26/12/2023
COSRX THE RETINOL 0.5 SERUM! Available in our store
One thing about Retinol they are super effective kwenye creation na repair ya skin cells, kuboost cell turnover, kupambana first signs za aging, na kuprevent texture irregularities!
Ukianza kutumia retinol yeyote kwenye ngozi kua mpole anza taratibu taratibu hii ni muhimu sana tofauti na hapo unaweza kupata irritation na ukadhani retinol ni mbaya wakati ulichokosea ni matumizi.
Unahitaji kuipa muda wa mapokeo kwenye ngozi yako otherwise unaweza kuiona ni mbaya but ni nzuri saaana
Unajua kadri umri unavyozidi kwenda, the skin's metabolism inapungua! Hapa namaanisha uwezo wa ngozi kuzalisha collagen, cell turnover na skin repair hupungua.
Benefits:
Promotes collagen production
Helps to reduce appearance of acne marks/post inflammatory hyperpigmentation.
Reduces wrinkles and fine lines
Hydrates the skin
Hupunguza pigmentation
Smoothing your skin
Evening skin tone, brightness and skin glowing
Price Tshs 80,000/=
Tunafanya delivery Dar es salaam na mikoani kote tunatuma💯
Jiunge na group la whatsapp kwa information zaidi, Link on my bio🔗
MAWASILIANO
CALL/TEXT/WHATSAPP 0718038996