Dr Bibiana

Dr Bibiana kalibu ktk ukulusa huu upate sirhisho la magonjwa sugu na yasio ambukizwa

24/07/2026
MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFUMatatizo mengi...
09/01/2025

MWANAMKE NI LAZIMA UWE MAKINI SANA UNAPOTAFUTA SULUHU LA CHANGAMOTO ZA UZAZI ZINAZOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU

Matatizo mengi sana ya wanawake yana dalili za kufanana, yana vyanzo vinavyofanana fanana (baadhi ya changamoto) na matokeo yake huwa yanaonekana kufanana na hiyo ndio sababu wanawake wengi hawaponi changamoto za mfumo wa uzazi kwani wanatumia dawa nyingi wakidhani wanafahamu changamoto zao vizuri lakini kumbe hawafahamu kabisa.

K**a mwanamke una changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi, karibu sana kwenye vituo vyetu vya afya vya Gcat Health Clinic vinavyopatikana kwenye zaidi ya mikoa 15 Tanzania kupata suluhu la changamoto yako.

Tunatibu changamoto nyingi za afya ya uzazi wa mwanamke k**a;

👉 P.I.D
👉 Kuvurugika kwa homoni za uzazi (hormone imbalance)
👉 Kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya sana
👉 Fangasi ukeni na uke kuwa mkavu
👉 Mvurugiko wa siku za hedhi
👉 Maumivu makali sana ya tumbo na maumivu ya kiuno mara kwa mara
👉 Mimba kuharibika
👉 Uvimbe kwenye kizazi
👉 Mirija ya uzazi kuziba
👉 Maambukizi kwenye mfumo mzima wa uzazi
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
👉 Ovarian cyst na mayai ya uzazi kutokukomaa

Na kubwa zaidi......

👉 KUKOSA UJAUZITO KWA MUDA MREFU

K**a una dalili za changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 20,000 tu! Ndio ni tsh elfu ishirini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo vya uzazi utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .
Kwa watsup gusa hapana Message Dr Biana on WhatsApp. O699488854 https://wa.me/message/2PDFFXBQTRY2N1

Shirika la Afya kutoka CHINA/ ETERNAL HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa ya Vipimo na matibabu kwa wagonjwa wote wanao fika kat...
09/12/2024

Shirika la Afya kutoka CHINA/ ETERNAL HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa ya Vipimo na matibabu kwa wagonjwa wote wanao fika katika kituo cheque cha banana majumba sita Dar es salaam na Ofa hii niya👇👇
▪️Kumuona Dokta ni BURE
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Ushauri ni BURE
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 🔹Presha, 🔹Matatizo ya Moyo na INI
🔹Kansa, 🔹Vidonda vya Tumbo,
🔹Kisukari 🔹Pumu
🔹Stroku. 🔹Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
🔹Matatizo ya mifupa, 🔹Matatizo ya miguu
🔹Ngozi, 🔹Figo, 🔹Fangasi sugu
🔹Kupunguza unene, uzito, na matumbo
🔹Kuongeza kinga mwilini(CD4)
🔹U.T.I sugu, 🔹Gesi
🔹Bawasiri, 🔹Tenzi dume
🔹Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam banana majumba sita na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
O699488854
Message Dr Biana on WhatsApp. https://wa.me/message/2PDFFXBQTRY2N1

17/10/2024

NJIA SALAMA YA KUTIBU UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE
Wanaume wengi wanashindwa kutungisha mimba na wanawake Kutoshika Mimba kutokana na changamoto mbalimbali. Swala la uzazi sio la upande mmoja tu wa mwanamke pia wanaume wengi hawana uwezo wa kutungisha mimba. ✍🏻✍🏻
Tumewasaidia wanaume na wanawake wengi sana kutibu tatizo la ugumba na wamepata watoto. Na wengi wao walikuwa na changamoto k**a hizi👇
✅Kuwa na mbegu chache
✅Kuwa na uvimbe kwenye kizazi au kwenye mayai
✅Mbegu kuwa na uwezo mdogo wa kuogelea.
✅ Mvurugiko wa homoni/ Homone imbalance
✅ Kutokurudia tendo la ndoa
✅ Mirija ya uzazi kuziba
✅ Upunguvu wa nguvu za kiume
✅Kukosa hamu ya tendo la ndoa
✅Dhakari kusimama kwa ulegevu.
✅ Kukosa hedhi/Period
✅ Saratani ya shingo ya kizazi
✅Kuhisi maumivu wakati wa tendo.
✅ Kukosa hisia
✅ Changamoto ya tezi dume.
#.Nanyingine nyingi

Haijalishi changamoto yako wewe imekutesa kwa mda gani,GCAT HEALTH CARE CLINIC Kutoka China ipo kwa ajili ya kutatua changamoto yako.
⚫Tunatoa huduma ya vipimo vya mfumo mzima wa Mwanaume na Mwanamke kwa Tshs 30000= tu .
NB: Usitumie dawa yoyote bila kupata vipimo na Ushauri wa daktar.✖️
Je ni wewe unahitaji huduma kwa ofa hii ya vipimo?
K**a ni wewe basi piga simu kwa namba 0699488854 Kwa maelekezo zaidi , Tunapatikana dar es salaam Majumba sita na mkoani pia.
Wasiliana nasi kwa namba 0699488854 maana ninao mda wa kuongea na wewe ,piga simu sasa hivi.
Au bonyezaMessage Dr Biana on WhatsApp. https://wa.me/message/2PDFFXBQTRY2N1

10/09/2024


Kwa watu wote wenye changamoto mbalimbali kiafya tutakuwa na Ofa ya Vipimo na Matibabu

Shirika la Afya kutoka CHINA/ ETERNAL HOSPITAL, Imeanza kutoa Ofa kwa wagonjwa wote wanao fika katika vituo vyake vyote, na Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
🚑 Matatizo ya Mifupa na viungo vya mwili, Presha, Kisukari, Matatizo ya Uzazi kwa Wanawake na Wanaume, Allergy, Mfumo wa Upumuaji, Moyo, Mzunguko wa Damu, Masikio, Macho, Meno, Kupoteza kumbukumbu, Stroke, at Matatizo ya Pingiri, Kansa aina zote, Ngiri, Uzito mkubwa, Ngozi, Kuchuja Sumu mwilini, Pumu, Bawasiri, Vidonda vya tumbo, Ini, Nguvu za kiume, U.T.I sugu, P.I.D, Fangasi ukeni, kuongeza kinga mwilini, NK

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma yetu msimu huu wa Ofa. Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa simu namba
0699488854Message De Biana on WhatsApp. https://wa.me/message/2PDFFXBQTRY2N1

Address

Murimani City
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Bibiana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share