07/04/2024
Jambo!
Je, unatafuta kazi ya mauzo au
mahusiano na wateja na unaishi mikoani Tanzania? Tunakutafuta Wewe! Kampuni yetu yenye makao yake makuu Dar es Salaam inatafuta watu wenye akili na ujasiri kusimamia wateja wetu na majukumu mengine ya kusisimua. Fursa hii ni kwa wale wanaoishi nje ya Dar es Salaam pekee. Jiunge nasi katika safari hii! Email your cv on
[email protected]