Afya Kwanza

Afya Kwanza Virutubisho vya asili kwa Afya yako ya Uzazi. Afya ya uzazi kwa wanaume & mwanamke Piga/WhatsApp sasa kwa Ushauri wa bure 255673627121

11/06/2026
Testosterone ni homoni kuu kwa mwanaume inayochangia:✔️ Hamu ya tendo✔️ Nguvu za mwili✔️ Uzalishaji wa mbegu⚠️ Dalili za...
01/06/2026

Testosterone ni homoni kuu kwa mwanaume inayochangia:
✔️ Hamu ya tendo
✔️ Nguvu za mwili
✔️ Uzalishaji wa mbegu

⚠️ Dalili za upungufu:
– Kuchoka sana
– Kupungua hamu ya tendo
– Kukosa nguvu za kiume

💡 Suluhisho: Lishe bora, mazoezi, na ushauri wa kitaalamu

Afya ya uzazi kwa mwanaume inahusisha mambo kadhaa muhimu ✔️ Ubora wa mbegu za kiume (s***m quality)✔️ Mzunguko sahihi w...
01/06/2026

Afya ya uzazi kwa mwanaume inahusisha mambo kadhaa muhimu
✔️ Ubora wa mbegu za kiume (s***m quality)
✔️ Mzunguko sahihi wa damu kwenye uume (blood circulation)
✔️ Uwiano wa homoni hasa testosterone
✔️ Afya ya tezi dume (prostate health)

⚠️ Changamoto katika maeneo haya zinaweza kusababisha:
– Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
– Kushindwa kusimamisha au kudumisha uume (erectile dysfunction)
– Idadi ndogo au ubora duni wa mbegu
– Ugumu wa kumpa mimba mwenza

Sababu kuu zinazochangia ni pamoja na:
• Msongo wa mawazo (chronic stress)
• Lishe isiyo na virutubisho muhimu
• Matumizi ya pombe au uvutaji sigara
• Magonjwa sugu k**a kisukari au presha
💡 Mapendekezo ya kitaalamu:
– Fanya mazoezi mara kwa mara
– Kula lishe bora (mboga, matunda, protini)
– Punguza stress
– Pata ushauri mapema unapogundua dalili

Ukweli ni huu 👇Wanaume wengi wanapitia hali hii, ila hawaongei.🔻 Kushindwa kurudia tendo k**a zamani🔻 Uume kusimama kwa ...
01/06/2026

Ukweli ni huu 👇
Wanaume wengi wanapitia hali hii, ila hawaongei.
🔻 Kushindwa kurudia tendo k**a zamani
🔻 Uume kusimama kwa muda mfupi
🔻 Kukosa hamu kabisa
🔻 Kujihisi dhaifu mbele ya mpenzi wako
💔 Hali hii inaweza kuvuruga mahusiano yako bila wewe kujua...
Lakini ukweli mwingine ni huu 👇
💡 Tatizo linaweza kutibika kabisa ukichukua hatua mapema!
Usiruhusu hali hii ikuondolee furaha yako 🔥
📩 Nitumie “POWER” WhatsApp: +255673627121
🔒 Huduma ni ya siri, salama na yenye matokeo

01/06/2026

Wanaume wengi wanapitia changamoto za afya kimya kimya 😔
Usizipuuzie dalili hizi:
❌ Kuchoka haraka wakati wa tendo
❌ Kupungua kwa hamu ya tendo
❌ Kushindwa kusimamisha au kudumisha uume
❌ Maumivu ya kiuno au korodani
❌ Mbegu kuwa chache au dhaifu
👉 Hizi zinaweza kusababishwa na:
– Msongo wa mawazo (stress)
– Lishe duni
– Matumizi ya pombe/kulevya kupita kiasi
– Mzunguko mbaya wa damu
💡 Habari njema: Inawezekana kurekebisha hali hii kwa njia sahihi na salama!

Usikae kimya!
Chukua hatua leo kurejesha uimara wako 💪🔥
📩 Nicheki DM au WhatsApp: +255673627121
📍 Huduma ya siri na ushauri wa kitaalamu

K**a unapitia hali hizi, usizipuuze ❗1️⃣ Hedhi isiyoeleweka (inachelewa au kuwahi sana)2️⃣ Maumivu makali wakati wa hedh...
31/05/2026

K**a unapitia hali hizi, usizipuuze ❗
1️⃣ Hedhi isiyoeleweka (inachelewa au kuwahi sana)
2️⃣ Maumivu makali wakati wa hedhi
3️⃣ Kushindwa kushika mimba kwa muda mrefu
4️⃣ Uchovu wa mwili bila sababu
5️⃣ Msongo wa mawazo kuhusu uzazi
👉 Hizi zinaweza kuwa ishara ya changamoto ya uzazi.
Lakini habari njema ni hii…
Mapema ukichukua hatua, ndivyo nafasi ya kupata suluhisho inavyoongezeka 🙏

📲 Wasiliana nami DM au WhatsApp 0673627121
Upate ushauri wa siri na tiba sahihi kulingana na tatizo lako 💯

24/05/2026

Nikikumbuka Kuna siku niliend hospital nikaambiw Nina Uvimbe 2cm nilishiwa Nguvu kabisa na Kuna doctor ananiambia naweza fanyiwa operation na kuwa Sawa kabisa.
Lakini nikafikilia nifanyiwe operation na Sina mtoto hata mmoja je wakinitoa kizazi je. Nikafany maamuz ya kutumia bidhaa moja inaitwa refined yunzh na Uvimbe wote kwisha 🥹

Na wew Leo unaweza Kuanz safari yako ya kupona Uvimbe bila upasuaji. Uvimbe bila upasuaji inawezekana

Fanya maamuz sas 255673627121
🇹🇿

24/05/2026

Hizi hapa DALILI 5 ZA MWANAMKE MWENYE TATIZO LA UZAZI
1. Hedhi kutokuwa regular
Inakuja tofauti kila mwezi
Au inachelewa sana / kuwahi sana
👉 Hii inaweza kuashiria homoni haziko sawa
2. Maumivu makali wakati wa hedhi.
Maumivu yasiyo ya kawaida
Yanayokufanya ushindwe kufanya shughuli
👉 Inaweza kuwa ishara ya tatizo la ndani (mfuko wa uzazi)
3. Kutopata mimba kwa muda mrefu
Unajaribu zaidi ya miezi 6–12 bila mafanikio
👉 Hapa kuna uwezekano wa changamoto ya uzazi
4. Kutokwa na uchafu usio wa kawaida
Harufu kali
Rangi tofauti (njano/kijani)
👉 Inaweza kuwa infection inayoweza kuathiri uzazi
5. Maumivu wakati wa tendo
Kuhisi maumivu badala ya raha
👉 Sio kawaida inaweza kuwa dalili ya tatizo

Ukiona dalili hata moja kati ya hizi… usipuuzie ⚠️
Wanawake wengi hupuuza dalili hizi wakidhani ni kawaida… 😔
Lakini ukweli ni kwamba zinaweza kuathiri uwezo wa kupata mimba.
Usingoje hali iwe mbaya.
#255673627121

Hamu ya tendo imepungua bila sababu?Usifikirie ni kawaida…Hii inaweza kuwa dalili ya:✅ low testosterone✅ uchovu wa mwili...
24/05/2026

Hamu ya tendo imepungua bila sababu?

Usifikirie ni kawaida…
Hii inaweza kuwa dalili ya:
✅ low testosterone
✅ uchovu wa mwili
✅ au matatizo ya ndani

Ukichelewa, hali inaweza kuwa mbaya zaidi.

📲 Wasiliana nami sasa kabla haijawa kubwa zaidi.

Address

Mlimancity
Dar Es Salaam

Telephone

+255628798526

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share