28/02/2026
* *NARANJA (ORANGE VC OIL)*
*
✨ Inasaidia kung’arisha ngozi na kuipa mwanga wa asili
✨ Husaidia kupunguza mabaka na madoa meusi
✨ Inalainisha ngozi na kuifanya iwe nyororo sana
✨ Inasaidia kurejesha unyevu wa ngozi kavu
✨ Vitamin C husaidia kuifanya ngozi ionekane changa na yenye afya
Ngozi yako iwe laini, yenye harufu ya kuvutia na glow ya kipekee 🍊✨