03/02/2026
Lishe ina mchango mkubwa kupunguza, kuondoa au kujikinga na changamoto ya kutokwa uchafu ukeni (hasa unaosababishwa na maambukizi ya fangasi au bacteria).
π₯ Vyakula vinavyosaidia sana
1. Mtindi (Yogurt) wa asili
Uwe na probiotics wanaosaidia kurejesha bakteria wazuri ukeni
Kunywa kikombe 1 kwa siku, bila sukari
2. Kitunguu saumu (Saumu)
Ni antibiotic ya asili
Kula saumu mbichi kidogo au ipikwe kwenye chakula mara kwa mara
3. Tangawizi
Hupunguza fangasi na bacteria
Chemsha tangawizi + maji, kunywa k**a chai
4. Matunda yenye Vitamin C
Machungwa, ndimu, mananasi, papai
Huongeza kinga ya mwili
5. Mboga za majani ya kijani
Mchicha, matembele, kisamvu
Huimarisha afya ya mwili kwa ujumla
6. Maji mengi
Angalau glasi 8β10 kwa siku
Husaidia kusafisha mwili na kupunguza maambukizi
UNAPATA CHANGAMOTO YA: β’ Kutokwa uchafu ukeni
β’ Harufu mbaya
β’ Kuwashwa
β’ Maambukizi ya mara kwa mara?
πΏ SULUHISHO LIPO πΏ
Huduma za ushauri na msaada wa kiafya kwa mwanamke
π
π Piga: 0749 276 933
π¬ WhatsApp: 0657 104 599
π Afya yako ni kipaumbele chetu