Jiponye Afya ya Tumbo

Jiponye Afya ya Tumbo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jiponye Afya ya Tumbo, Makumbusho, Dar es Salaam.

Tunawasaidia kujikinga na kutatua changamoto na magonjwa sugu ya Tumbo na mmeng'enyo wa chakula kama, Vidonda vya tumbo , Bawasiri ,Acid reflux au Gerd , Gesi tumboni na Kukosa Choo(constipation) Kwa njia rahisi na salama.

๐Ÿ”ฅ UNAISHI NA KIUNGULIA, ACID REFLUX AU MAUMIVU YA TUMBO KILA SIKU?Je, umeshachoka kula kwa hofu kwa sababu kila baada ya...
02/04/2026

๐Ÿ”ฅ UNAISHI NA KIUNGULIA, ACID REFLUX AU MAUMIVU YA TUMBO KILA SIKU?

Je, umeshachoka kula kwa hofu kwa sababu kila baada ya kula:

โ€ข Koo linaungua
โ€ข Kifua kinauma
โ€ข Tumbo linauma au kujaa gesi
โ€ข Unajisikia k**a chakula kinapanda kooni
โ€ข Unashindwa kulala vizuri usiku kwa sababu ya acid reflux

Hali hii inaweza kukufanya ushindwe kufurahia chakula, kazi, safari au hata usingizi wako.

NTDiarr imeandaliwa kusaidia:

โœ… Kupunguza na kuondoa kiungulia
โœ… Kupunguza maumivu ya tumbo
โœ… Kutuliza acid reflux (GERD)
โœ… Kupunguza tatizo la H. Pylori
โœ… Kupunguza gesi, tumbo kujaa na kuburudika tumboni
โœ… Kusaidia urudi kula bila hofu

Baada ya kutumia utaanza kuhisi:

โœ”๏ธ Tumbo limetulia
โœ”๏ธ Hakuna moto kifuani na kooni
โœ”๏ธ Unaweza kula bila maumivu
โœ”๏ธ Unaweza kulala vizuri usiku
โœ”๏ธ Unarudi kujiamini na kufurahia maisha yako tena

Usisubiri hali iwe mbaya zaidi.

Chupa ya vidonge 50 utaipata kwa Shiling 23,500 tu

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa: 0742251310
WhatsApp au piga simu kupata maelezo zaidi.

๐ŸŒฟ UNASUMBULIWA NA ACID REFLUX AU VIDONDA VYA TUMBO? SOMA HII KWANZAโ€ฆAcid reflux si kiungulia tu.Ni hali ambayo asidi ya ...
29/03/2026

๐ŸŒฟ UNASUMBULIWA NA ACID REFLUX AU VIDONDA VYA TUMBO? SOMA HII KWANZAโ€ฆ

Acid reflux si kiungulia tu.

Ni hali ambayo asidi ya tumbo inapanda hadi kifuani au kooni na kusababisha:

โ— Kuwaka kifuani
โ— Ladha chungu mdomoni
โ— Maumivu juu ya tumbo
โ— Koo kuungua au sauti kubadilika
โ— Gesi na kujaa tumbo

Vidonda vya tumbo navyo hutokana na uchochezi au bakteria k**a H. pylori, na husababisha maumivu makali hasa ukiwa na njaa.

Tatizo kubwa ni hili:

Watu wengi hupunguza acid kwa mudaโ€ฆ lakini hawalindi wala kurekebisha ukuta wa tumbo.

๐ŸŒฟ NT DIARR โ€“ MCHANGANYIKO WA MIMEA 7 + ASALI

Imeundwa kusaidia mfumo wa chakula kwa njia ya asili:

โœ… Licorice โ€“ Hulinda na kusaidia kuponya ukuta wa tumbo

โœ… Cortex Phellodendri โ€“ Husaidia kupunguza bacteria tumboni

โœ… Mdalasini & Karafuu โ€“ Hupunguza uchochezi na maumivu

โœ… Pericarpium Citri โ€“ Huboresha mmengโ€™enyo na kupunguza gesi

โœ… Menthol โ€“ Hutuliza tumbo

โœ… Asali โ€“ Hulainisha na kulinda koo na tumbo

๐Ÿ’ก Inaweza kusaidia:

โœ” Kuondoa kiungulia na maumivu ya koo

โœ” Kupunguza maumivu ya vidonda

โœ” Kutuliza kuwaka tumboni

โœ” Kurekebisha mfumo wa chakula

๐ŸŒฟ Suluhisho la asili kwa watu wanaotaka kuanza kurejesha afya ya tumbo lao kwa njia salama.

๐Ÿ“ฆ Chupa yenye vidonge 50 utaipata kwa bei ya ofa ya shilingi elfu 23,500 tu

๐Ÿ“ฒ Piga au WhatsApp sasa: 0742251310
Afya ya tumbo lako ni msingi wa afya yako yote. Usipuuzie dalili.

Ukisha gundulika na ugonjwa wa kudumu k**a shinikizo la damu, kisukari, figo, moyo, au saratani, ghafla maisha hubadilik...
14/03/2026

Ukisha gundulika na ugonjwa wa kudumu k**a shinikizo la damu, kisukari, figo, moyo, au saratani, ghafla maisha hubadilika.. *UTAONDOKANA NA...*

โ†ณ Tamaa ya macho...
โ†ณ Tamaa ya mwili...
โ†ณ Na kiburi cha Uzima...

Automatic, Unarudi kuwa mnyenyekevu mbele ya uhai..

Utaanza kuona thamani ya maji ya uvuguvugu kuliko pombe...

Utaomba usingizi wenye utulivu kuliko starehe za usiku...

Utaona umuhimu wa lishe bora kuliko kula vyakula vya kukaanga Junk foods....

*Swali ni moja tu..!?*

Je, lazima usubiri hadi hali iwe mbaya ili ujifunze..?

Tupigie kwa msaada na ushauri bure 0742251310

๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ (๐Ÿณ) ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐——๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—”๐—–๐—œ๐—— ๐—ง๐—จ๐— ๐—•๐—ข๐—ก๐—œ (๐—”๐—–๐—œ๐—— ๐—ฅ๐—˜๐—™๐—Ÿ๐—จ๐—ซ)  ๐Ÿญ: ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ž๐—œ๐—™๐—จ๐—”๐—ก๐—œ:Hisia ya joto au kuchomwa kifuani inaweza kutoke...
13/03/2026

๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ (๐Ÿณ) ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐——๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—”๐—–๐—œ๐—— ๐—ง๐—จ๐— ๐—•๐—ข๐—ก๐—œ (๐—”๐—–๐—œ๐—— ๐—ฅ๐—˜๐—™๐—Ÿ๐—จ๐—ซ)

๐Ÿญ: ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ž๐—œ๐—™๐—จ๐—”๐—ก๐—œ:
Hisia ya joto au kuchomwa kifuani inaweza kutokea.

๐Ÿฎ: ๐—Ÿ๐—”๐——๐—›๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—ฉ๐—œ ๐— ๐——๐—ข๐— ๐—ข๐—ก๐—œ:
Kuwa na ladha ya chumvi au uchungu mdomoni mara kwa mara.

๐Ÿฏ: ๐—ž๐—จ๐—ž๐—ช๐—”๐— ๐—” ๐—ž๐—ข๐—ข:
Hisia ya kitu kizito au kukwama kooni.

๐Ÿฐ: ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ฃ๐—œ๐—ž๐—”:
Baadhi ya watu wanaweza kutoa haja ya kutapika.

๐Ÿฑ: ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—”๐—Ÿ๐—”:
Acid reflux inaweza kusababisha matatizo ya kulala au usingizi wa kukatizwa.

๐Ÿฒ: ๐—ž๐—œ๐—ž๐—ข๐—›๐—ข๐—ญ๐—œ:
Kikohozi kilichosababishwa na kupanda kwa asidi kutoka tumbo hadi kooni.

๐Ÿณ: ๐— ๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—ฉ๐—จ ๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—˜๐—ญ๐—”:
Maumivu au ugumu wakati wa kumeza chakula au maji.

Tumia Wakati huu Kuondokana na Changamoto hii ya ACID REFLUX , VIDONDA VYA TUMBO, Gesi Tumboni na Changamoto zote katika Mmeng'enyo wa chakula.Kwa Kutumia Super Gastric Package

Super Gastrick package imetengenezwa kitaalamu kusaidia matatizo ya gesi, kiungulia, kujaa tumbo, kunguruma ,Acid Reflux, Vidonda vya tumbo , Kukosa/kupata choo kigumu na mmengโ€™enyo.

Wateja wetu wengi huanza kuona mabadiliko ndani ya Masaa 24 tu baada kuanza kutumia

PIGA 0742251310

ACID REFLUX sio tatizo tenaTumekuletea suluisho la changamoto ya โœ“Gesi kujaa tumboni โœ“Vidonda Vya tumbo โœ“Tumbo kuwaka mo...
05/03/2026

ACID REFLUX sio tatizo tena

Tumekuletea suluisho la changamoto ya

โœ“Gesi kujaa tumboni
โœ“Vidonda Vya tumbo
โœ“Tumbo kuwaka moto
โœ“Viungulia
โœ“Chembea moyo n.k

Amua leo kuondokana na changamoto hii ndani ya siku 3 TU kwa Kutumia NT Acid kwa bei ndogo ya sh 23500/=TU!

DOZI KAMILI NI CHUPA 5 - Ukipilia zote utalipia sh elfu 90,000 tu k**a bei ya punguzo badala ya 117,500

PIGA LEO 0742251310

*๐Ÿฉธ BAWASIRI AU KUTOKWA NA DAMU AU KINYAMA NJIA YA HAJA KUBWA โ€“ Ugonjwa Unaoua Kimya Kimya Zaidi ya Unavyofikiri*Watu wen...
04/03/2026

*๐Ÿฉธ BAWASIRI AU KUTOKWA NA DAMU AU KINYAMA NJIA YA HAJA KUBWA

โ€“ Ugonjwa Unaoua Kimya Kimya Zaidi ya Unavyofikiri*

Watu wengi hudhani bawasiri ni kero tu ya kutokwa na damu au uvimbe sehemu ya haja kubwa โ€” lakini ukweli wa kitabibu ni mbaya zaidi kuliko ulivyowahi kusikia.

๐Ÿ” Bawasiri ni nini hasa?

Ni uvimbe wa mishipa ya damu (hemorrhoidal veins) kwenye eneo la haja kubwa na re**um. Uvimbe huu husababisha mishipa hiyo kupanuka kupita kiasi, na hatimaye kupasuka au kuvuja damu.
Lakini bawasiri si tu โ€œmishipa kuvimbaโ€ โ€” ni ishara kwamba mfumo mzima wa damu ya eneo la nyonga umepoteza mzunguko wake wa kawaida.

โš ๏ธ Vitu ambavyo watu hawajawahi kusikia kuhusu bawasiri:

1. Bawasiri inaweza kuharibu kibofu cha mkojo na mfumo wa uzazi

Mishipa ya damu inayovimba karibu na haja kubwa ipo karibu sana na mishipa ya uzazi. Shinikizo likiendelea, linaweza kusababisha maumivu makali wakati wa tendo la ndoa, kushuka nguvu za kiume, au maumivu makali wakati wa hedhi kwa wanawake.

2. Kuvuja damu kidogo kidogo husababisha anemia kali

Wagonjwa wengi wa bawasiri wanaishi wakidhani damu inayoenda chooni ni kidogo, kumbe wanaishi na upungufu wa damu wa muda mrefu unaosababisha kuchoka haraka, mapigo ya moyo kwenda kasi, na hatimaye kushindwa kwa moyo (heart failure).

3. Bawasiri isiyotibiwa inaweza kubadilika kuwa saratani ya re**um

Maumivu na damu vinapodumu muda mrefu, ukuta wa re**um hupata metaplasia โ€” mabadiliko ya seli kuwa na tabia ya saratani. Wagonjwa wengi wa saratani ya re**um huanza na historia ya bawasiri ya muda mrefu.

4. Infectious risk โ€“ Bawasiri iliyopasuka ni mlango wa bakteria kuingia moja kwa moja kwenye damu, na kusababisha sepsis (maambukizi ya damu), hali inayoweza kuua ndani ya masaa machache.

๐Ÿฉบ Dalili za Hatari Usizipuuze:

Kutokwa na damu nyekundu au iliyokolea wakati wa haja.

Uvimbe au tezi ngumu karibu na tundu la haja.

Maumivu makali baada ya kukaa muda mrefu au baada ya haja.

Kukojoa kwa shida au maumivu baada ya tendo la ndoa (kwa wanaume na wanawake).

๐Ÿ›‘ Kwanini kuchelewa kutibu bawasiri ni kosa kubwa:

Kadri unavyochelewa, mishipa inapanuka zaidi na hata ukitibiwa, kurudi katika hali ya kawaida huwa ngumu.

Upasuaji wa bawasiri (hemorrhoidectomy) ni miongoni mwa upasuaji unaoumiza zaidi na unaotakiwa kuepukwa ikiwa tiba ya asili inaweza kusaidia mapema.

Wagonjwa wanaochelewa huanza kushindwa kukaa kitako, kushindwa kutembea vizuri, na kushindwa kujizuia haja (incontinence).

๐ŸŒฟ Tiba Yetu ya Asili ya Bawasili solution package

Bei: TZS 287,000
Hufanya kazi katika hatua zote:

Huondoa uvimbe wa mishipa haraka.

Huzuia mishipa kupasuka tena.

Hurejesha mzunguko wa damu kwenye nyonga.

Huzuia kurudi kwa bawasiri baada ya kupona.

Hupunguza maumivu, kuwasha, na kutokwa na damu ndani ya siku chache.

๐Ÿ“ฆ Usafirishaji: Mwanza na mikoani kwa basi au ndege.
๐Ÿ“ž Piga / WhatsApp sasa: 0742251310 โ€“ Usisubiri uvimbe ukue au damu izidi.

JINSI YA KUJITIBU VIDONDA VYA TUMBOHizi Ndizo Njia 3 Pekee Zinazotibu Vidonda vya Tumbo Haraka na Kwa Usahihi bila Kidog...
03/03/2026

JINSI YA KUJITIBU VIDONDA VYA TUMBO

Hizi Ndizo Njia 3 Pekee Zinazotibu Vidonda vya Tumbo Haraka na Kwa Usahihi bila Kidoge...๐Ÿฉบ

Vidonda vya tumbo vinapona kwa kurekebisha mazingira ya tumbo na kuzuia asidi isiharibu ukuta wa tumbo tena....

Hizi ndizo njia 3 za msingi zinazofanya kazi kisayansi na kwa matokeo ya haraka....

1. Punguza Asidi Kali Tumboni (Acid Regulation)

โ€” Mwili ukizalisha asidi kupita kiasi, ukuta wa tumbo huzidi kuchubuka.

Anza siku na kikombe kimoja cha maji ya uvuguvugu + tangawizi mbichi kidogo....

Epuka kabisa, chai, kahawa, pilipili, soda, pombe, na vyakula vya kukaanga.

Hii hupunguza uchocheaji wa asidi na kuweka tumbo kwenye โ€œhealing modeโ€....

2. Tumia Vyakula Vinavyosafisha na Kufanya Repair Ya Ukuta wa Tumbo (Mucosal Healing)

Hapa ndipo tiba ya kweli inatokeaโ€” ukuta wa tumbo unahitaji virutubisho maalum vya mucin + antioxidants + anti inflammatory compounds.

โ†ณ Uji wa ulezi / mtama (warm, sio moto)

โ†ณ Alovera fresh (kijiko 1 ร— mara 2 kwa siku)

โ†ณ Mboga za kijani, ndizi zisizoiva, viazi vitamu, mafuta ya zeituni....N.K

Vyakula hivi hutengeneza โ€œprotective layerโ€ inayofunika vidonda na kuharakisha uponeaji.

3. Rekebisha Ratiba ya Kula (Gastric Rhythm Reset)....

Siku zote swala la Kula hovyo ni chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo....

Ukirudisha mpangilio, tumbo hupona haraka, Kula milo midogo mara 4โ€“5 kwa ratiba ile ile kila siku

Breakfast isiwe chai chapati wala maharage, Usile usiku baada ya saa 3:00 usiku

Epuka msongo wa mawazo au kula kwa haraka haraka ni hatari kwa afya yako....

NB: Ukidhibiti asidi, ukalisha tumbo vyakula vinavyofanya repair, na ukarekebisha ratiba ya kulaโ€”vidonda vinapona ndani ya siku 14 bila kurudi mara kwa mara....

K**A TAYARI UNA DALILI MBAYA BASI INABIDI TUFANYE RรˆPAIR HARAKA KISHA UENDELรˆE NA HUU UTARATIBU ILI KUPONA HARAKA

NIPIGIE 0742251310

Share elimu hii, By Jiponye afya jerbs Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...๐Ÿซก

๐ŸŒฟ UNASUMBULIWA NA ACID REFLUX AU VIDONDA VYA TUMBO? SOMA HII KWANZAโ€ฆAcid reflux si kiungulia tu.Ni hali ambayo asidi ya ...
01/03/2026

๐ŸŒฟ UNASUMBULIWA NA ACID REFLUX AU VIDONDA VYA TUMBO?

SOMA HII KWANZAโ€ฆ

Acid reflux si kiungulia tu.
Ni hali ambayo asidi ya tumbo inapanda hadi kifuani au kooni na kusababisha:

โ— Kuwaka kifuani
โ— Ladha chungu mdomoni
โ— Maumivu juu ya tumbo
โ— Koo kuungua au sauti kubadilika
โ— Gesi na kujaa tumbo

Vidonda vya tumbo navyo hutokana na uchochezi au bakteria k**a H. pylori, na husababisha maumivu makali hasa ukiwa na njaa.

Tatizo kubwa ni hili:

Watu wengi hupunguza acid kwa mudaโ€ฆ lakini hawalindi wala kurekebisha ukuta wa tumbo.

๐ŸŒฟ NT DIARR โ€“ MCHANGANYIKO WA MIMEA 7 + ASALI

Imeundwa kusaidia mfumo wa chakula kwa njia ya asili:

โœ… Licorice โ€“ Hulinda na kusaidia kuponya ukuta wa tumbo
โœ… Cortex Phellodendri โ€“ Husaidia kupunguza bacteria tumboni
โœ… Mdalasini & Karafuu โ€“ Hupunguza uchochezi na maumivu
โœ… Pericarpium Citri โ€“ Huboresha mmengโ€™enyo na kupunguza gesi
โœ… Menthol โ€“ Hutuliza tumbo
โœ… Asali โ€“ Hulainisha na kulinda koo na tumbo

๐Ÿ’ก Inaweza kusaidia:

โœ” Kupunguza kiungulia
โœ” Kupunguza maumivu ya vidonda
โœ” Kutuliza kuwaka tumboni
โœ” Kurekebisha mfumo wa chakula

๐ŸŒฟ Suluhisho la asili kwa watu wanaotaka kuanza kurejesha afya ya tumbo lao kwa njia salama.

๐Ÿ“ฆ Chupa yenye vidonge 50 vya asili kabisa

๐Ÿ“ฒ Piga au WhatsApp sasa: 0742251310

Afya ya tumbo lako ni msingi wa afya yako yote. Usipuuzie dalili.

๐Ÿ”ฅ JE, ACID REFLUX NA GERD NI NINI? FAHAMU KILA KITU NA DALILI ZAKEWatu wengi wana kiungulia lakini hawajui kinachosababi...
20/02/2026

๐Ÿ”ฅ JE, ACID REFLUX NA GERD NI NINI? FAHAMU KILA KITU NA DALILI ZAKE

Watu wengi wana kiungulia lakini hawajui kinachosababisha.

1๏ธโƒฃ ACID REFLUX NI NINI?
Ni hali ambapo tindikali (acid) ya tumboni inapanda kurudi juu kwenye umio (koo la chakula).
Kawaida kuna mlango mdogo kati ya tumbo na umio unaoitwa lower esophageal sphincter ambao huzuia acid isipande.
Ukilegea au kushindwa kufunga vizuri โ†’ acid inapanda juu.

โœ… DALILI ZA ACID REFLUX:
โ€ข Kiungulia (moto kifuani)
โ€ข Ladha chachu au uchungu mdomoni
โ€ข Tumbo kujaa gesi
โ€ข Kujisikia k**a chakula kimerudi juu
โ€ข Kichefuchefu kidogo
โ€ข Maumivu ya juu ya tumbo
Ikiwa inatokea mara chache โ†’ bado haijawa GERD.

2๏ธโƒฃ GERD NI NINI?
GERD (Gastroesophageal Reflux Disease) ni pale acid reflux inapokuwa sugu โ€“ yaani inatokea mara nyingi (zaidi ya mara 2 kwa wiki) na kwa muda mrefu.
Hapa tayari umio unaanza kuathirika.

โš ๏ธ DALILI ZA GERD:
โ€ข Kiungulia sugu kila wiki
โ€ข Maumivu ya kifua yanayofanana na ya moyo
โ€ข Kikohozi cha muda mrefu
โ€ข Koo kuwaka au sauti kubadilika
โ€ข Ugumu wa kumeza
โ€ข Harufu mbaya ya kinywa
โ€ข Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni
โ€ข Vidonda vya umio (ikiwa imezidi)

3๏ธโƒฃ SABABU ZINAZOCHOCHEA TATIZO
โ€ข Kula vyakula vya mafuta mengi
โ€ข Vyakula vya pilipili na tindikali nyingi
โ€ข Soda na kahawa kupita kiasi
โ€ข Kulala mara tu baada ya kula
โ€ข Uzito kupita kiasi
โ€ข Msongo wa mawazo (stress)
โ€ข Bacteria k**a H. pylori

4๏ธโƒฃ MADHARA YASIPODHIBITIWA
โ€ข Vidonda vya tumbo
โ€ข Kuungua kwa umio (esophagitis)
โ€ข Matatizo ya koo
โ€ข Kukosa usingizi
โ€ข Maumivu ya kifua ya mara kwa mara

โš ๏ธ Usidharau kiungulia cha mara kwa mara.
Acid reflux ya kawaida inaweza kugeuka GERD bila wewe kujua.

Ukiona dalili hizi zinajirudia mara nyingi, ni muhimu kuchukua hatua mapema. Piga 0742251310

Afya yako ni mtaji wako.

Hujarogwa! Tatizo Ni Bakteria Aina ya H. pyloriJe Unasumbuliwa na:โœ” Maumivu ya tumbo ya muda mrefu?โœ” Kiungulia kinachoru...
19/02/2026

Hujarogwa! Tatizo Ni Bakteria Aina ya H. pylori

Je Unasumbuliwa na:

โœ” Maumivu ya tumbo ya muda mrefu?
โœ” Kiungulia kinachorudiarudia?
โœ” Gesi nyingi na tumbo kujaa?
โœ” Harufu mbaya ya mdomo?
โœ” Vidonda vya tumbo visivyopona?

Inawezekana kabisa chanzo ni bakteria aitwaye Helicobacter pylori (H. pylori) โ€” sio kurogwa, sio bahati mbaya, bali ni maambukizi yanayoweza kutibiwa!

๐Ÿ”Ž Huyu H. pylori hufanya nini mwilini?
Hushambulia ukuta wa tumbo
Husababisha vidonda vya tumbo (ulcers)
Huongeza tindikali tumboni
Husababisha GERD / Acid Reflux
Huleta maumivu ya kuchoma hasa ukiwa na njaa
Ukiacha bila kutibiwa, anaweza kuharibu mfumo wa chakula kwa muda mrefu.

๐Ÿšจ Usikae na Maumivu!
Watu wengi wamekuwa wakiteseka kwa miaka wakidhani ni kawaida au ni mambo ya kiimani. Baada ya kupata msaada sahihi, wameanza kuona mabadiliko na kurudi katika hali yao ya kawaida.

๐ŸŒฟ Sasa Kuna Suluhisho

Tunatoa msaada wa kitaalamu wa lishe na virutubisho maalum vinavyosaidia:
โœ” Kupunguza tindikali tumboni
โœ” Kulinda ukuta wa tumbo
โœ” Kupunguza maumivu na kiungulia
โœ” Kuboresha mmengโ€™enyo wa chakula
โœ” Kusaidia kuondoa mazingira rafiki ya bakteria tumboni

๐Ÿ“ž Piga Sasa Upate Ushauri na tiba ya uhakika ndani ya siku 3 yaani saa 72 utaona majibu

Usisubiri vidonda vikue au maumivu yaongezeke.
๐Ÿ“ฒ 0742251310

Tuma ujumbe au piga simu sasa uanze safari ya kuimarisha afya yako.

Afya yako, mtaji wako.

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam
45501

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jiponye Afya ya Tumbo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share