25/10/2018
UZITO MKUBWA HAUKUFIKISHI MIAKA MITANO MBELE! LAKINI KUA UNAUWEZO WA KUPUNGUA KILO 9-15 KWA SIKU 24 KIAFYA!!!🤗💪
Watu wengi wamekua wakihangaika kupunguza uzito wao na wengine wamekua wakikwama kutokana na aliyotumia labda sio sahii sana au hakupata ushauri wa kiafya.
Nandio maana wengi huona kupunguza uzito ni jambo gumu na kuwa na wasiwasi kua labda uzito wao au mwili aliokua nao ni wa kurithi!
Kuna njia nyingi watu hutumia wengi hutumia
1**DIET
tuu,kujipangia vyakula vya kula au kujinyima kula, kula mlo mmoja tuuh au kupunguza lishe zao na wanaweza wakakonda na kuhisi wamepungua unajua kunatofauti ya kupungua na kukonda ukiunyima mwili lishe utakonda na sio kupungua ndio maana watu wengi wanatumia diet au kujinyima kula hua k**a wanadhoofika na kuonekana k**a wagonjwa hata sehemu nyingine za mwili nyama hutepeta au kuning'inia. mwili unabidi ulishwe Ndugu si kuunyima virutubisho muhimu.
2***KUFANYA MAZOEZI,ni njia nyingine ambayo hua inawapatia watu matokeo kiasi kwakua huufanya mwili kutumia lishe iliyokua imeiifadhi kuitumia yote na ndio maana ukimaliza mazoezi unajisikia kula chakula kingi zaidi
3*** Njia ya kutoa TAKA MWILI ni njia ambayo kwa sasa zaidi ya nchi 160 na imewapatia watu matokeo mazuri sana ambayo inahusisha njia zote mazoezi,lishe pamoja na detox(kutoa taka mwili) kwanini imeongezeka detox au kutoa taka mwili ni kwa sababu tukumbuke toka tunazaliwa tunakula na mda mwingi chakula tunachokila hua hakitoki chote kingine hubaki mwilini
MFANO...
K**a ulishawahi kumuona mwanamke akiosha vyombo kwenye sink akimaliza hulisafisha sink lake vyema ila akilitumia kwa zaidi ya mwaka kuna mda hua halitoi maji machafu vizuri kupeleka nje na ukiufungua mpira au bomba linalopitisha maji hayo utaona kwa ndani kuna uchafu mwingi umegandamana kwenye kuta za bomba au mpira ndivyo ilivyo kwetu sisi toka tunazaliwa tunakula ila tunaishia kupiga mswaki(kusafisha sink letu) ila kuanzia kwenye koo mpaka kinapokuja kutokea kwenye sehemu ya haja kubwa hatunaga utaratibu huo na kila siku hua tuna kula toka tunazaliwa kwa hiyo ni muhimu kusafisha mmeng'enyo wa chakula na kutoa taka mwili ili kuusaidi mwili upungue vizuri kiafya wenyewe na ndio maana watu wengi wamekua wakipata matokeo mazuri ya kupungua kilo 9 mpaka 15 ndani ya siku 24
# AFYA YAKO kupunguza uzito inawezekana
kwa ushauri zaidi na maoni zaidi mawasiliano ni (+255) 752473102