afya_njema_tz

afya_njema_tz Tunawasaidia na kutatua matatizo yote yatokanayo na uzazi kwa wanawake na wanaume... hapa utapata ku

Haya ndio tunaanza upya kabisa hiv sasa
15/12/2023

Haya ndio tunaanza upya kabisa hiv sasa

Usijaribu Kushiriki Mapenzi Katika Kipindi Cha Hedhi, Nimepokea Case Nyingi Za Madhara Ya Kushiriki Tendo La Ndoa Kipind...
08/10/2023

Usijaribu Kushiriki Mapenzi Katika Kipindi Cha Hedhi, Nimepokea Case Nyingi Za Madhara Ya Kushiriki Tendo La Ndoa Kipindi Cha Hedhi.

👇
Kitendo cha kushiriki tendo kipindi cha hedhi kina madhara makubwa kwa wanaume na wanawake, Twende pamoja.✍

Matatizo ya tezi dume " PROSTETITS" Ni tatizo linalo wakumba Wanaume wengi na katika mfumo wa uzazi na hata kupelekea ugumba.

Maambukizi ya PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID), Saratani ya shingo ya kizazi Na Kuziba kwa mirija ya uzazi, Matatizo haya usipo wahi matibabu inapelekea kutoshika mimba kabisa.

Uchafu wa hedhi unapelekea kulegea kwa mishipa ya uume nakupelekea tatizo la Uume kusimama Legelege. (Erectile-dysfunction) ED.

Mwanamke kupatwa na maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi (DYSMENORRHEA).

Kuongezeka kutoka kwa damu nzito Nyeusii na yenye mabonge, Sio hali ya kwaida ya hedhi, Nihatari kwa afya ya Uzazi.

Harufu mbaya mazingira machafu kusababisha adhari ya kisaikolojia, Hivyo kupelekea kutofulahia tendo na kutoka mchezoni mapema,tuache tamaa aseeh.

NB: Tuwapende wapenzi wetu, Aseeh siku 3-4 Hizo sio nyingii heshimu hedhi ya mpenzi wako mjali, misikilize anahitajinini Nasio kumlazimisha akiwa katika hali ya hedhi yake.

Kipindi mpenzi wako yupo katika siku za hedhi niwakati wako wakuonesha full upendo, Mnunulie vizawadi chocolate na vipipi, Kwa Wanawake wanao pata maumivu makali mkande na maji moto taratibu kuzunguka kiuno, Nasio kumnyandua mtoto wawatu. ZINGATIA

Matumizi ya p2 mara kwa mara hupelekea ugumba p2 au Postinor-2, Dawa hi hutumika kwa dharula tu, Vidoge hivi havitakiwi ...
07/10/2023

Matumizi ya p2 mara kwa mara hupelekea ugumba p2 au Postinor-2, Dawa hi hutumika kwa dharula tu,

Vidoge hivi havitakiwi kutumika mara kwa mara k**a njia ya uzazi wa mpango kwa kuzuia mimba kwani ni hatari kwa afya yako,

Ukweli ni kwamba p2 ni dawa ambayo inategenezwa na hormone, Na hufanya kazi kwa kuchelewesha yai lisitoke kwenye ovari, Nakuzuia mbegu zakiume kusafiri kwenda kurutubisha yai hilo,

Kumekua na ongezeko kubwa la wasichana umri miaka 18-28, Kutumia vidonge huvi vya dharula pasipo ushauri wa dakitari, Bila kufahamu madhara yatokanayo na vidonge hivyo ni makubwa kiafya.

Ukweli nikwamba matumizi ya mara kwa mara ya p2 yanaweza kuwa na athari kubwa kwa mtumiaji, Mbaya zaidi imeripotiwa kuwa ni chanzo kikubwa cha ugumba kwa wanawake,

Nje na hapo matumizi ya kiholela ya madawa haya hupelekea magonjwa hatari ikiwemo saratani ya shingo ya kizazi

Kwa asilimia kubwa vidonge hivyo hupelekea mabadiliko ya mzunguko wa hedhi, Kuona hedhi mara 2 kwa mwezi au kutoona kabisa, Pamoja na tatizo la Uke mkavu, na maumivu wakati wa tendo.

NB: Hutakiwi kutumia njia hii zaidi ya mara moja kwa mwaka madhara yake Unaharibu balance ya homoni kwa kiwango kikubwa kwa mtumiaji sugu hupelekea Ugumba. HATARI KWA AFYA YAKO

SIJUI K**A UNAJUA ILA ACHA NIKUJUZE TUUKidonge Kimoja cha p2 kina miligram 0.75, ukinywa kidonge hiki ni sawa na vidonge...
06/10/2023

SIJUI K**A UNAJUA ILA ACHA NIKUJUZE TUU

Kidonge Kimoja cha p2 kina miligram 0.75, ukinywa kidonge hiki ni sawa na vidonge 50 vya uzazi wa mpango

Ukimeza P2 moja ni sawa umekula dozi ya siku 50 ya uzazi wa mpango

Baada ya muda tutakuja kulia na wimbi la saratani.

Huku hujawahi kufanya detox miaka yako yote kuondoa sumu mwili

Sijui huwa unachukua muda gan kujiangali na kujichunguzaHaya mambo yako wingi sana ila tuu mnashindwa kuzingatia na huwa...
04/10/2023

Sijui huwa unachukua muda gan kujiangali na kujichunguza

Haya mambo yako wingi sana ila tuu mnashindwa kuzingatia na huwa nawaambia sana juu ya hii kitu mara kwa mara

Hivyo basi hizi ni dalili chache sana unaweza jikagua mwenyewe alafu njoo unipe jibu hapa umeonaje

Hakikisha Una Kula Ndizi Mbivu Moja + Tango moja, Kilasiku Nusu Saa Baada Ya Chakula Cha Usiku.Matango Yana Sifika Kuwa ...
04/10/2023

Hakikisha Una Kula Ndizi Mbivu Moja + Tango moja, Kilasiku Nusu Saa Baada Ya Chakula Cha Usiku.

Matango Yana Sifika Kuwa Na Antioxidants Kwa Wingi, Ambayo Husaidia Katika Cells Zako Za Mwili Ikiwepo S***m cells,

NB: Kumbuka Ili Uwe Na Uwezo Wakutungisha Mimba Nilazima Uwe Na Mbegu Bora, Nzito, Zakuvutia Na zenye Harufu Sahihi. ZINGATIA 🍆💦

Virutubisho ni muhimu sana tofaut na unavyo waza pia

Matatizo ya ukosefu wa nguvu zakiume sio yakushutukiza, Sikuzote matatizo haya huanza taratibu kwa kutafuna baadhi ya se...
03/10/2023

Matatizo ya ukosefu wa nguvu zakiume sio yakushutukiza, Sikuzote matatizo haya huanza taratibu kwa kutafuna baadhi ya sehemu katika mwili,

Swala la Erectile dysfunction (ED) Ni hutokana na Kisaikolojia na stamina wakati wa tende,

Mifumo ya nguvu za kiume moja kwa moja huusiana na matatizo katika mishipa ya damu, Mfumo wa neva yaani ile hali ya kisaikolojia wakati wa tendo, Na matatizo ya vichocheo (Hormones).

Kwa asilimia kubwa ya wanaume wengi wenye matatizo ya kimfumo wa nguvu za kiume huwa wana upungufu wa homoni ya kiume ya (Testosteroni).

Pia kwa kiasi fulani wapo wale wanao amini kwamba hawapo kamili kwa imani au kwa nyanja tofauti kwa kutumia madawa ya kuongeza maumbile na Uwezo kitandani,

Endapo utakuwa umetumia madawa ya booster hupelekea kushindwa kufanya tendo pasipo dawa hizo kwani sio zakutibu, balii huisha nguvu kwa muda fulani,

Asilimia kubwa ya wanaume sikuhizi wamekuwa tegemezi wa madawa k**a Vi**ra na zinginezo Mkongo n.k,

NB IVI USHA WAI JIULIZA UTAJINASUA VIPI KWENYE URAIBU WA MADAWA, AU USHA TUMIA MADAWA NA YAMEKUDHURU...??

Fanya hivi nifollow sasa kisha turn on my post notification 🔔 Soon nitakuletea njia zakufwata kujinasua katika matatizo hayo. ASANTE SANA

Ama unaweza wasiliana nami kwa no.

+255752 977 877

AFYA YAKO YA AKILI INABEBA DHAMANA KUBWA KATIKA AFYA YAKO YA UZAZI.》Iliuwe na afya njema ya akili na uzazi nimuhimu kuja...
03/10/2023

AFYA YAKO YA AKILI INABEBA DHAMANA KUBWA KATIKA AFYA YAKO YA UZAZI.

》Iliuwe na afya njema ya akili na uzazi nimuhimu kujali na kuzingatia mitindo bora ya maisha.

1. Kula vyakula vyenye afya, Epuka vyakula vyenye sukari nyingi, mafuta na chumvi,

2. Kula matunda, mboga mboga na vyakula vyenye protini k**a mayai, Maini Nk.

3. Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara, Itakujenga kiakili na kimwili, Angalau dakika 30 kwa mazoezi ni muhimu.

4. Epuka uvutaji wa sigara, Unywaji wa pombe kupita kiasi, na matuizi ya madawa pasipo matibabu sahihi.

5. Hakikisha unafanya uchunguzi wa afya yako mara kwa mara, hasa endapo utaona dalili za awali pale mwilini ambapo haupo sawa.

6. Kuhakikisha unapata usingizi wakutosha walau masaa 7-8 wakati wausiku itasaidia ku rekebisha afya ya mwili na akili,

7. Jifunze jinsi ya kudhibiti mawazo, Fanya self meditation 🧘‍♀️ , Itakusaida afya yako ya Akili.

8. Kudhibiti uzito wako nimuhimu sana kwa afya bora, Punguza uzito wako kupitia lishe na mazoezi, nimuhimu kwa afya bora.

NB: Maswala ya afya ya akili, uzazi na Kuepuka na magonjwa yasiyo ambuzwa, husababishwa na mitindo mibovu ya maisha. AMUA SASA

NGOJA NIKUJIZE JAMBO MOJA:  Ivi ushajiuliza ni stamina ya mwanaume wakati wa tendo ndiyo inayo pelekea kuridhika kwa mwa...
02/10/2023

NGOJA NIKUJIZE JAMBO MOJA:

Ivi ushajiuliza ni stamina ya mwanaume wakati wa tendo ndiyo inayo pelekea kuridhika kwa mwanamke, au ni saizi ya uume more than 6 inches ndiyo inapelekea kuridhika,

K**a jibu ni saizi ya uume, what if uume mkubwa lakini mwanaume hana stamina,

Yaan chini ya dakika 1 shuhuli imeishia hapo, Na Mwanamke ameachwa na unfinished pleasure.

JE..? Hapo size itaendelea kuwa ni kigezo kwako...?

Hebu nipe jibu hapa

Unataka kuishi salama kwa afya tena kwa mda mrefu na ukiwa unatafuta pesa?!!Fanya hivi achana na matumiazi haya-;:-1 WAN...
02/10/2023

Unataka kuishi salama kwa afya tena kwa mda mrefu na ukiwa unatafuta pesa?!!
Fanya hivi achana na matumiazi haya-;

:-1 WANGA

:-2 SUKARI

Alafu sasa tumia virutubisho kwa ajili ya afya kuijenga vizuri

asilimia 87 ya mauti ziko hapo ma-hosp wamejaa kwa ajili ya wanga na sukari,

Hata mchana huu inaenda kuingiza wanga na sukari
Epuka mauti🤸🤸🤸

SIJUI K**A TUMEELEWANA

KUJICHUA KWA MUDA MREFU: Ni moja kati ya vyanzo au sababu kubwa ya kupelekea matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume,Asili...
02/10/2023

KUJICHUA KWA MUDA MREFU:

Ni moja kati ya vyanzo au sababu kubwa ya kupelekea matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume,

Asilimia kubwa ya vijana wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume husababishwa na puchu,

Pindi unapo piga punyeto unakuwa una bana mishipa, Ambayo ndiyo hufanya uume kusimama,

Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo kulegea na uume kuto simama imara, au kutosimama tena,

》Mishipa ya uume iliyo legea kutokana na upigaji wa punyeto, Hupelekea madhara yafuatayo.

1. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax,

2. Mishipaya uume kulegea na kupelekea uume kusimama lege lege.

3. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa k**a uume wa mtoto,

NB: Punyeto huathiri ubongo kwa asilimia kubwa wapiga puchu, Wanamatatizo ya Uraibu, Na hii hupelekea matatizo ya kisaikolojia.

》Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo.

1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake,

2. Uume kusimama ukiwa legelege,

3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa,

4. kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili,

5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa, Au kuingiza kwa vidole kwenye uke.

6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya uke,

7. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke,

8. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.

9. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo hasa baada ya kumwaga manii,

10. Kushindwa kuunganisha mabao 2 hadi matatu.

NB: Nimuhimu kutambua yakwamba swala la upigaji wa puchu sio sifa, yawezakuwa umefanya mchezo huu kwa miaka 7 nausione madhara kwa haraka,

Lakini siku linakubumia ndipo utaanza kutapa tapa kutafuta msaada nahuki ukikuwa unajisifu na michezo hii ya hovyo,

Badilisha mitindo ya maisha yako, Jitambue tafuta mwanamke akuridhishe nasio kujichukulia sheria mkoni...

Toka huko hata kwa gharama kubwa unajiu mwenyew taratibu

Mwanaume yeyote asiye na matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, Huonyesha ishara zifuatazo:-1. Uume husimama ukiwa imara...
02/10/2023

Mwanaume yeyote asiye na matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, Huonyesha ishara zifuatazo:-

1. Uume husimama ukiwa imara wenye nguvu siku zote.

2. Kukaa kifuani kwa muda mrefu, Wastani ni kati ya dakika 20-45 kwa mshindo mmoja.

3. kuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu, Bila misuli ya uume kuchoka.

4. Kuwa na uwezo wakuanza na staili yeyote nakuwa na uwezo wakubadili staili kila baada ya dk 15.

5. Uume kusimama wenyewe bila kushikwa shikwa, wala kuwa stimulated kwa kupigishwa puchu.

MWISHO: Kuwa na uwezo wakufanya na kukamisha tendo kwa ukamilifu mkubwa mabao 3 mfululizo, Shahawa nzuto na zenye mvuto na harufu sahihi ya Shahawa imara.

JE..? We unaonaje kwa upande wako..? Upo na afya njema..⁉️

Vipo virutubisho vitakavyoweza kukusaidia sana na kuweza kukuimarisha kwa sehemu kubwa sana

Na kumbuka virutubisho sio dawa bali ni suluhisho la kudumu

We endelea kutumia booster za muda mfupi madhara yake utaja yaona baadae mbelen

Address

Makumbusho Bus Stand
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya_njema_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to afya_njema_tz:

Share