AFYA JAMII

AFYA JAMII AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE& MWANAUME & DETOX
KWA USHAURI NA TIBA
CALL +255 768 249 599

05/03/2024

*X POWER COFFEE*
Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;
1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za

KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.
Kazi muhimu za Hii Kahawa;

💯1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2💯. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3.💯 Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5.💯 Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6💯. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7💯. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

8💯. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9.💯 Kusafisha mishipa ya damu

10.💯 Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi

11.💯 Haina kemikali ni ya asili kabida 100%
EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.
PATA XPOWERMAN COFFEE.

🇹🇿0768249599

FAHAMU ZAIDI KUHUSU CHANZO NA DALILI ZA  UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIAS) UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL ...
05/03/2024

FAHAMU ZAIDI KUHUSU CHANZO NA DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIAS)


UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)

Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili.

Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali.

Husababisha miwasho, harufu mbaya, maumivu, majimaji, homa nk kiasi cha kuingilia ratiba na ufanyaji kazi wa kila siku wa mtu.

Huweza kuwakumba wanawake wa aina zote, ila wanawake wenye ujauzito huwa kwenye hatari zaidi.

Ukikosa matibabu mazuri unaweza ukahangaika nao kwa muda mrefu sana, lakini ukipata matibabu mazuri basi ndani ya muda mfupi tu unapona kabisa na kuweza kuwa vizuri.

Maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu kuu mbili nazo ni;

1) MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
Katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi mara moja hadi nne kwa mwaka pia dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS

2) MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi zaidi ya mara nne kwa mwaka.

🤷VISABABISHI
Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS, maambukizi haya pia hujulikana k**a YEAST INFECTIONS CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia chakula (PHARYNVISAX), kibofu cha mkojo, uume au katika uke, pia fangasi hawa huishi katika sehemu hizo bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika, yanapobadilika, MFANO mabadiliko katika hali ya PH tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0-4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali k**a vile.

-MATUMIZI YA MADAWA YA ANTIBIOTICS k**a AMPICILLINE, CIPROFLAXINE, AMOXYLINE, DOXYCYCLINE, ERTHROMYCINE, NK
🚺Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri pia kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy).
🚺Magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer).
🚺Wanawake wenye umri wa miaka 20-30 wapo katika hatari ya kupata
maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia.
🚺Upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk.
🚺Matumizi ya vidonge vya majira.
🚺Kujamiiana kwa njia ya kawaida mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (a**l s*x).
🚺Matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi
🚺Ujauzito (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini kuwa
🚺Kuvaa nguo za ndani zisizo kauka vzur na kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehemu za siri

DALILI ZA FANGASI UKENI

Dalili zake huwa ni za kuogopesha k**a maambukizi yatakua yametokea kipindi cha ujauzito, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk
🔸Kuwashwa sehem za siri
🔸Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
🔸Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation)
🔸Kupata vidonda ukeni (soreness)
🔸Kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (l***a minora)
🔸Kupata maumivu wakati wa kukojoa
🔸Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito, uchafu huu unakua k**a maziwa yaliyoganda na hauna harufu kali
🔸Kutokwa na harufu kali baada ya kushiriki tendo la ndoa
🔸Kuchafua chupi mara kwa mara.

MADHARA
Tatizo la fangasi lisipotibiwa mapema huleta madhara makubwa sana k**a ifuatavyo
✅Huweza kusababisha kansa ya viungo vya uzazi
✅Huweza kusababisha ugumba
✅Husababisha maumivu kipindi cha kujamiana
✅Kusababisha msongo wa mawazo
✅Kupekea kuvunjika kwa mahusiano

Ushauri,matibabu na maelezo ZAIDI
🇹🇿0768249599

29/01/2024

TEZI DUME NA KANSA YA TEZI DUME INATIBIKA
( +255768249599)
Dalili za kupanuka kwa tezi dume
Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.
Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.
Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.
Mkojo kushindwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.
Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.
Kibofu hakiishi mkojo.
Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.
Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.
Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.
Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.
Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.
Kumbuka
Kutanuka kwa tezi dumehakusababishi ugonjwa wa saratani.

Utambuzi wa kupanuka kwa tezi dume
Historia na dalili zikiashiria uwepo wa hali hii, basi uchunguzi ufuatao hufanywe.
Uchunguzi wa ukubwa wa tezi

Uchunguzi huu hufanywa kwa kuingiza kidole chenye glavu nyuma hadi kwenye tezi dume. Daktari huweza kujua ukubwa na hali yake. Iwapo mtu ana ugonjwa huu tezi dume ni kubwa kuliko kawaida, laini na gumu yote pamoja. Iwapo tezi lina vifundo basi inaweza kuwa na kansa (saratani)au inaweza kuwa na

Dalili za tezi kilichopanuka na saratani hufanana.Lazima uchunguzi wa kina ufanywe ili kujua ni ugonjwa upi.

PIGA (+255768249599) KWA USHAURI ZAIDI

29/01/2024

MWANAUME MWANAUME🎤🎤

INAWEZEKANA NI WEWE,NEUGU AU RAFIKI ANAPITIA HALI HII!;

1.UKIANZA TU KUSHIRIKI TENDO LA NDOA UNAFIKA KILELENI HAPO HAPO NA UKIMALIZA UNAKOSA KABISA HAMU YA KURUDIA TENDO AU KIENDELEA

2.KUNA WAKATI UNATAMANI SANA KUFANYA TENDO NA UNAJIANDAA KABISA KUANZA TENDO ALAFU DHAKARI INASINYAA NA KUGOMA KUSIMAMA

3.UNAANZA VIZURI TENDO LAKINI GAFLA DHAKARI YAKO INASINYAA NA KUNYONG'ONYEA KABISA,HAPA UNAWEZA TUMIA DAKIKA 30 MPAKA MASAA MAWILI KURUDISHA UWEZO WA KUSIMAMISHA TENA

4.PIA UNAWEZA KUWA UNASHIRIKI TENDO VIZURI ILA UNATOA MBEGU NYEPESI SANA AU UNATOA MAJI MAJI TU,, KWA HALI HII NI NGUMU KUMPA UJAUZITO MWANAMKE

IWAPO UNA CHANGAMOTO HIZO AU UNA NDUGU MWENYE CHANGAMOTO HIZO NAKUSHAURI HIVI;!

KUFANYA MAZOEZI HASA MAZOEZI YA KEGELI,KULA MATUNDA KWA WINGI,KUNYWA MAJI MENGI,ACHA KUNYWA VINYWAJI VYENYE KAFEINI MF.KAHAWA, ZIDISHA KULA KARANGA,MAYAI ,NDIZI MBOGA MBOGA,MBEGU ZA MABOGA....

ITAKUSAIDIA SANA

PIA ZIPO DAWA ZA KUONDOA HILI TATIZO MOJA KWA MOJA.

NK:; VI**RA SIO SULUHISHO LA KUDUMU UNAZIDI KUONGEZA TATIZO

KWA USHAURI ZAIDI NA TIBA NIPIGIE KWA NAMBA 0768249599

KARIBUNI,, AFYAJAMII NA DR.UMMY

WASAP 0768 249 599

MWANUME UNA DALILI HIZI;::: PATA MUDA KIDOGO KUSOMA HAPA CHINI----;;;-Huna hamu ya kufanya tendo la ndoa-Msongo wa mawaz...
28/01/2024

MWANUME UNA DALILI HIZI;::: PATA MUDA KIDOGO KUSOMA HAPA CHINI----;;;

-Huna hamu ya kufanya tendo la ndoa
-Msongo wa mawazo na uchovu mwingi kila ukiwaza kuhusiana na tendo na ndoa
-Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha dhakari kabisa
-Kuwahi kufika kileleni
-Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa wakati mwingine unapata kichefuchefu
-Kuchelewa sana kufika kileleni au kushindwa kufika kileleni

Imefika wakati hujiamini kabisa wakati wa tendo Kwa kuhofia hutomridhira mwenza wako

Ukishafika hivo basi itakuwa ngumu sana kuperfom vyema ukiwa na mwenza wako.

USHAURI;
UNAWEZA kuongeza nguvu za kiume Kwa kutumia matunda Kwa wingi na mboga mboga na kuacha vya kula vyenye kafeini mfano soda nyeusi,kahawa Malta,redbul n.k

Pia tumia vitunguu swaumu Kwa wingi
Na kunywa maji mengi
Ulaji wa mbegu za maboga na vya kula vyenye folic acid mfano parachichi, maharage,papai bamia,tikiti maji kokomanga,n.k

FANYA MAZOEZI HASA YA KEGELI NI MAZURI NA YATAKUPA MATOKEO MAZURI...

KWA USHAURI NA TIBA ZAIDI
NIPIGIE KWA NAMBA
0768249599
DR.Ummy na Afyajamii

Mwanaume mwanaume!!!Unafahamu nini kuhusiana na tezi dume!?? Umeshawahi sikia au kupona mtu yeyote anayo au unalo TATIZO...
22/01/2024

Mwanaume mwanaume!!!

Unafahamu nini kuhusiana na tezi dume!?? Umeshawahi sikia au kupona mtu yeyote anayo au unalo TATIZO hili!!??

Hili ni TATIZO au ugonjwa wa tezi dume kupata saratani.

Na hii hutokea pale ambapo chembe chembe hai za tezi dume huasi na kuanza kujigawanya bila kifuata utaratibu wa mfumo wa mwili,mwishowe hutengeneza uvimbe hatari ndani ya tezi dume na yatimaye husambaa mwilini.

SABABU HATARISHI KWA SARATANI YA TEZI DUME!;;
Umri mkubwa kuanzia miaka 50
Nasaba za ukoo wenye historia ya ugonjwa huu
Lishe HATARISHI mfano nyama nyekundu Kwa wingi,mafuta,maziwa ya cream
Unene uliokithiri
Ukosefu wa MAZOEZI
Upungufu wa virutubisho mfano vitamin D

ZINGATIA;;;;
TEZI DUME KILA MWANAUME ANAYO ILA INAKUWA TATIZO AU UGONJWA PALE AMBAPO TEZI DUME ITATANUKA KWA SABABU MBALIMBALI....!!!

Ugonjwa huu unatibika kabisa bila UPASUAJI wowote..
ZINGATIA tiba lishe na dawa SAHIHI UNAPONA kabisa...

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi Kwa NAMBA
0768249599
na Dr.ummy

20/01/2024

JE UNAMAUMIVU KWENYE MAGOTI!!
MAGOTI KUSHINDWA KUJIKUNJA
KUSHINDWA KUPANDA NGAZI KWA URAHISI
KUSIKIA MILIO YA MIFUPA KUSAGANA KWENYE MAGOTI......

JE UNAPATA MAUMIVU KWENYE MGONGO!?
KUSHINDWA KUINAMA
KUSIKIA MAUMIVU MAKALI WAKATI UNAINAMA
KUSIKIA GANZI KWENYE MAPAJA AU MIGUU

MABEGA YANAKUUMA!?
UNASHINDWA KUNYANYUA MIKONO NA KUSIKIA MAUMIVU KWENYE MABEGA....

LAKINI PIA UMETUMIA DAWA ZA MAUMIVU,UMEFANYA MAZOEZI UNAPONA KWA MUDA TATIZO LINARUDI PALEPALE

BASI HABARI NJEMA NI KWAMBA
SISI TUNATOA HUDUMA YA TIBA LISHE KWA
AJILI YA KUKUREJESHA KWENYE HALI YAKO YA KAWAIDA

TUPIGIE KWA NAMBA
0768 249 599

na dr.ummy

Mtaarifu na MWENZAKO

karibuni sana

Address

Bana Ukonga
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA JAMII posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share