Sam Nature

Call Directions Contact the business

Sam Nature Kutokomeza Kisukari na Kuboresha Afya kiujumla kwa njia Asilia |
Mawasiliano +255621596614

Gundua chanzo, Tatua Tatizo

05/10/2026
TIBA KINGA NDIO KIMBILIO LA JAMII, GHARAMA ZA MATIBABU NI KUBWA TUKISUBIRI KUUMWATuendelee kuhamasishana  kuishi Maisha ...
05/10/2026

TIBA KINGA NDIO KIMBILIO LA JAMII, GHARAMA ZA MATIBABU NI KUBWA TUKISUBIRI KUUMWA

Tuendelee kuhamasishana kuishi Maisha ya Afya na yenye kuzingatia kujikinga na magonjwa haya ya tabia kabla hayajatokea (Preventive Medicine). Hiyo ndio kuyapenda maisha

Prevention is not fear of disease; it is love for life

Magonjwa k**a Kisukari ni hatari mno na yanamaliza nguvu kazi za watu wetu, Ugonjwa wa Kisukari unaongoza kusababisha watu wengi kufeli Figo, kupata Upofu, Familia kutengana ama magomvi ya kila siku na amani kupotea kwasasabu ya kupoteza nguvu za kiume na zakike kwa mhanga wa tatizo, Gharama za kupambana na madhara ya ugonjwa huu ni kubwa sana hasa kwa familia zetu za kitanzania ambapo familia nyingi kiuchumi zipo kwenye Survival Mode yaani kipato cha shida na kinategemea mtu atoke ndio ale

Imagine mtu k**a huyo apate tatizo la kufeli kwa Figo kwasasabu ya Kisukari, je ataweza kulipia dialysis ya sh.180,000 Kila wiki au zaidi ya million 35 kuweka Figo nyingine

Ndio maana sisi Swahili wellness | Dhibiti Kisukari| samnature tunasema usilee Kisukari, Gundua Chanzo Tatua Tatizo

Asanteni sana kwa kunialika kutoa elimu

Leo tumejifunza njia za kuugua ugonjwa hata k**a bado imejificha, namna ya kujikinga na jinsi ya kuudhibiti au kuutokomeza kabla haujasababisha madhara kwa ambao tayari ni wahanga wa Kisukari

~Holistic wellness advocate

29/09/2026

Kupata Tiba kamili niandikie ujumbe wenye neno START kwenda Whatsapp 0621596614

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255621596614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sam Nature posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sam Nature:

Shortcuts

Share