wakati suluhisho linaweza kuwa karibu nawe 🙏

📍 Ofisi zetu zipo Mbezi Luis, Dar es Salaam
📞 Wasiliana nasi: 0719291570

🚚 Kwa waliopo mikoani tunatuma dawa kwa haraka popote ulipo Tanzania.
✅ Unaanza kwa kutanguliza kidogo tu kwa utaratibu maalum, kisha unamalizia malipo baada ya kupokea dawa zako salama.

Afya yako ni muhimu sana ❤️ Usisubiri mpaka hali iwe mbaya zaidi. Wasiliana nasi leo.

07/05/2026

“📢 WAGONJWA WA MIKOANI TUMEWARAHISISHIA ZAIDI! 🚚

Dozi kamili ni 110,000/=
Usafiri ni 5,000/= tu.

✅ Ukiwa mkoani hutakiwi kulipa pesa yote mwanzo!
Unatuma 10,000/= ya kuthibitisha oda yako, kisha dawa inatumwa mara moja 🚚

Ukishapokea dawa ndipo unamalizia 105,000/= iliyobaki 🙌

Hii ni kuhakikisha unapata huduma kwa urahisi na kujiamini 💯

📞 0719291570
📍 Ofisi: Mbezi Luis, DSM
🚚 Tunatuma mikoa yote Tanzania”

Maumivu ya tumbo si kitu cha kawaida k**a wengi wanavyodhani…Inaweza kuwa ni vidonda vya tumbo vinavyoanza polepole bila...
23/04/2026

Maumivu ya tumbo si kitu cha kawaida k**a wengi wanavyodhani…
Inaweza kuwa ni vidonda vya tumbo vinavyoanza polepole bila wewe kujua.

Watu wengi wamekuwa wakivumilia hali hii kwa muda mrefu—wakidhani itaisha yenyewe… lakini ukweli ni kwamba bila matibabu sahihi, hali inaweza kuwa mbaya zaidi.

👉 Habari njema ni hii:
Unaweza kuondokana na tatizo hili mapema ukichukua hatua sasa.

Usiendelee kuteseka kimya kimya.
Afya yako ni muhimu kuliko kusubiri na kujiuliza.

✅ Chukua hatua leo:

📍 Ofisi: Mbezi Luis, Njiapanda ya Makabe
📞 Simu: 0719 291 570

👉 Piga simu sasa au fika ofisini upate dawa na ushauri sahihi.

Usisubiri hadi maumivu yaongezeke—anza matibabu leo ujisikie nafuu haraka.

🔥 USIPUUZE HII FEEDBACK! 🔥Mgonjwa halisi, matokeo halisi! 🙌Baada ya kutumia MNOEDI, sasa anaendelea vizuri na anajiandaa...
09/04/2026

🔥 USIPUUZE HII FEEDBACK! 🔥

Mgonjwa halisi, matokeo halisi! 🙌
Baada ya kutumia MNOEDI, sasa anaendelea vizuri na anajiandaa kumaliza dozi yake akiwa na afya njema 💚

👉 K**a bado unateseka na vidonda vya tumbo, maumivu, kiungulia au gesi, usiendelee kujitesa kimya kimya!
Wengi wamepona — na WEWE unaweza kuwa next!

⚠️ Usisubiri hali yako izidi kuwa mbaya
✔️ Dawa salama
✔️ Matokeo yanaonekana
✔️ Tunakujali mpaka upone kabisa

📍 Ofisi: Mbezi Luis – DSM
🚚 Tunatuma mikoani kote – unalipia ukishapokea mzigo wako

📞 Piga/WhatsApp sasa: 0719291570

💬 Chukua hatua leo… afya yako haina mbadala!

“Nilikuwa naumwa sana… lakini sasa nashukuru Mungu nimepona.”Huu ni ushuhuda wa mmoja wa wagonjwa waliotumia dawa ya MNO...
07/03/2026

“Nilikuwa naumwa sana… lakini sasa nashukuru Mungu nimepona.”

Huu ni ushuhuda wa mmoja wa wagonjwa waliotumia dawa ya MNOEDI kwa ajili ya vidonda vya tumbo. 🙏

Baada ya kusumbuliwa na:
❌ Maumivu ya tumbo mara kwa mara
❌ Acidi kali baada ya kula
❌ Kichefuchefu na tumbo kuwaka

Leo anasema anaendelea vizuri na anashukuru kwa nafuu aliyopata.

👉 Hii ndiyo sababu watu wengi sasa wanaamini dawa ya asili ya MNOEDI kusaidia kupunguza na kuondoa tatizo la vidonda vya tumbo.

Usiendelee kuteseka kimya kimya.
Anza safari ya kupona leo k**a wengine walivyofanikiwa.

📞 Piga / WhatsApp: 0719 291 570
📍 Wasiliana na: Tabibu Hajra

⚠️ K**a una dalili za vidonda vya tumbo k**a:
• Maumivu ya tumbo mara kwa mara
• Kiungulia au acidi kali
• Tumbo kuwaka baada ya kula

Usisubiri hali iwe mbaya zaidi. Wasiliana nasi sasa.

KUTOKA KUKOPA PESA MPAKA KUPATA TIBU YA UHAKIKA! 🙏✨🫙Hii ndio stori ya Dullah. Alifika kwetu akiwa amekata tamaa kabisa. ...
22/01/2026

KUTOKA KUKOPA PESA MPAKA KUPATA TIBU YA UHAKIKA! 🙏✨

🫙Hii ndio stori ya Dullah. Alifika kwetu akiwa amekata tamaa kabisa. Alikuwa ameshatumia dawa nyingi bila mafanikio mpaka akafikia hatua ya kukopa pesa ili ajaribu dawa ya MNOEDI.

🙇‍♂️Alikuwa anahisi tumbo linawaka moto, baridi kali tumboni, na hawezi kula vizuri. Lakini angalia leo! Ameweza kufunga Ramadhan yote na sasa anafurahia mlo wake bila maumivu. Hata pilipili alijaribu kula na tumbo liko imara! 💪

Je, na wewe unateseka na:
✅ Vidonda vya tumbo sugu?
✅ Bakteria (H. Pylori) wanaokataa kuondoka?
✅ Maumivu ya moto au baridi tumboni?

Usikate tamaa k**a alivyokuwa Dullah. Suluhisho lipo!

💰 Dozi kamili ni 110,000/= tu.

📞 Piga/WhatsApp: 0719291570 📍 Tabibu Hajra - Tunatibu chanzo cha tatizo!

Address

Mbezi Luis
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabibu hajra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tabibu hajra:

Share