02/05/2023
Kuna baadhi ya wadada unawakuta wanajisifia kuwa hawana muda na maji kwa wiki wanaweza wasinywe maji kabisa... Wengine wanajisifu kuwa wanaweza maliza siku 3 bila kwenda haja kubwa 😀 hizi naziita SIFA ZA KIJINGA
K**a upo kundi la wadada wa aina hii, ina maana kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na kiwango kikubwa cha tindikali mwilini, si ajabu baadae ukajikuta na matatizo ya mawe kwenye figo, bawasiri, U.T.I sugu na matatizo ya kuumwa kichwa mara kwa mara. ACHA SIFA ZA KIJINGA, KUNYWA MAJI, KULA MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI, Kojoa utoe sumu, nenda haja kubwa angalau mara mbili kwa siku.
Endelea kujiweka mbali na maambukizi, kunywa maji, kuwa msafi na kula vizuri, ujiweke mbali na magonjwa ya uzazi
Iwapo una changamoto katika uzazi na ungependa kujua namna ya kuitatua, tuandikie changamoto
Pia tunayo MIXED HERBS POWDER... dawa iliyoandaliwa ambayo ni mahsusi kwa changamoto yako na kwa ajili ya mfumo mzima wa uzazi na hormones kwa mwanamke
Ni dawa ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi k**a shivatar, mrehani, mjafari, oregano, shamari n.k ambayo
- Inasafisha via vya uzazi k**a kutoa msongamano wa maji machafu kwenye mirija ya uzazi na fuko la uzazi, kuondoa infections za bakteria na fangasi (P.I.D)
-Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, kwenye mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cysts)
- Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inawasaidia wanawake kuondoa changamoto ya mvurugiko wa homoni kwa wale wasiopata hisia za kufanya mapenzi, tatizo la uke mkavu, period kupishana, maziwa kujaa/kuuma damu ya hedhi kutoka mabonge, utelezi, mayai kutokupevuka n.k....
Dozi hii unaitumia kwa siku 21 mpaka 30
Unaipata MIXED HERBS POWDER
Hakuna gharama yoyote ya usafirishaji
Tupo Dar, Machinga Complex mtaa ya KARUME
Kwa mawasiliano zaidi
PIGA SIMU / WhatsApp +255711498581