π—‘π—šπ—¨π—©π—¨ 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗭𝗔𝗠𝗒

  • Home
  • Tanzania
  • Dar es Salaam
  • π—‘π—šπ—¨π—©π—¨ 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗭𝗔𝗠𝗒

π—‘π—šπ—¨π—©π—¨ 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗭𝗔𝗠𝗒 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from π—‘π—šπ—¨π—©π—¨ 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗭𝗔𝗠𝗒, Kimara, Dar es Salaam.

πŸ’° Mtazamo wako = msingi wa mafanikio πŸ†
🌍 Hakuna maskini wa kweli, bali maskini wa fikra πŸ’­
🧠 Jijenge fikra chanya, uone maisha yakibadilika ✨
πŸ“š Unataka kujifunza biashara itakayokuingizia kipato πŸ’°?
☎️ Nicheki nikufundishe: +255 752 577 256 karibu.

Tunashukuru kwa kutuelewa Sisi Vijana Ambao Tunatumia Mitandao ya Kijamii k**a ni sehemu pekee ya Kujitengenezea Kipato ...
26/05/2026

Tunashukuru kwa kutuelewa Sisi Vijana Ambao Tunatumia Mitandao ya Kijamii k**a ni sehemu pekee ya Kujitengenezea Kipato Mh. Naibu waziri wa viwanda na biashara

Mwachuo, licha ya changamoto za ajira, bado una nafasi kubwa sana ya kufanya makubwa. Elimu uliyoipata ni msingi tu; maf...
27/04/2026

Mwachuo, licha ya changamoto za ajira, bado una nafasi kubwa sana ya kufanya makubwa. Elimu uliyoipata ni msingi tu; mafanikio yako yatategemea namna utakavyotumia maarifa yako, ubunifu wako, na uthubutu wa kuchukua hatua.
Usikubali kukaa ukisubiri ajira pekeeβ€”anza kufikiria fursa zilizopo, jifunze ujuzi mpya, na chukua hatua hata k**a ni ndogo.

πŸ‘‰ Njoo uungane na wanachuo wenzako, ujifunze ni biashara gani unaweza kuifanya kulingana na uwezo wako, mazingira yako, na mahitaji ya soko.

Hii ni nafasi yako ya kujijenga na kuanza safari ya mafanikio kwa vitendo.

Moja ya sababu kubwa ya majuto kwa wahitimu wengi leo ni changamoto ya ajira. Tafiti zinaonyesha kuwa nafasi za kazi zim...
27/04/2026

Moja ya sababu kubwa ya majuto kwa wahitimu wengi leo ni changamoto ya ajira.

Tafiti zinaonyesha kuwa nafasi za kazi zimeendelea kupungua, zikifikia takriban asilimia 38.6, hali inayoongeza ushindani mkubwa sokoni.

Pamoja na hilo, wengi hukutana na uhalisia tofauti kabisa wanapoanza kazi wakigundua kuwa mishahara ni midogo kuliko matarajio yao na mara nyingine haiendani na gharama za maisha.

Hali hii inaonesha wazi kuwa elimu pekee haitoshi bila kuwa na ujuzi wa vitendo, ubunifu, na uwezo wa kujitengenezea fursa. Ni muhimu kwa wahitimu kuanza kubadilisha mtazamo:

badala ya kutegemea ajira k**a njia pekee ya mafanikio, wajifunze kutafuta na kuunda fursa, kujiongezea thamani, na kujenga vyanzo mbadala vya kipato. Hapo ndipo wanapoweza kupunguza majuto na kujenga maisha yenye mwelekeo imara.

Fursa kubwa mara nyingi hazionekani kwa macho, bali huonekana kwanza kiakili.”Uwezo wa kuzitambua unategemea mtazamo wak...
19/02/2026

Fursa kubwa mara nyingi hazionekani kwa macho, bali huonekana kwanza kiakili.”
Uwezo wa kuzitambua unategemea mtazamo wako.

18/02/2026

π— π—œπ—§π—”π—‘π——π—”π—’ 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—π—”π— π—œπ—œ π—‘π—œ π—¦π—’π—žπ—’, π—¦π—œπ—’ π—¦π—˜π—›π—˜π— π—¨ 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—£π—’π—§π—˜π—­π—” 𝗠𝗨𝗗𝗔.

Mitandao k**a Facebook, Instagram, TikTok na YouTube imebadilisha kabisa mfumo wa uchumi duniani.

Leo hii, huhitaji duka la kupanga vioo Kariakoo ili uuze.

Unachohitaji ni positioning sahihi.
Swali la msingi ni hili:

πŸ‘‰ Umejiposition vipi kwenye soko la kidigitali?

Mitandao sio ya maskini wala matajiri.
Mitandao inalipa kulingana na thamani unayotoa.

Ukijiposition k**a:
- Mtoa elimu β€” utapata wanaotafuta maarifa
- Mfanyabiashara - utavuta wateja
- Kiongozi wa fikra β€” utajenga ushawishi

Lakini ukitumia mitandao bila malengo, bila mkakati, bila thamani utabaki kuwa mtazamaji wa mafanikio ya wengine.

Kumbuka:
πŸ”Ή Social media ni MARKETPLACE
πŸ”Ή Watu wako humo tayari
πŸ”Ή Swali ni wewe unauza nini?

Tumia mitandao kwa POSITIVE.
Jenga brand.
Toa suluhisho.
Pata pesa.
Uchumi wa sasa uko mikononi mwa yule anayeweza kutumia mitandao kwa akili.
γ‚šviralγ‚· γ‚šviralγ‚·fypγ‚·γ‚šviralγ‚·alγ‚·

18/02/2026

𝗨𝗑𝗔𝗣𝗒𝗔𝗑𝗭𝗔 𝗦𝗔𝗙𝗔π—₯π—œ 𝗬𝗔 π— π—”π—™π—”π—‘π—œπ—žπ—œπ—’, 𝗛𝗔𝗦𝗔 π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔 β€” π—¨π—‘π—”π—›π—œπ—§π—”π—π—œ π—ͺ𝗔𝗧𝗨 𝟯 π— π—¨π—›π—œπ— π—¨ 𝗦𝗔𝗑𝗔:

1️⃣ π— π—˜π—‘π—§π—’π—₯.
Mentor ni mtu mwenye uzoefu mkubwa kuliko wewe kwenye eneo unalotaka kufanikiwa (biashara, uongozi, afya n.k).

Atakusaidiaje?
Atakupa hekima ya uzoefu (anakueleza makosa aliyofanya usirudie).
Atakuonyesha mwelekeo sahihi wa safari yako.

Atakuunganisha na fursa na watu muhimu.
Anakusaidia kufikiria kwa kiwango cha juu zaidi.

πŸ‘‰ Mentor anaangalia picha kubwa ya maisha yako.

2️⃣ 𝗖𝗒𝗔𝗖𝗛.
Coach ni mtu anayekusaidia kutoka ulipo hadi unapotaka kufika kwa vitendo.

Mfano:
Cristiano Ronaldo ana kipaji, lakini bado ana coach wa mazoezi.

Coach atakusaidiaje?
Atakusaidia kuweka malengo yanayopimika.
Atakufuatilia na kukupa nidhamu ya utekelezaji.
Atakupa mrejesho (feedback) wa moja kwa moja.
Atakusukuma kuvuka mipaka yako.

πŸ‘‰ Coach anaangalia matokeo yako ya sasa na kukusogeza mbele.

3️⃣ π—₯π—’π—Ÿπ—˜ π— π—’π——π—˜π—Ÿ.
Role model ni mtu unayemtazama na kusema: β€œNataka kufika hapo.”

Mfano:
Elon Musk kwa upande wa ubunifu na biashara.

Atakusaidiaje?
Anakupa msukumo wa kuamini inawezekana.
Anakujengea mtazamo (mindset) wa mafanikio.
Unajifunza kupitia maisha yake bila hata kukutana naye moja kwa moja.

πŸ‘‰ Role model anakujenga kisaikolojia na kimtazamo.

π—žπ—¨π— π—•π—¨π—žπ—”:
Mentor β†’ Anakupa mwelekeo na hekima
Coach β†’ Anakusukuma utekeleze
Role Model β†’ Anakupa msukumo wa kuwa bora
Ukipata hawa watatu kwenye safari yako ya biashara mafanikio yanakuwa suala la muda tu, sio bahati Tena.
K**a una mtaji wa shilingi 165, 000 hujui ni biashara gani uifanye njoo nikufundishe na nikusaidie ni biashara gani ufanye.
γ‚šviralγ‚·fypγ‚·γ‚šviralγ‚·alγ‚·

17/02/2026

π—‘π—šπ—¨π—©π—¨ 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗭𝗔𝗠𝗒 𝗖𝗛𝗔𝗑𝗬𝗔 π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—£π—˜π—¦π—”.

Watu wengi hawazuiliwi na kukosa pesa…
Wanazuiliwa na mtazamo wao kuhusu pesa.

1️⃣ Pesa huanza kichwani
K**a unaamini pesa ni ngumu kupatikana, utaishi ukiiona ngumu.
K**a unaamini pesa ni matokeo ya thamani unayotoa, utaanza kutafuta namna ya kuongeza thamani yako.

2️⃣ Maskini wa fikra hawezi kuwa tajiri wa matokeo
Ukiona pesa ni ya β€œbahati” au ya β€œwatu fulani tu”, akili yako itajifunga.
Lakini ukiona pesa ni matokeo ya nidhamu, maarifa na uthubutu utaanza kuchukua hatua.

3️⃣ Mtazamo chanya hukufanya:

βœ… Uone fursa badala ya matatizo
βœ… Ujifunze badala ya kulalamika
βœ… Uthubutu kuanza hata ukiwa huna mtaji mkubwa
βœ… Uwe mvumilivu kwenye safari ya mafanikio

4️⃣ Pesa hupenda watu wanaojiamini
Ukijithamini, utaweka bei sahihi.
Ukijiamini, utaongea kwa ujasiri.
Ukijiona una uwezo, dunia itaanza kukuona hivyo.

KUMBUKA:
Pesa si adui.
Pesa ni zao la fikra, maamuzi na matendo sahihi.

Badilisha mtazamo wako leo…
Utaona mabadiliko kwenye kipato chako kesho
γ‚šviralγ‚·fypγ‚·γ‚šviralγ‚·alγ‚·

NIAMBIE K**A HUYU NI WEWE?1.✍️ Unawahi kufika kileleni mapema. Chini ya dakika saba.2.✍️Unashindwa kurudia tendo kwa mar...
27/06/2024

NIAMBIE K**A HUYU NI WEWE?

1.✍️ Unawahi kufika kileleni mapema. Chini ya dakika saba.

2.✍️Unashindwa kurudia tendo kwa mara ya pili au zaidi.

3✍️.Uume Unashindwa kusimama au unasimama ukiwa legelege kwa mara ya pili au zaidi

4.✍️Unashindwa kumpa mwanamke mimba Kutokana na uchache au udhaifu wa mbegu (shahawa)

5.✍️Unapata maumivu kwenye korodani au misuli ya UUME baada ya tendo

6.✍️Unakosa hamu ya kufanya mapenzi au hamu ya kurudia tendo baada ya kufanya kwa mara ya kwanza

7. Umeathirika na Punyeto ulizopiga zamani au Sasa na uume umekosa Nguvu.

8. Una magonjwa mengine nyemelezi yanakusumbua k**a vile pressure, kisukari, Tb, ini, Nk?

8.Umetumia Dawa nyingi na virutubisho lakini hujapata matokeo, umekosa Uaminifu kwenye dawa.

TAHADHARI:Kuwa makini na CHAKULA unachokula kwa Sasa kula CHAKULA kifanye k**a DAWA badae usije kula DAWA k**a CHAKULA ni ushauri tu.

KARIBU TUKUSIKILIZE NA TUKUHUDUMIE TAFADHALI - Tunatoa ushauri na matibabu Karibu Sana 0756720056

Tatizo hili huweza kumkumba mtu wa jinsia yoyote na anaweza akajijua au asijijue k**a mdomo wake unatoa harufu mbaya. Ta...
30/05/2024

Tatizo hili huweza kumkumba mtu wa jinsia yoyote na anaweza akajijua au asijijue k**a mdomo wake unatoa harufu mbaya. Tatizo la harufu mbaya mdomoni husababishwa na mambo mbalimbali, Ila sababu kubwa ni maambukizi ya bakteria au protozoa na kuoza kwa mabaki ya chakula binadamu wote tuna bakteria wa asili kabisa ambao kwa kawaida hawana madhara yoyote kwetu na husaidia kumeng'enya mabaki ya vyakula pamoja na kupambana na vijidudu vya magonjwa
Hivyo k**a una dalili zozote wasiliana nasi πŸ“ž+255756720056

30/05/2024

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 21:30
Tuesday 08:30 - 21:30
Wednesday 08:30 - 21:30
Thursday 08:30 - 21:30
Friday 08:30 - 21:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when π—‘π—šπ—¨π—©π—¨ 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗭𝗔𝗠𝗒 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share