Afya ni uwekezaji

Afya ni uwekezaji Utatuzi wa changamoto za afya.

Changamoto ya haja kubwa huwapata watu wa rika zote haijalishi umri wala jinsia. Miongoni mwa sababu huwa ulaji mbovu wa...
07/01/2026

Changamoto ya haja kubwa huwapata watu wa rika zote haijalishi umri wala jinsia. Miongoni mwa sababu huwa ulaji mbovu wa muhusika, kutokula vyakula vya nyuzi / kambakamba, kutokunywa maji kwa wingi, kutopenda kula mboga mboga kwa wingi, kupendelea zaidi vyakula vya mafuta mengi badala ya michemsho na kadhalika.

Hii hali ikiwa endelevu hupelekea bawasiri (kinyama kwenye njia ya haja kubwa) .. hivyo ni vyema sana tujiangalie miendendo yetu ya ulaji wa kila iitwayo leo kwa ajili ya kukimbiza tatizo hili kwenye miili yetu.

K**a una dalili ama tayari una changamoto hii usisite kuwasiliana nasi kwa utatuzi kupitia virutubisho vyetu visivyo na madhara https://wa.me/+255712657055

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni uwekezaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya ni uwekezaji:

Shortcuts

Share