16/05/2020
KWA WANAUME HUU NDIO UKWELI JUU YA MFUMO WA UZAZZI
☎ +255778749710
Tunaangamia kwa kukosa maarifa...
Katika hali halisi kadiri siku zinavyozidi kwenda unaweza kuona mabadiliko hasa;
🔹Kukosa ham ya tendo la nnddoa,
🔹Kuwahi kufika kileleni (ndani ya dakika chache tu tayari),
🔹Sometimes uumme unasimama kwa ulegevu, uchovu,
🔹Mara nyingine huwez tu kurudia tendo n.k
..Hapa napenda kwenda moja kwa moja kwa wale ambao mshakutana na CHANGAMOTO hii au ambao umri umesogea. Nadhani unaelewa sana suala hili na pengine ndo changamoto unazokumbana nazo sasa.
K**a hili suala bado ni jipya kwako basi si ajabu utakutana nalo tu kwasababu mfumo wa maisha kwa walio wengi approximately 98% unafanana. Nikiwa namaanisha:-
🔹Vyakula ni vilevile tunavyo kula mara kwa mara,
🔹Hakuna mazoezi,
🔹No time to rest (hakuna mda wa kupumzika always busy na maisha) n.k.
Pia wengine licha ya kua na mfumo wa maisha mbovu wamejiharibu zaidi kwa kua na:-
🔹Tabia mbovu za kuangalia picha na video za uchi, na
🔹Kujichua.
Nguvu za kiumme inategemeana na jinsi wewe mwenyewe unavyoishi na zinashabiina na:-
🔹Tabia zako kila siku na vyakula,
🔹Vinywaji unavyo tumia,
🔹Dawa mbalimbali unazotumia na vile kila Mbongo ni doctor bhaaaasi unajimezea tu madawa kila kukicha na hujui yanaenda kukufanya nini mwilini.
Upande wa vyakula unakuta wanaume wanajisifia kula dona, sijui mboga za majani yani mbwembwe nyingi kweli...saawa ila;
🔸Ni mboga ya aina gani? Au mboga ni mboga tu?
🔸Hiyo mboga imelimwa wapi?
🔸Imelimwa katika mazingira gani?
🔸Wewe mwenyew umeiandaaje?
Na hii siyo kwa mboga mboga pekee bali matunda na vyakula vingine pia.
Hivi vitu visipozingatiwa ndo utasikia aaah mimi mbona nakula vizuri tu na hali yangu imekua mbaya?....Jifunze namna ya kuongeza thamani ya vyakula vyako. Siku hizi waliojanjaruka wameenda mbali sana na kujijali kwani wanakula kulingana na makundi yao ya damu k**a ni A, B, AB au O...(si ajabu ukawa ndo kwaanzaa unaskia hapa hivi vitu ...sawaa ila ndo wapaswa kulifaham hili)
Upungufu wa nguvu za kiumme ni jambo linalosababishwa na vitu vingi sana. Achilia mbali hivyo nimekwisha vitaja hapo mwanzo hili tatizo limekua likisababishwa na vitu vifuatavyo:-
👉Magonjwa sugu k**a na
,
👉Ukosefu wa choo kubwa kwa wakati, na
👉 mkubwa na ikiwa ni sehemu ya kichochezi cha shida za nguvu za kiumme.
Kwa hiyo kabla hujakimbilia kuongeza nguvu za kiumme jifunze afya kwa ujumla namna ya kujiepusha na magonjwa ya kitabia yatokanayo na mitindo ya maisha. Hii itakuchukua muda lakini utapata faida ya miaka mingi. Na ujue tunaangamia kwa kukosa maarifa hata vitabu vitakatifu vimesema.
Shortcut nazo zinatumaliza, umepata matatizo ya nguvu za kiumme zimepungua then...unataka nguvu zirudi tu faster… kweli!! KWANI HIZO NGUVU ZILIISHA FASTER?
Zilitumia process bila wewe kujua...be carefully everything require process na fata utaratibu anza kujifunza:
🔸Nguvu za kiumme ni nini,
🔸 Kitu gani kinaathiri nguvu za kiume,
🔸Kwanini zinapungua na ni nini cha kufanya (jifunze kwanza sio tu kila mtu kapost dawa za nguvu za kiumme unakimbilia huko) .... Nina uhakika huu msemo "tunaangamia kwa kukosa maarifa" unagusa wengi.
Jifunze mifumo ya mwili wako, mfumo wako wa uzazi na vichocheo vyake. Unapaswa ujua organi muhimu katika mfumo wako wa uzazi, namna zinavyofanya kazi, faida zake n.k.
Mfano: Homoni ya !
?
Hii Ndio homoni inayohusika na uanaume wako kuanzia:
👉Sauti,
👉Nywele zinazoota kila sehemu husika,
👉Misuli imara,
👉Nguvu za mwili/stamina,
👉Hamu ya tendo la nddoa,
👉Production ya mbegu za kiumme, na
👉Maumbile ya kiumme.
Sasa ili mfumo wako wa uzazzi uwe vizuri ukamilike katika kila idara wapaswa kuutunza kwa makini sana. Sasa cha kushangaza asilimia kubwa ya watu sijui ndo kulinda kwenyewe!, sijui ndo kushtua system....yaani nashindwaga kuwaelewa kwa sababu wanavyovitumia ni shida tupu. Kemikali kibaao mara , mara # , ooh sijui **ra, makopo yote ya energy drinks na madawa mengine wanayajua wao wenyewe kwa sababu ni yapo mengi siyo mchezo ya kila aina....hivi kweli kwa style hii tutafika🤔??!
Labda ni kuuliza swali jepesi jibu baki nalo: Je, unafahamu madhara ya kunywa energy drinks zenye kemikali hasa za viwandani? Na hayo mengine unayotumia unafaham madhara yake kweli?
USHAURI:
Kabla hujaomba kupewa tiba ya changamoto za mfumo wa uzazzi na Nguvu za Kiumme... omba maarifa kwanza.
Upatapo mda tembelea ukrasa wetu wa fcbok ujifunze zaidi. Elimu haina mwisho na haya ndio maisha yetu.
KWA CHANGAMOTO YOYOTE KUHUSU HAYA MASUALA WASILIANA NASI;
Call/text: ☎ +255778749710
Whatsapp https://wa.me/255778749710?text=Hello%2C%20Naitaji%20Kujua%20zaidi%2C%20Juu%20ya%20bizaa%20ya%20malt%20maca%F0%9F%98%8E