10/06/2026
π WIKI YA FAMASI 2026 π
Theme:"Famasi; Ufunguo wa Maono ya dira 2050 katika Sekta ya Afya."
Katika kuadhimisha Wiki ya Famasi, tunaendelea kutambua mchango mkubwa wa taaluma ya famasi katika kuimarisha huduma za afya, kuhakikisha matumizi sahihi ya dawa, na kuchochea ubunifu unaolenga kuboresha afya za wananchi.
TAPSA tunatoa na kuwaalika wanafunzi wote wa famasi na wadau wa afya kushiriki kikamilifu katika shughuli za Wiki ya Famasi na kuendelea kuwa mabalozi wa matumizi sahihi ya dawa na afya bora kwa jamii.
π’ USISAHAU!
Usajili wa ASC & AGM 2026 unaendelea. Hii ni fursa ya kipekee ya kujifunza, kujenga mtandao wa kitaaluma, kushiriki mijadala ya kisayansi, na kukuza uongozi wako ndani ya taaluma ya famasi.
π Link ya Usajili:
https://shorturl.at/XbO4C
&AGM2026