15/10/2017
Zipo sababu nyingi zinazosababisha nywele kukatika au Ngozi kupoteza mvuto. Inawezekana ikawa ni sababu ya Umri, msongo wa mawazo, Ujauzito kwa wanawake, Utunzaji mbovu wa ngozi na nywele au hata kutopata ushauri sahihi kuhusu mafuta yanayofaa kwa ngozi na nywele zako. USIKONDE; Njoo PENDEZEKA Tabata Chang’ombe – Dar es Salaam, utapata ushauri wa kitaalamu kutoka PLG SHOP na kisha utapatiwa bidhaa zenye kuendana na nywele na ngozi yako.
Call/ Text/ WhatsApp 0718 071 947 OR 0672 727 705
TUNASHAURI NA KUTUMA BIDHAA ZETU MIKOA YOTE TANZANIA.
JIFUNZE FACEBOOK @ PENDEZEKA