sophy medical center

sophy medical center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from sophy medical center, Medical and health, Dar es Salaam.

CHANGAMOTO YA CHUNUSI INAWATESA WATU WENGI SANA LEO TUNAANZA KUANGALIA VISABABISHI VYA TATIZO HILI NA NAMNA YA KUPAMBANA...
01/04/2024

CHANGAMOTO YA CHUNUSI INAWATESA WATU WENGI SANA LEO TUNAANZA KUANGALIA VISABABISHI VYA TATIZO HILI NA NAMNA YA KUPAMBANA NALO..

MUHIMU KUJUA KUA NA UTI ISIYOSIKIA DAWA UTATIBU BAADA YA MUDA INARUDI INACHANGIA MNO KUPATA CHUNUSI,
AU KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA UKENI .
TIBA IPO FANYA MAWASILIANO WHATS APP 0763705505
Part 01.

🚦CHUNUSI NI UGONJWA GANI..?

💃Chunusi ni tatizo la ngozi linalotokea wakati vinyweleo vinapozibwa na mafuta pamoja na seli za ngozi zilizokufa.Kwa kawaida chunusi hutokea usoni, kifuani, mabegani na mgongoni.

🚴 Chunusi hutokea zaidi kwenye umri wa kubalehe, ingawa inaathiri watu wa rika lolote.
Chunusi huwaathiri takribani asilimia 80% ya watu wenye umri kati ya miaka 11-30.

🚦 Kuna aina mbalimbali za matibabu ya chunusi, aina mbalimbali za dawa ya chunusi na njia mbalimbali za jinsi ya kuondoa chunusi. Kulingana na ukubwa wa tatizo, chunusi inaweza kusababisha kutokujiamini na kuleta msongo wa mawazo.

💃Chunusi zisipotibiwa mapema zinaweza kusababisha madoa na makovu ya chunusi.

📝CHUNUSI HUSABABISHWA NA NINI..?

Kuna sababu kuu nne zinazosababisha chunusi kutokea:

1.💃 Kuzalishwa mafuta kwa wingi usoni na sehemu zingne za mwili.

2.💃 Vinyweleo kuzibwa na mafuta na seli za ngozi iliyokufa..

3.💃 Maambukizi ya bakteria pamoja na kurithi kutoka kwa wazazi

4.💃 Kuzidi kwa homoni k**a vile Androgen..

🚦 Chunusi kwa kawaida hutokea usoni, kifuani, mgongoni na kwenye mabega, na hii ni kwa sababu katika sehemu hizi ngozi ina mafuta mengi. Mafuta haya, pamoja na seli za ngozi zilizokufa huziba vijitundu vya vinyweleo, na kusababisha mafuta kujirundika ndani ya ngozi. Na hapo ndipo bacteria nao huingia hapo na kutengeneza aina ya usaha unaotoka kwenye chunusi.

♀SABABU ZINAZOCHOCHEA KUONGEZEKA KWA CHUNUSI.

🙏Somo litaendelea.. †📚📖

❤Kwa msaada zaidi pamoja na tiba juu ya chunusi tupigie simu..

📞Piga/whattsap:0763705505

*Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto*👇👇Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humf...
01/04/2024

*Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto*
👇👇
Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia.

Miguu kuwaka moto ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo k**a kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni hivyo kupoteza uwezo wa utendaji kazi wa neva miguuni, sababu zingine ni k**a kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu, kuwa na sumu nyingi mwilini,kurithi au mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

Dalili za ugonjwa wa miguu kuwaka moto
Ugonjwa huu una dalili nyingi zikiwemo:
- Kuhisi ganzi,
- kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni,
- kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani,
- joto Kali miguuni,
- kuhisi k**a unaungua miguuni,kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.

Vitu/ mambo yanayoweza kupelekea mtu miguu yake kuwaka moto
Kuna mambo mengi sana yakiwemo:
- Uzito mkubwa wa mwili (hii husababisha uti wa mgongo kukaa tofauti na unavyostahili hivyo baadhi ya neva kukandamizwa na uzito wa mwili au misuli hivyo kusababisha miguu kupata maumivu na kufa ganzi.
- Matumizi ya baadhi za dawa zenye kemikali kwa muda mrefu au mara kwa mara mfano dawa za TB, HIV nk.
- Upungufu wa virutubusho mwilini hasa mkusanyiko wa Vitamini B
- Magonjwa ya sukari na Shinikizo la damu , magoti , mzio na fangasi
- Matatizo ya moyo
- Matatizo katika mishipa ya damu
- Ulevi wa kupindukia kwa muda mrefu

Jinsi ya kuepuka ugonjwa wa miguu kuwaka moto
- Kuwa na uzito unaoenda na na kimoja chako
- Fanya mazoezi ya mwili
- Kula chakula kinachokupatia virutubisho mwili hasa VITAMINI B
- Usafi wa viatu, sox na miguu
- Ondoa sumu au kemikali mara kwa mara mwilini

Matibabu:
- Kula vyakula vyenye mkusanyiko wa vitamini B za kutosha
- Fanya mazoezi ya mwili k**a kukimbia, Kutembea n.k pia kufanya massaging
- Punguza uzito uliopitiliza
- Tumbukiza miguu katika maji ya vuguvugu yenye chumvi
- Tibu maradhi ya sukari hakikisha sukari ipo sawa
- Ondoa sumu kali mwilini mara kwa mara
- Chua miguu yaki kwa vitu vinavyopunguza maumivu ,vinavyosaidia mzunguko wa damu kuwa Vizuri (paka Asali mbichi, shubiri na limao

K**a umeshakumbana na madhara ya TATIZO HILI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0763705505WHATSAPP
0763705505

Kitunguu swaumu ni tiba nzuri sana kwa afya yako, sophy medical center wapo kukukumbusha  kuwa 🧄 Hi ni Natural🌱 ant biot...
01/04/2024

Kitunguu swaumu ni tiba nzuri sana kwa
afya yako, sophy medical center
wapo kukukumbusha kuwa 🧄

Hi ni Natural
🌱 ant biotic
🌱 Ant fungal
🌱 Ant viral
🌱 Ant septic
🌱 Ant yeast
🌱 Ant inflammatory
🌱 Ant bacteria
🌱Ant allage

Nipigie sasa kupata ambayo tayri ipo kitaalamu mfumo wa kidonge kwa kutafuna tu hivyo vitunguu saum na maji havikutoshi utanuka mdogo bure na matokeo usipate vizuri
Ongea na mwambie nahitaji Garlic 🧄

Narudia kusema Hi ni ant biotic nzuri sana ya kutibu infection sugu k**a fangasi (candidas) yeast infection wanatoa hizo discharge mbaya ukeen, inatibu u.t.i sugu (urinary track infection ) PID sugu pelvic inflammatory disease maambukizo kwenye via vya uzazi

Habari nzuri ninacho kitunguu saumu tayri kwenye mfumo wa kidonge Ni based in nature but packed by science ziko inform ya vidonge kitaalamu kabisa no chemical added

Nb:chakula bora ni dawa usipo kula chakula k**a dawa utakula dawa k**a chakula

Call me/whtsap
📞📲0763705505

Madhara ya mwanamke kutoona hedhi ni pamoja na:1. Kutopata mimba - Hedhi ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mwanam...
01/04/2024

Madhara ya mwanamke kutoona hedhi ni pamoja na:

1. Kutopata mimba - Hedhi ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mwanamke, na kutokea kwa hedhi kunahusishwa na uwezekano wa kupata mimba. Kutoona hedhi kunaweza kumaanisha kuwa mwanamke hana uwezo wa kupata mimba.

2. Hatari ya magonjwa ya kizazi - Kutoona hedhi kunaweza kuashiria shida katika mfumo wa uzazi, na hivyo kuongeza hatari ya magonjwa ya kizazi k**a vile fibroids, endometriosis, au kansa ya kizazi.

3. Kupungua kwa kiwango cha homoni - Kutoona hedhi kunaweza kuashiria kupungua kwa kiwango cha homoni za k**e, ambazo ni muhimu kwa afya ya mwanamke.

4. Hatari ya osteoporosis - Kupungua kwa kiwango cha homoni za k**e kunaweza kuongeza hatari ya osteoporosis, ambayo ni upungufu wa madini ya calcium katika mifupa.

5. Masuala ya kihisia - Kutoona hedhi kunaweza kuathiri hisia za mwanamke na kusababisha wasiwasi, wasiwasi, au huzuni.

☞Tupigie Au chati nasi WhatsApp kwa Ushauri na Matibabu sahihi kupitia Simu Nambari
0763 705 505

Matumizi ya Mara kwa Mara ya Dawa Hizi Ni Athari ya kupata Vidonda vya Tumbo.1. Ibuprofen (Advil, Motrin)2. Naproxen (Al...
01/04/2024

Matumizi ya Mara kwa Mara ya Dawa Hizi Ni Athari ya kupata Vidonda vya Tumbo.
1. Ibuprofen (Advil, Motrin)
2. Naproxen (Aleve, Naprosyn)
3. Aspirin (Bayer, Bufferin)
4. Diclofenac (Voltaren, Cataflam)
5. Indomethacin (Indocin)
6. Meloxicam (Mobic)
7. Piroxicam (Feldene)
8. Ketorolac (Toradol)
9. Celecoxib (Celebrex)
10. Etodolac (Lodine)
☞Kupata Huduma Zetu,Tembelea Hapa

☞Tupigie Au chati nasi WhatsApp kwa Ushauri na Matibabu sahihi kupitia Simu Nambari
0763 705 505

*Sophy medical center
"Tunajali na Kuthamini Afya yako"

JINSI YA KUDHIBITI PRESHA KIASILI NDANI YA SIKU 30Presha Ni Moja Kati Ya Magonjwa Hatari Sana Ambayo Yanaongoza Kukatish...
01/04/2024

JINSI YA KUDHIBITI PRESHA KIASILI NDANI YA SIKU 30

Presha Ni Moja Kati Ya Magonjwa Hatari Sana Ambayo Yanaongoza Kukatisha Uhai Wa Watu Wengi Duniani. Kwa Mujibu Wa Ripoti Ya Shirika La Afya Duniani (WHO) Zaidi Ya Vifo Milioni 18(Sawa Na Asilimia 33% Ya Vifo Vyote Duniani) Hutokea Kila Mwaka Kutokana Na Magonjwa Ya Moyo Na Mishipa Damu (Maarufu K**a Magonjwa Ya Moyo Na Stroke) Huku Presha Ikichukua Nafasi Kubwa Zaidi. Kati Ya Vifo Hivyo Zaidi Ya Asilimia 75% Hutokea Katika Nchi Za Kipato Cha Chini K**a Vile Tanzania.

Miongoni Mwa Dalili Za Presha Ni Pamoja Na Maumivu Makali Ya Kichwa Yasiosikia Dawa, Kupumua Kwa Shida, Kuona Kwa Tabu, Kukosa Usingizi, Moyo Kuuma Na Kuenda Mbio, Na Hata Maumivu Ya Kifua Na Mgongo.

Zipo Sababu Nyingi Zinazopelekea Presha Ya Mtu Kupanda Miongoni Mwa Hizo Ni Pamoja Na Uzito Uliopitiliza(Overweight & Obesity), Msongo Wa Mawazo(Stress), Ulaji Usiofaa(Unhealthy Diet), Kiwango Kikubwa Cha Lehemu(High Cholesterol), Kisukari(Diabetes), Matumizi Mabaya Ya Pombe,Uvutaji Wa Sigara, Matumizi Ya Chunvi Kupitiliza,Kuto Kumywa Maji Ya Kutosha Kulingana Na Kilo Zako, Magonjwa Ya Figo Na Hata Kutofanya Mazoezi K**a Inavyoshauriwa.

Pindi Presha K**a Haikudhibitiwa Inaweza Kuleta Madhara Makubwa Ya Kiafya Kwa Mhusika Ikiwemo Kupata Magonjwa Ya Moyo K**a Vile Moyo Kutanuka Na Shambulizi La Moyo(Heart Attack), Kupata Kiharusi(Stroke), Kufeli Kwa Figo, Mwili Kupata Ganzi Mda Wote, Kutoona Vizuri, Kupungua Uwezo Wa Tendo La Ndoa(Kwa Wanaume) N.K.

Sasa, K**a Wewe Ni Mhanga Wa Presha Uliehangaika Sana Na Umechoka Kutumia Dawa Za Presha Bila Mafanikio, Basi Nina Habari Njema Sana Kwa Ajili Yako.

Kwa Jina Natwa James, Kwa Miaka Mingi Sasa Nimekua Nikiwasaidia Kwa Kuwashauri Wahanga MbaliMbali Wa Changamoto Ya PRESHA Namna Bora Na Salama Ya Kuondokana Na Tatizo Hilo Moja Kwa Moja Bila Ya Kutumia Madawa Makali.

Nimekuandalia PROGRAMME MAALUM Ya Namna Gani Unaweza Kudhibiti Presha Ndani Ya Siku 30 Kiasili Kabisa Bila Ya Kutumia Madawa.

Programu Hii Inahusisha Hatua Tatu Muhimu K**a
Ifuatavyo:

1. Kutambua Chanzo Msingi(Root Cause) Cha Tatizo Lako Na Kuhakikisha Kinaondoka Moja Kwa Moja

2. Namna Ya Kutumia Mlo Wenye Afya(Healthy Diet) Kudhibiti Presha Na Kuimarisha Afya Yako Kwa Ujumla

3. Namna Ya Kulinda Afya Yako Kwa Ujumla Kabla Na Baada Ya Tatizo Kuondoka

K**a Utapenda Kufahamu Ni kwa Namna Gani PROGRAMU Hii Inaweza Kukupa Suluhisho La Kudumu Kwa Changamoto Yako Hiyo Basi Nitumie Ujumbe Wa Neno “DHIBITI PRESHA KIASILI NDANI YA SIKU 30” Kwenda Kwenye Namba Yangu Ya WhatsApp 0763705505 {Au Unaweza Kunipigia Simu Moja Kwa Moja Kupitia Namba Yangu Hapo Juu kwa Msaada Wa haraka Zaidi}
Au Bofya Neno WhatsApp Kwenye Picha Kisha Mimi Nitawasiliana Na Wewe Ili Niweze Kuifahamu Vizuri ChangaMoto Yako Na Kupata Nafasi YA Kukushauri Nini Hasa Cha Kufanya Ili Kumaliza Changamoto Hiyo Moja Kwa Moja.

Ni Mimi Mwenye Kujali Afya Yako
Tatu mpuni

Mshauri Wa Afya Na Lishe

Shahawa ni majimaji yanayozalishwa wakati na kutoolewa wakati mwanaume anapomwaga mbegu kwenye tendo la ndoa. Shahawa zi...
01/04/2024

Shahawa ni majimaji yanayozalishwa wakati na kutoolewa wakati mwanaume anapomwaga mbegu kwenye tendo la ndoa. Shahawa zinabeba mbegu na majimaji mengine kutoka kwenye tezi dume. Kwenye makala hii tutajifunza kwanini unapata shahawa nyepesi na suluhisho lake

Kikawaida shahawa zinakuwa nzito na nyeupe kwa rangi. Japo kuna baadhi ya sababu zinaweza kupelekea mabadiliko ya rangi ya shahawa.
Shahawa nyepesi inaweza kuwa ni kiashiria cha mbegu chache na hivo kukufanya ushindwe kumpa mwanamke mimba.

Sababu kubwa nne kwanini unatoa shahawa nyepesi.
1.Upungufu wa mbegu

Sababu kubwa ya shahawa zako kuwa nyepesi ni upungufu wa mbegu(low s***m count). Kitaalamu hujulikana k**a oligos***mia. K**a una mbegu chache maana yake zipo kidogo kuliko kiwango cha chini kinachohitajika kumpa mwanamke mimba. Mbegu chini ya milioni 15 kwa milliliter ndizo chache sana.

Baadhi ya sababu zinazopelekea uwe na mbegu chache ni pamoja na

kuvimba kwa mishipa midogo ya damu kwenye korodani mpaka kupelekea kushuka uzalishaji wa mbegu
maambukizi hasa magonjwa ya zinaa na gonorrhea
vimbe kwenye korodani mpaka kuathiri uzalishaji wa ambegu
homoni kuvurugika: upungufu wa homoni ya kiume ya testosterone unafanya uzalishaji wa mbegu kupungua
majeraha kwenye via vya uzazi
tatizo la mbegu kutotoka nje na badala yake kurudi ndani(retograde ej*******on)
matatizo ya kinga ya mwili kushambulia mbegu
2.Kumwaga mbegu mara kwa mara

Kumwaga sana mbegu ni sababu ya mbegu zako kukosa ubora na hivo kutoa mbegu nyepesi. Kupiga punyeto ni sababu mojawapo inayokufanya umwage mbegu sana.

3.Upungufu wa madini ya zinc

Tafiti zinasema kwamba wanaume wenye madini ya kutosha ya zinc mwilini au wanaotumia virutubishi vya zinc wanakuwa na mbegu nyingi ukilinganisha na wale wenye upungufu wa zinc.

4.Majimaji ya kusafisha njia ya kutoka mbegu.

K**a unaona umetokwa na majimaji kabla hata hujaanza tendo au katikati ya tendo , unaweza kudhani ndio mbegu kumbe ni kemikali tu inatolewa ili kusafisha mazingira mbegu zije kupita pasipo kudhurika.

Je ni Sahihi Kupata Shahawa Zenye rangi?
Endapo utagundua shahawa zako siyo nyeupe, zina rangi ya njano ama pink basi ujue kuna shida mahali. Shahawa zenye rangi nyekundu ama pink inamanisha tezi dume yako imevimba ama pia mirisha ya kusafirisha mbegu inavuja damu.

Shahawa za njano zinaweza kuashiria uwepo wa mkojo. Na shahawa za njano na kijani zinaashiria kwamba kuna maambukizi kwenye tezi dume. kwa msaada zaidi piga simu namb 0763705505whatsapp Namba wa.me/255763705505

sophy medical center   UKAVU UKENI HUAMBATANA NA DALILI NYINGINE K**A:🧶Maumivu na kuungua hasa wakati wa tendo la ndoa.🧶...
01/04/2024

sophy medical center UKAVU UKENI HUAMBATANA NA DALILI NYINGINE K**A:

🧶Maumivu na kuungua hasa wakati wa tendo la ndoa.

🧶Michubuko, miwasho, kuungua sehem ya ukeni .

🧶Kutokwa matone ya dam baada ya tendo .

🧶Kupungua kwa hamu ya tendo

MATOKEO MABAYA AU MADHARA YA UKE KUWA MKAVU

🧶Michubuko ukeni

🧶Hatari ya maambukizi ya bacteria au fungus.

🧶UTI (maambukizi kwenye njia ya mkojo) zinazojirudia.

🧶Kutokufika kileleni na kutokufurahia mapenzi.

🧶Kutokujiamini

📱0763705505

KUTOKWA DAMU UKENI KWA MUDA USIO SAHIHI, JE, NI SAWA?Kutokwa na damu ukeni kusiko kawaida inaweza kuwa dalili ya tatizo ...
01/04/2024

KUTOKWA DAMU UKENI KWA MUDA USIO SAHIHI, JE, NI SAWA?

Kutokwa na damu ukeni kusiko kawaida inaweza kuwa dalili ya tatizo kwenye mfumo wako wa uzazi. Hali hii inaitwa ugonjwa wa uzazi. Au inaweza kuwa kwa sababu ya shida nyingine ya matibabu uliyopata au madawa.

Ikiwa uko katika kukoma hedhi na unaona kutokwa na damu ukeni, basi fika hospitali kafanye vipimo haraka.

Kukoma hedhi kwa kawaida hufafanuliwa kuwa kutopata hedhi kwa takriban miezi 12.
✍🏿Unaweza kusikia aina hii ya kutokwa na damu ukeni pia huitwa kutokwa na damu isiyo ya kawaida ukeni (abnormal vaginal bleeding) . Sababu zinazomfanya mwanamke kutokwa na damu isiyo ya kawaida ukeni ni pamoja na:

1. Magonjwa Ya Saratani

👉. Saratani ya shingo ya kizazi
👉. Saratani ya kizazi
👉. Saratani ya vifuko vya mayai
👉. Saratani ya ukeni
👉. Saratani ya kutokwa damu ukeni, nk

2. Mfumo Wa Endocrine

👉. Tezi ya thyroid kufanya kazi kupita kiasi
👉. Tezi ya thyroid kushindwa kufanya kazi
👉. Vivimbe maji kuota Vingi kwenye vifuko vya mayai
👉. Unapoacha kutumia njia ya uzazi wa mpango
👉. Mvurugiko Wa homoni, nk

3. Mambo Ya Uzazi Na Uwezo Wa Kuzaa

👉. Mimba kutunga nje ya uzazi
👉. Kuvurugika kwa homoni(hormonal imbalance)
👉. Mimba kuharibika
👉. Kukosa hedhi
👉. Ujauzito
👉. Kubadirika kwa mzunguko wa hedhi
👉. Kushiriki tendo la ndoa
👉. Uke kuwa mkavu

4. Maambukizi

👉. Mlango wa kizazi kuvimba
👉. Pangusa(chlamydia)
👉. Kisonono
👉. Mkanda wa jeshi
👉. PID
👉. Uke kuvimba

5. Uvimbe Kwenye Kizazi

👉. Kuvimba kwa ukuta wa kizazi
👉. Uvimbe maji
👉. Mlango wa kizazi kutuna na kutokeza nje
👉. Uvimbe Wa fibroid
✍🏿Hayo👆ndio mambo yanayomfanya mwanamke kutokwa na damu ukeni wakati usio wa hedhi.

Je, Suluhisho Lake Ni Nini?

Ikiwa k**a umeshapima na ikaonekana visababishi vyake,
Je, Unahitaji Kuondoa Tatizo Hili?..
KARIBU WASAP 0763705505 Kwa ushauri na Tiba Asili.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sophy medical center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share