AFRICAN STAR

Call Directions Contact the business

AFRICAN STAR Synthetic Hair company across all africa start production in tanzania, our target to improve hair quality achieve to consumers requires

⚜️AMARA  inakupa uhuru wa kubadilisha muonekano  curls za kuvutia, kesho mtindo mwingine—Amara unaweza kuitengeneza kwa ...
23/10/2026

⚜️AMARA inakupa uhuru wa kubadilisha muonekano curls za kuvutia, kesho mtindo mwingine—Amara unaweza kuitengeneza kwa namna nyingi unazopenda✨

Be Smart • Be Beautiful@

22/10/2026

Katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa K**e Duniani, tulimzawadia binti huyu nywele za African Star, zikiwa zimepambwa kwa ⚜️UREMBO na⚜️SHANGA. Tabasamu lake linatukumbusha kuwa kila mtoto wa k**e anastahili kujisikia wa pekee na kung’aa kwa namna yake. ✨

Uzuri unakuwa wa kipekee tunaposherehekea pamoja! Asante Fredi Patriarchi kwa kuungana na African Star kupitia STARLUNI ...
22/10/2026

Uzuri unakuwa wa kipekee tunaposherehekea pamoja! Asante Fredi Patriarchi kwa kuungana na African Star kupitia STARLUNI hapa ndipo mitindo mipya inaanzia.
Be Smart • Be Beautiful

Fredy Salon sasa ni sehemu ya familia ya African Star kupitia STARLUNI! Kuanzia bidhaa za African Star hadi warembo wetu...
20/10/2026

Fredy Salon sasa ni sehemu ya familia ya African Star kupitia STARLUNI! Kuanzia bidhaa za African Star hadi warembo wetu wanaong’arisha saluni, kuashiria mwanzo wa ushirikiano mpya unaounganisha African Star na saluni teule nchini. Karibu STARLUNI, Fredy Salon!

STARLUNI imeanza rasmi! ✨ Jana, Fredy Salon ilikaribishwa kwenye familia ya African Star. Kupitia STARLUNI, tunashirikia...
19/10/2026

STARLUNI imeanza rasmi! ✨ Jana, Fredy Salon ilikaribishwa kwenye familia ya African Star. Kupitia STARLUNI, tunashirikiana na saluni teule kuleta bidhaa zetu mipya karibu nawe. African Star imeingia saluni!

Kwenye pakiti umewaona, leo kutana nao ana kwa ana! STARLUNI inazinduliwa leo Fredy Saloon! Njoo ukutane na timu ya Afri...
18/10/2026

Kwenye pakiti umewaona, leo kutana nao ana kwa ana!

STARLUNI inazinduliwa leo Fredy Saloon! Njoo ukutane na timu ya African Star pamoja na warembo wa kwenye pakiti zetu. Mitindo mipya, zawadi na furaha vinakusubiri!

Tunakuletea STARLUNI! ✨ Kampeni ya African Star inayoshirikiana na saluni teule Tanzania kuwaletea bidhaa mpya mapema, k...
17/10/2026

Tunakuletea STARLUNI! ✨ Kampeni ya African Star inayoshirikiana na saluni teule Tanzania kuwaletea bidhaa mpya mapema, kuzijaribu na kuonyesha mitindo inayovuma.

Safari yetu inaendelea Fredy Salon, Jumapili hii! Karibu tukutane na timu ya African Star pamoja na mrembo wa kwenye pakiti ya Mamacita.

17/10/2026

Leo si siku ya kujificha ni siku ya kuachia Amanda iongee!Nywele yenye mvuto wa kuacha watu wakiuliza: “Hii ni AMANDA?” Karibu Fredi Patriarchi kesho STARLUNI
Be Smart • Be Beautiful

HODI HODI ARUSHA! Kesho ndiyo siku yenyewe! Tunaingia Golden Rose Hotel – Stand Ndogo kwa nguvu kubwa.Wanawake wa Arusha...
27/05/2026

HODI HODI ARUSHA! Kesho ndiyo siku yenyewe!
Tunaingia Golden Rose Hotel – Stand Ndogo kwa nguvu kubwa.

Wanawake wa Arusha jiandaeni kwa siku ya furaha, burudani, zawadi, elimu na moments za kipekee kabisa!
🗓 ALHAMISI – 28.05.2026
🕓 Kuanzia Saa 4:00 Asubuhi
📍 Golden Rose Hotel, Stand Ndogo

USIKOSE!

Address

Mbagala
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255677070409

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFRICAN STAR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AFRICAN STAR:

Shortcuts

Share