Afya check na Gcat health care

Afya check na Gcat health care Karibu sana kwenye page yetu ya Afya kwanza

👋 Karibu kwenye huduma ya VIPIMO VYA UZAZI 🌸Je, unakutana na changamoto za:❌ Kukosa mtoto❌ Hedhi kutokuwa sawa❌ Mbegu dh...
10/06/2026

👋 Karibu kwenye huduma ya VIPIMO VYA UZAZI 🌸

Je, unakutana na changamoto za:
❌ Kukosa mtoto
❌ Hedhi kutokuwa sawa
❌ Mbegu dhaifu
❌ Maumivu ya uzazi
❌ Kushika mimba na kutoka

Sasa unaweza kufanya vipimo vya mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke kwa Tsh 20,000 tu ✅

✔️ Kuonana na daktari BURE
✔️ Ushauri wa kitaalamu
✔️ Huduma ya haraka na siri kubwa

Andika NIPO TAYARI tukupe maelekezo ya kupata huduma 📲https://wa.me/message/4DB4KJJZVS43B1

🔥 MMECHOKA KUSUBIRI MTOTO?Fanya vipimo vya uzazi kwa Tsh 30,000 tu ujue chanzo mapema!👩‍⚕️ Wanawake & Wanaume🔬 Vipimo vy...
02/06/2026

🔥 MMECHOKA KUSUBIRI MTOTO?
Fanya vipimo vya uzazi kwa Tsh 30,000 tu ujue chanzo mapema!
👩‍⚕️ Wanawake & Wanaume
🔬 Vipimo vya kitaalamu
🔒 Siri yako ni salama kwetu
📍 Dar es Salaam & Mikoani
📞 0743950892
https://wa.me/message/4DB4KJJZVS43B1

13/05/2026

👋 Karibu kwenye huduma ya VIPIMO VYA UZAZI 🌸

Je, unakutana na changamoto za:
❌ Kukosa mtoto
❌ Hedhi kutokuwa sawa
❌ Mbegu dhaifu
❌ Maumivu ya uzazi
❌ Kushika mimba na kutoka

Sasa unaweza kufanya vipimo vya mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke kwa Tsh 30,000 tu ✅

✔️ Kuonana na daktari BURE
✔️ Ushauri wa kitaalamu
✔️ Huduma ya haraka na siri kubwa

Andika NIPO TAYARI tukupe maelekezo ya kupata huduma 📲https://wa.me/message/4DB4KJJZVS43B1

🌟 AFYA NI MTAJI – CHUKUA HATUA MAPEMA! 🌟Je, umekuwa ukihangaika na matatizo ya afya bila kupata majibu ya uhakika?Umejar...
11/05/2026

🌟 AFYA NI MTAJI – CHUKUA HATUA MAPEMA! 🌟
Je, umekuwa ukihangaika na matatizo ya afya bila kupata majibu ya uhakika?
Umejaribu dawa nyingi lakini tatizo linarudi tena na tena? 🤔
👉 Ukweli ni huu: bila kufahamu chanzo cha tatizo, tiba huwa ya muda tu.
Ndiyo maana tunakualika ufanye VIPIMO VYA MWILI MZIMA
📌 Kwa gharama nafuu ya shilingi 20,000 tu
🔍 Vipimo vinakusaidia: ✔ Kufahamu chanzo halisi cha tatizo
✔ Kupata tiba sahihi na ya kudumu
✔ Kujikinga na madhara makubwa ya baadaye
Tunasaidia matatizo k**a:
• Uzazi
• Presha
• Sukari
• Vidonda vya tumbo
• Moyo
• Uvimbe
• Tendaji dume
• Mifupa na viungo
• Na mengine mengi
💚 Usisubiri mpaka hali iwe mbaya zaidi.
Chukua hatua leo, jipe amani ya moyo na uhakika wa afya yako.
📞 Karibu sasa tukuhudumie – Afya yako ni kipaumbele chetu.
JIUNGE NA GROUP LETU LA AFYA LILILOANZISHWA KWA AJILI YA MAFUNZO, USHAURI KIAFYA:https://chat.whatsapp.com/LjnMGESlIVgFaRH5mctdbq

🌸 SOYBEAN CAPSULE 🌸Je unahitaji kupata ujauzito?Soybean Capsule ni bidhaa inayotumiwa kusaidia afya ya uzazi kwa wanawak...
09/05/2026

🌸 SOYBEAN CAPSULE 🌸
Je unahitaji kupata ujauzito?
Soybean Capsule ni bidhaa inayotumiwa kusaidia afya ya uzazi kwa wanawake wanaotafuta kupata mtoto.
✨ Inaweza kusaidia: ✔️ Kuimarisha afya ya uzazi
✔️ Kusaidia mzunguko wa hedhi kuwa vizuri
✔️ Kuongeza nafasi ya kupata ujauzito kwa haraka zaidi kwa baadhi ya wanawake
✔️ Kufaa kwa wanawake wanaohitaji msaada wa afya ya uzazi
📍 Tunapatikana Dar es Salaam
🚚 Tunatuma dawa mikoani kote Tanzania
☎️ Mawasiliano: 0743950892
⚠️ Matokeo yanaweza kutofautiana kwa kila mtu. Ni vizuri kupata ushauri wa daktari ikiwa una changamoto za uzazi kwa muda mrefu.
https://wa.me/message/4DB4KJJZVS43B1

SABABU YA UPUNGUVU WA NGUVU ZA KIUME NA UUME MDOGO.     🫀Uzito mkubwa /unene.🫀Shinikizo la damu (BP)🫀.Uvutaji sigara🫀Uny...
04/05/2026

SABABU YA UPUNGUVU WA NGUVU ZA KIUME NA UUME MDOGO.
🫀Uzito mkubwa /unene.
🫀Shinikizo la damu (BP)
🫀.Uvutaji sigara
🫀Unywaji pombe
🫀Kisukari
🫀Msongo wa mawazo
🫀Matumizi ya madawa mbali mbali k**a Vi**ra
🫀Kujichua/Punyeto
🫀 Umri hasa wazee.

K**a tayari unaona unasababu mojawapo kati ya hizo tajwa hapo juu GCAT HOSPITAL ipo kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali za kiafya
Wasiliana nasi kwa namba 0743950892
https://wa.me/message/4DB4KJJZVS43B1
Dawa utaipata kwa bei ya bure kabisa tsh.71000 tu.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255743950892

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya check na Gcat health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya check na Gcat health care:

Share