Najithamini

Najithamini NATOA SULUHISHO LA UHAKIKA KWA MATATIZO YA AFYA HASWA YA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME
KARIBU.,

UKIWA K**A MWANAMKE HII HALI USIIVUMILIE , USIIKALIE KIMYA, NI HATARI KWA AFYA YAKO, dalili ya PIDFANGASI suguMvurugiko ...
10/10/2025

UKIWA K**A MWANAMKE HII HALI USIIVUMILIE , USIIKALIE KIMYA, NI HATARI KWA AFYA YAKO,
dalili ya PID
FANGASI sugu
Mvurugiko wa hormones,
Karibu nikupe suluhisho sahihi kwa kutumia VIRUTUBISHO LISHE ASILI VISIVYO NA KEMIKALI ZOZOTE WALAMADHARA PALE UNAPOZITUMIA.
0714276565

08/10/2025

And this was our last moments at university πŸ˜β€οΈπŸ€πŸ˜Š,, MABIBO hostel πŸ˜‚, I can proudly say God didπŸ™πŸ’―

08/10/2025

Today is Thursday, k**a umeamka salama sema Asante Mungu,
Jana ulipambana, ulipata mshukuru Mungu, hukupata Leo ni ZAWADI pia, usichoke Kumbuka Mungu mwenyew ametuahidi ushindi, never give up, Kuna watu wanakuangalia k**a mfanoπŸ₯ΉπŸ«΅,, ukikata tamaa basi umewakatisha tamaa, umewaangisha never give up πŸ’ͺπŸ’―
Have a good day ❀️😍 ❀️😍

07/10/2025

βœ… MTINDO MBAYA WA MAISHA UNAVYOLETA MAGONJWA

Watu wengi hudhani matatizo ya kiafya hutokea ghafla. Ukweli ni kwamba magonjwa mengi hutokana na maisha tunayoishi kila siku.
Leo tuangalie baadhi ya lifestyles mbaya na madhara yake kiafya:

1️⃣ Unywaji pombe kupita kiasi
πŸ‘‰ Husababisha ugonjwa wa ini (cirrhosis), saratani ya ini, shinikizo la damu na matatizo ya akili.

2️⃣ Uvutaji sigara
πŸ‘‰ Huongeza hatari ya saratani ya mapafu, magonjwa ya moyo, kikohozi sugu na vidonda vya tumbo.

3️⃣ Matumizi holela ya njia za uzazi wa mpango (mf. P2, sindano) bila ushauri wa kitaalamu
πŸ‘‰ Huleta mabadiliko ya homoni, kuongezeka/kupungua uzito kupita kiasi, kutokwa damu hovyo na hata matatizo ya uzazi.

4️⃣ Kula vyakula vyenye mafuta na sukari kupita kiasi
πŸ‘‰ Huchangia kisukari aina ya pili, shinikizo la damu, unene uliopitiliza na magonjwa ya moyo.

5️⃣ Kutokufanya mazoezi
πŸ‘‰ Mwili unakosa nguvu, unene kupita kiasi, kisukari na magonjwa ya moyo hujitokeza.

6️⃣ Kukosa usingizi wa kutosha
πŸ‘‰ Hushusha kinga ya mwili, huongeza stress, shinikizo la damu na hatari ya kisukari.

7️⃣ Kutumia dawa kiholela bila ushauri
πŸ‘‰ Huathiri ini na figo, husababisha usugu wa vimelea na matatizo ya tumbo.

8️⃣ Kutokunywa maji ya kutosha
πŸ‘‰ Huchangia kuunda mawe kwenye figo, kuvimbiwa, ngozi kukauka na ulegevu wa mwili.

9️⃣ Msongo wa mawazo (stress) usiodhibitiwa
πŸ‘‰ Huongeza hatari ya shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, kupungua kinga ya mwili na matatizo ya akili.

πŸ”Ÿ Kutochunguza afya mara kwa mara (check-up)
πŸ‘‰ Magonjwa makubwa k**a kansa, kisukari na shinikizo la damu hugundulika kuchelewa, na hupelekea vifo visivyotarajiwa.

✨ KUMBUKA: Afya yako ni mtaji wako. Badilisha lifestyle leo, ulinde kesho yako.
Post zinazofuata nitaeleza kwa kina na hatua kwa hatua kuhusu haya ili sote tukapate kujikomboa kutokana na janga hili hatari

❀️😍

Hudumu za matibabu ni popote tunakufikia, tunafanya delivery TANZANIA bara na Zanzibar na nje ya TANZANIA Karibu tukuhud...
04/10/2025

Hudumu za matibabu ni popote tunakufikia, tunafanya delivery TANZANIA bara na Zanzibar na nje ya TANZANIA
Karibu tukuhudumie

02/10/2025

❀️😍

02/10/2025

Shukrani kubwa ziende kwa mama
Hakika ni furaha magari mazuri, AC ndani, unastahili mitano tena

02/10/2025

Asante I really appreciate your efforts mama
Unastahili kura zetu πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ

29/09/2025

Thank you for all blessings we have,
❀️ #❀︎❀︎ ❀️😍

Address

Mliman City, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Najithamini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share