24/02/2025
Katika Hospitali ya Bochi, tunayo furaha kuwajulisha wagonjwa wetu wa Saratani, ubongo na uti wa mgongo kuwa tarehe 27 na 28 mwezi huu, tutakuwa na kliniki maalum, pamoja na madaktari kutoka India. Hii ni fursa nzuri ya kupata huduma bora kutoka kwa wataalam wetu wa kimataifa.