08/01/2026
Ganzi (numbness) ni hali ya kufa ganzi, kuchomachoma au kupoteza hisia kwenye sehemu ya mwili (k**a mikono, miguu, vidole)n.k .
Sababu za kawaida za ganzi
Msukumo au shinikizo kwenye mishipa ya fahamu (mf. kukaa vibaya, disc ya mgongo)
Mzunguko duni wa damu U pungufu wa vitamini B
Shinikizo la damu
Msongo wa misuli au uchovu
Matatizo ya mgongo au shingo
msongo wa misuli
mzunguko duni wa damu
uchovu wa mishipa
Nifanye nini?
Ni muhimu kujua chanzo cha ganzi kabla ya tiba:
Pima sukari ya damu
Pima vitamini B
Angalia shinikizo la damu