afya utajiri

afya utajiri Nawasaidia Wanawake Na Wanaume Wenye Changamoto Ya Mfumo Wa Mmeng'enyo Wa Chakula, Kwa Kutumia Program Ya TIB Bila Kutumia Gharama Kubwa

SUKARI (DIABETES)KUVUNJA NGUVU ZA KISUKARISUKARI  Hutokea wakati mwili unaposhindwa kudhibiti sukari inayolundikana hadi...
03/07/2026

SUKARI (DIABETES)
KUVUNJA NGUVU ZA KISUKARI
SUKARI Hutokea wakati mwili unaposhindwa kudhibiti sukari inayolundikana hadi kufikia viwango hatari katika damu.
Uchunguzi wa kisukari mara nyingi hufanyika wakati vipimo vya sukari kwenye damu vinapoonesha bilakubadilika kuwa kiasi cha 7.0 mmol/L baada ya kufunga kwa muda wa saa nane.
KUNA AINA MBILI ZA SUKARI
❎ Kisukari no moja,hii huathiri kiasi cha 5% ya wagonjwa wote wa kisukari. mara nyingi wagonjwa hawa ni wembambana wana kongosho isiyofanya kazi vizuri ambayo hainauwezo tena wa kuzalisha insulini ya kutosha.aina hii ua kisukari huanzia utotoni
❎Kisukari no 2 au kisukari kisichotegemea insulini,(NIDDM) Nikisukari kinachojulikana sana.90% ya wagonjwa wa kisukari wana aina hii.Zamani watu walipata ugonjwa huu walipofikisha miaka 50 walipozeeka na kunenepa
Lakini sasa watu wengi wanauzito kupota kiasina wanapata ugonjwa huu ingawa wanaumri mdogo
Tofauti na kisukari cha utotoni
Wangonjwa wa kisukari no 2 wana insulini nyingi katika miili yao wanapo gundulika lakini kuna kitu fulani kinazuia insulini isifanye kazi vizuri

MADHARA AU MATOKEO YA KISUKARI(DIABETES)
❎Kupata matatizo ya machona hata upofu,kisukari ni chanzo kinachoongoza kusababisha upofu katika nchi zilizoendelea.
❎Watu wenye ugonjwa wa sukari wanauwezekano mara 18 zaidi wa kupata athari mbaya kwenye figo(jambo linaloweza kuua)kuliko wale wasio na kisukari
❎Kisukari ni chanzo kikuu cha kusinyaa kwa ateri.matokeo yake ni kuwa kisukari huongeza zaidi ya maradufu ya kupata mashambulizi ya moyo na kiharusi
❎kinaweza pia kusababisha upungufu wa nguvu za kiume
❎kukak**aa kwa misuli ya miguu kunaleta ulemavu na uozo wa sehemu za mwili kutokana na ukosefu wa damu .

NINI HUSABABISHA KISUKARI NO 2
Utafiti unaonesha chanzo kikuu ni mafuta _Mafuta kwenye chakula na mafuta mwilini. ugonjwa huu hutokea kwa nadra sana katika maeneo yenye utumiaji mdogo wa mafuta naasiyekuwa na unene

kwa kawaida insulini homoni hutoka kwenye kongosho husaidia seli za mwili kutumia glukozi na kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu.

KWAHIYO NJIA IPI NI BORA KUTIBU UNGONJWA HUU
Vituo vingi vya tiba vimeonesha bila shaka yoyote kuwa sehemu kubwa ya wagonjwa wa kusukari no 2 wanaweza kurekebisha viwango vyao vya sukari. mara yingi ndani ya majuma kadhaa.kwa kufanya mazoezi na kutumia vyakula vya nyuzinyunzi,ulaji wa nafaka zisizo koborewa

Karibu Afya yangu Tumekuandalia namna nzuri ya utumiaji ya virutubisho lishe vye mchanganyiko wa matunda ,mimea na bongamboga ili upate suluhisho ya changamoto ya ugonjwa wasukari

wasiliana nasi kwa wassup no 0742822220
au 0658252220https://wa.me/message/62ETSIC6WHV3G1

UNENE KUPITA KIASI (OBESITY)Unene kupita kiasi ni tatizo la kiafya kwa umma ulimwengu kote.maana ya uzito uliopitiliza n...
21/06/2026

UNENE KUPITA KIASI (OBESITY)
Unene kupita kiasi ni tatizo la kiafya kwa umma ulimwengu kote.
maana ya uzito uliopitiliza ni kuwa na 10%-19% zaidi ya uzito sahii unaotakiwa kiafya
Wakati ambapo unene kupita kiasi nikuwa na zaidi ya 20% ya uzito sahihi unaotakiwa kwa kadri ya urefu,jinsia na ukubwa wa mifupa
Katika nchi zilizoendelea kuwa na uzito kupita kiasi na kuwa mnene mara kwa mara huonekana k**a ishara ya hadhi watu hufikiria kuwa ni vizuri kuwa mnene au kuwa na hadhi ,Bali kiwa na unene kupita kiasi ni hatari sana

MADHARA AU MATOKEO YA UNENE KUPITA KIASI (OBESITY)
❎Uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo
❎Uwezekano wa kupata shinikizo la juu la damu
❎Uwezekana Wakupata Kisukari
❎Pia hatari kubwa zaidi ya kupata saratani ya utumbo mpana ,rektamu,kibofu, t**i kizazi,ufuko wa uzazi na yai na kuuguwa baridi yabisi ya mifupa na maumivu kwenye sehemu ya chini wa mgongo.

NINI HUSABABISHA UNENE KUPITA KIASI
Kiini Cha Tatizo ni kalori
Kiasi kikubwa cha kalori.
Uzito uliopita kiasi Hutokea Wakati unapokula kalori nyingi zaidi kuliko mwili wako uwezavyo kutumia
Ama kalori hutokana na
mafuta,protini,sukari au wanga mabaki hugeuzwakuwa mafuta mwilini.
Baadhi ya mafuta hayo huelea kwenye damu yakiziba taratibu ateri muhimu zinazosafirisha oksijeni

NINI CHA KUFANYA
Kula vya kula vingi vya mimea"k**a inavyo limwa"
Kula milo miwili au mitatu kwa siku
Pia Afya Yangu Tumekuandalia Program Maalumu ya UDHIBITI WA KUDUMU WA UZITO
chukuwa hatuwa sasa
wasiliana nasi kwa +255742822220
au gusa link hiihttps://wa.me/message/62ETSIC6WHV3G1

19/04/2026

Address

Majumba Sita
Dar Es Salaam

Telephone

+255742822220

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya utajiri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share