Virutubisho Lishe Tiba.

Virutubisho Lishe Tiba. Faham Umuhim wa virutubisho Lishe Katika Mili yetu Binadam.

HABARI KUBWA YA LEO NI KUHUSU C24/7C24/7 ni nini? hii ni tibalishe/kirutubisho lishe kipya - chenye uundwaji wa kipekee ...
22/12/2025

HABARI KUBWA YA LEO NI KUHUSU C24/7

C24/7 ni nini? hii ni tibalishe/kirutubisho lishe kipya - chenye uundwaji wa kipekee ulio bora zaidi kuliko bidhaa zingine za asili sokoni za virutubisho lishe/tibalishe. NATURE's WAY imetumia michakato yake ya utengenezaji inayoruhusu viungo vyote kutoa kiwango cha juu cha antioxidants na phytonutrients.

C24/7 ina kiwango cha juu zaidi cha antioxidants na takriban 22,000 Phytonutrients katika Kila kidoge kimoja.

FAIDA UNAZO PATA UKITUMIA C24/7

✅Huchangia kuishi mdamlefu.
✅Husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini (bad cholesterol.
✅Hukukinga na magonjwa ya moyo na Athari zake.
✅Inasaidia kuzuia saratani ya asili yoyote.
✅Hudhibiti shinikizo la juu la damu.
✅Hudhibiti sukari ya damu

✅Huimarisha na kuwekwa usawa wa metabolism.
✅Huongeza uzalishwaji wa glutathione ya asili mwilini.
✅Hurudisha muonekano asili wa ngozi.
✅Huzalisha seli mpya za ini.
✅Hupromote mzunguko mzuli wa damu wenye afya.
✅Huondoa sumu mwilini. ✅Huondoa uchovu, Msongo wa mawazo na wasiwasi.
✅Huongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa

INAMUNGANIKO WA VIRUTUBISHO MUHUMIM VYA KILA SIKU

29Vitamins/Minerals/Trace minerals.
18Amino Acids.
14Vyakula vya kujani/juice ya spirulina.
12Juice za matunda tofauti yalio sagwa pamoja.
12Juice za mboga mboga zilizo sagwa pamoja.
12Aina za uyoga
12Aina vimeng'enya chakula
12Mimea & irutubisho Maalum
10Essential fatty acids
5Kuzuia uzee/Kiboreshaji cha Antioxidant
4longevity polyphenols/mega Resveratrol blend

C24/7 imetengenezwa na kampuni ya NATURE's WAY kampuni Bora iliobobea kwa utengenezaji wa Bidhaa za asili za mitishamba kutokea marekan.

C24/7
C INAWAKILISHA

✍️Cellular protection (kulinda seli)
✍️Cellular immunity (kinga seli)
✍️Cellular Energizer (Huzipa seli nishati/nguvu)
✍️cellular Enhancement (Huimarisha seli)
✍️Cellular longevity (Huzinya seli kuishi mdamlefu)
✍️Cellular Nourishment (lishe ya seli)
✍️Cardio protection (ulizi wa moyo)
✍️Cancer protection (kinga ya saratani)

Utumiapo C24/7 unaupatia mwilini wako virutubisho lishe vyote muhim ndani ya masaa 24 kwa siku saba ya week. C24/7 ni kinga na tiba ya magonjwa 100 kuipata C24/7 wasilina nasi
0718 750 220
Bei yake ni kwanzia Tsh 30,000 - 85,000

Afya-Coffee.
Naimulika Afya

Address

Mwenge Mpakani (Tanzanite Tower)
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 12:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Virutubisho Lishe Tiba. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share