Afya Health Na Aidha

Afya Health Na Aidha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Health Na Aidha, Medical and health, Dar es Salaam.

18/01/2026
18/01/2026

Tezi dume ni nini ?

Tezi dume ni tezi ndogo ya kiume (prostate) inayopatikana chini ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija wa mkojo (urethra). Kazi yake kuu ni kutengeneza maji ya shahawa ambayo husaidia kulinda na kusafirisha mbegu za kiume.

Kazi za tezi dume

Kutengeneza sehemu ya majimaji ya shahawa

Kusaidia mbegu za kiume kusonga vizuri

Kuchangia afya ya uzazi wa mwanaume

Matatizo ya tezi dume

1. Kuvimba kwa tezi dume (Prostatitis) – huweza kusababisha maumivu na kukojoa kwa shida

2. Kuongezeka kwa tezi dume (BPH) – hutokea zaidi kwa wanaume wazee, husababisha mkojo kutoka taratibu au kukatika

3. Saratani ya tezi dume – mojawapo ya saratani zinazoathiri wanaume wengi

Dalili za matatizo ya tezi dume

Kukojoa mara kwa mara hasa usiku

Mkojo kutoka kwa shida au kwa maumivu

Maumivu ya chini ya tumbo au mgongoni

Kushuka kwa nguvu za kiume (wakati mwingine)

👉 Ushauri: Wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea wanashauriwa kupima afya ya tezi dume mara kwa mara.

K**a unataka maelezo kwa lugha rahisi zaidi, au kwa ajili ya tangazo/elimisho la afya, niambie nikusaidie.
Tupigie namba 0743313376

27/11/2025

TEZI DUME INATIBIKA NA INAWEZEKANA BILA UPASUAJI, KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE UJE OFISINI,,, TUNAPATIKANA MAKUMBUSHO BUS STAND....
TUPIGIE 0743313376

07/12/2024

KISUKARI KINATIBIKA NJOO TUKUHUDUMIE ...
TUNAKUPATIA DOZI KAMILI,...
TUNAPATIKANA MAKUMBUSHO BUS STAND NA ILALA BOMA
TUPIGIE 0743313376

05/11/2024

BAWASIRI INATIBIKA BILA UPASUAJI

BAWASIRI NI NINI?
- Ni ile hali ya mishipa ya vein iliyopo katika njia ya haja kubwa kutanuka na kujaa damu na kupelekea kupasuka na kusababisha kuvimba vinyama sehemu ya haja kubwa.
Bawasili ni ugonjwa mojawapo ambao unamfanya muathilika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.
KUNA AINA MBILI ZA BAWASIRI

1.BAWASIRI YA NJE: hii ni bawasili ambayo hutokeza nje ya eneo la haja kubwa yaan kinyama kuvimba katika eneo la haja kubwa

2.BAWASIRI YA NDANI: hii ni bawasili ambayo haionekani nje lakini hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na kuweza kutoka ukiwa unajisaidia na kurudi baada ya kumaliza au kutoka ukiwa unajisaidia na hairudi mpaka uirudishe kwa mkono.

SABABU ZA BAWASIRI
-Kukosa choo kwa muda mrefu na kupata choo kigumu
-Kuharisha muda mrefu
-Kufanya kazi ngumu
-Kuwa na uzito mkubwa
-Kuwa mjamzito
-Umri mkubwa
-Mmen'genyo wa chakula kutokuwa mzuri

DALILI ZA BAWASIRI
1;kinyesi kuchanganyika na damu
2;kuota vinyama njia ya haja kubwa
3;kupata miwasho sehemu ya haja kubwa
4;kutoka vinyama wakati wa kujisaidia

MADHARA YA BAWASIRI
:upungufu wa damu mwilini
:kupata kansa ya utumbo
:kinyesi kutoka bila kujitambua
:kuathirika kisaikolojia na kukosa raha
:kukosa hamu ya tendo
:kupungukiwa nguvu za kiyume Watu wengi wamerejesha matumaini Yao baadae ya kupona kabisa
BAWASILI INATIBIKA TENA BILA UPASUAJI... KWA MAELEZO ZAIDI NA KUPATA MATIBABU TUWASILIANE KUPlTIA NO +255743313376

TEZI DUME INATIBIKA NA INAWEZEKANA BILA UPASUAJI,,,,, TUNAPATIKANA MAKUMBUSHO BUS STAND,,,TUPIGIE 0743313376
07/10/2024

TEZI DUME INATIBIKA NA INAWEZEKANA BILA UPASUAJI,,,,, TUNAPATIKANA MAKUMBUSHO BUS STAND,,,
TUPIGIE 0743313376

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Health Na Aidha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share