Medics Updates

Medics Updates HEALTH And MEDICINE

Nimempa MALAYA wa Buku Akapambane Naye kwake😅😂
26/04/2026

Nimempa MALAYA wa Buku Akapambane Naye kwake😅😂

🚨It's ALL ABOUT LOVE & KINDNESS💚❤  ⚕
14/02/2026

🚨It's ALL ABOUT LOVE & KINDNESS💚❤ ⚕

🚨Anaitajika Pharmaceutical Technician Kufanya Kazi Polyclinic Dar es Salaam⚕💚💫
13/02/2026

🚨Anaitajika Pharmaceutical Technician Kufanya Kazi Polyclinic Dar es Salaam⚕💚💫

🚨Kucheka ni AFYA tukutane Gentle Hills Hotel IRINGA tukafurahi pamoja na   💥😊NITAKUWEPO!
26/01/2026

🚨Kucheka ni AFYA tukutane Gentle Hills Hotel IRINGA tukafurahi pamoja na 💥😊NITAKUWEPO!

CLOTRIMAZOLE Va**na Pessaries/Cream 💊Hii ni dawa inayo tumika kutibu Va**nal Candidiasis or Yeast Infections (Maana yake...
21/01/2026

CLOTRIMAZOLE Va**na Pessaries/Cream 💊Hii ni dawa inayo tumika kutibu Va**nal Candidiasis or Yeast Infections (Maana yake utibu fungusi wa Ukeni)

JE UTAJUAJE K**A UNA FUNGUSI WA UKENI.

▪︎Kuhisi Miwasho au Hali ya Kuchoma Ndani au Inje ya Uke.

▪︎Uwekundu, Kuvimba na Maumivu Ukeni.

▪︎Kutokwa na Uchafu Mweupe Ukeni husio na harufu.

▪︎Maumivu Wakati wa Kukojoa au Wakati wa Kufanya Mapenzi.

JE KIPI NI CHANZO CHA FUNGUSI WA UKENI.

▪︎Matumizi ya Mara kwa Mara ya Dawa za Ant biotics mfano Ciproflaxin, doxcycline, Amoxicillin, Metronidazole nk.

-Dawa hizi za Ant biotics zikitumika mara kwa mara Upunguza kinga ya Mwili na Kuua bacteria Walinzi waitwao Normal frola.

▪︎Kubadilika kwa Homoni.

-Hali hii utokea kwa Wajawazito, Wanao tumia Uzazi wa Mpango na Wanawake wenye Tatizo la Mfumo wa Mzunguko. (hali hizi zote upelekea kuzalisha fungusi ukeni)

▪︎Kuwa na Kinga dhaifu katika Mwili.

▪︎Matumizi ya Vitu vyenye Kemikali Ukeni.

Mfano: sabuni( medicated soap), Pedi, kupachika/kuingiza vitu Ukeni na kuvaa Nguo za Ndani za kubana kwa Muda Mrefu.

🚨follow us FB Updates.

05/01/2026

🚨MEDICS UPDATES💊

Habari! Natafuta DLDM la kununua location, MWANZA.

Nichek kwa namba 0761919462

05/01/2026

🚨MEDICS UPDATES💊💥

Ana hitajika Mtoa Dawa Mwenye ADDO..hasa wa kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa k**a Geita,Bukoba,Kigoma n.k DUKA lipo Ngara-Mrunyinya.

Contact via 0658568846 au 0763585448.

🚨2026 YEAR OF CHANGES And JOYFULLY💫🎊
01/01/2026

🚨2026 YEAR OF CHANGES And JOYFULLY💫🎊

🚨MEDICS UPDATES💊Duka lingine hili Milion 2 lipo CHAMAZI linauzwakibali AmnaKODI 45000UMEME 5000Whatsap 0714302151Kwa Maz...
31/12/2025

🚨MEDICS UPDATES💊

Duka lingine hili Milion 2
lipo CHAMAZI linauzwa
kibali Amna
KODI 45000
UMEME 5000
Whatsap 0714302151
Kwa Mazungumzo
Call :0714302151

Address

583 Iringa Town
Dar Es Salaam
AFYANIUHAI��

Telephone

+255624206160

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Medics Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share