19/02/2024
SLICK FACIAL BRUSH 🇹🇿
Tumia facial brush k**a mbadala wa mikono wakati wa kusafisha uso
MATUMIZI:
1. Cleansing brush - Tumia na sabuni ya kawaida kusafisha uso ndani ya dakika 3 mpaka 5 asubuhi au jioni kabla hujalala au nyakati zote kwa pamoja
2.Exfoliating brush- Tumia na cleanser/face wash au scrub kusafishia uso ndani ya dakika 5 mpaka 10
3. Cleaning pores/ coarser bristles- Tumia kusafishia tundu za uso kwa ufasaha na uharaka kwa kutumia sabuni ya kawaida
4. Massaging head- Tumia na coconut oil, serum au toner ku massage uso wako ndani ya dakika 5 mpaka 10
5. Makeup removal- Tumia kuondoa make up usoni kwa haraka bila mabaki baki (residuals)
FAIDA:
1. Inaondoa dark spots usoni kwa kutoa mafuta yaliyozidi
2. Inaondoa uchafu kwa haraka na ufanisi mkubwa zaidi
3. Inaondoa chunusi na dead skin na kukupa uso msafi na clear
4. Inaondoa mikunjo usoni na kukupa uso unaong’aa
Call/text 0655222442 for delivery
EVOLVE & NEVER STOP GROWING 💪🏾📈