17/08/2026
🍃Dawa ipo dukani
Ni mchanganyiko wa mimea yenye uwezo wa kudhibiti stress hormones, mahususi kwa ajili ya watu wanaoishi katika mazingira ya shinikizo kubwa. mchanganyiko wa mimea 12 pamoja na Vitamini C na D3, na magnesium oxide, glycinate na citrate izi zote husaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuleta utulivu wa hisia, kuboresha usingizi, kuusaidia mwili kukabiliana na changamoto za kila siku, na kurejesha uwiano wa ndani wa mwili na akili.
Maumivu ya kichwa , usingizi, kumbukumbu, huzuni, hasira, hofu, tafrani , kihisi kichwa kuzidiwa, uzito wa kutafakari nk
🍀Mimea k**a
Ashwagandha husaidia kupumzisha mwili na misukosuko inayokumbana nayo
🍀L-Theanine husaidia kutuliza mishipa ya fahamu, hupunguza stress wakati wa kazi ngumu. Huimarisha umakini na kudhibiti presha au panic wakati wa matukio au shughuli mbalimbali za mkusanyiko
Lion's mane mushrooms
Husaidia ukuaji wa seli za ubongo na kulinda neva dhidi ya uharibifu kupungua kwa kumbukumbu kunakohusiana na uzee.
Basil husaidia kutuliza akili na kutuliza mfumo wa usagaji chakula
Ginkingo husaidia hewa na damu kusambaa vizuri kwenye ubongo na kuboresha kumbukumbu na afya ya macho
Bacopa
hulinda seli ya ubongo, kuwezesha kutafakari kwa haraka , usindikizaji wa haraka wa habari kenywe ubongo
Rhodiola rosea
Hudhibiti homoni za msongo wa mawazo na Hupambana na uchovu:
ginseng huimarisha kumbukumbu na umakini wakati wa kufanya kazi ngumu. Kulinda Seli za Ubongo na Husaidia seli za ubongo kuzalisha nishati zaidi
Gaba husaidia kupunguza kasi ya ishara za neva zinazofanya kazi kupita kiasi pia Huzuia seli za neva kufyatua kwa kasi sana.
Phosphatidylserine husaidia kupunguza viwango vya homoni za mfadhaiko, na kuboresha umakini kwa watu wenye ADHD
Black pepper
Husaidia kupunguza ukungu wa ubongo na kulinda seli za ubongo kutokana na kuzeeka na uharibifu wa mapema.
Valerian root Husaidia kutuliza mvutano wa neva