CERAGEM TANZANIA

CERAGEM TANZANIA Healing Your Llife KUPITIA KWENYE UTI WA MGONGO,KIFAA HIKI HUSAIDIA KUONDOA MAGONJWA YOTE AMBAYO SI AMBUKIZI...KARIBUNI SANA
CERAGEM INAPONYA MAISHA YAKO!

CERAGEM IMEFANYIWA UCHUNGUZI KWA ZAIDI YA MIAKA SITA NA KUIDHINISHWA MASHIRIKA YA AFYA DUNIANI IKIWEMO US-DRUG AND FOOD ADMINISTRATION KAMA KAMPUNI YENYE KUTOA HUDUMA YA AFYA KIWANGO CHA ASILIMIA KUBWA KATIKA AFYA YA BINADAMU KWA KUTUMIA MWANGA WA JUA LA FAR INFARED RAISE, MASHINE YA CERAGEM YEENYE UWEZO WA KUKURUDISHIA FURAHA YAKO KWA KUSISIMUA MISHIPA YA FAHAMU, MISHIPA YA DAMU, NA MISULI ILIYOSINYAA NA KUONDOA MAUMIVU YOTE.

we are grateful for this recognition ,Receiving this Certificate of Appreciation in Geita means a lot to us! Asanteni wo...
02/05/2026

we are grateful for this recognition ,
Receiving this Certificate of Appreciation in Geita means a lot to us! Asanteni wote mliofika na kutuunga mkono kwenye exhibition Geita

28/04/2026

Ceragem Tanzania Exhibition 🔥
Njoo ujaribu huduma yetu leo na upate suluhisho la maumivu ya mgongo #

14/04/2026

Experience next-level wellness with Ceragem Master V4 — now in Tanzania 🇹🇿✨
Advanced spine care, deep relaxation, and modern healing all in one place

RAMADHANI KAREEM
18/02/2026

RAMADHANI KAREEM

03/02/2026

Umuhimu wa Huduma ya Ceragem
• Hupunguza maumivu ya mgongo, shingo na viuno
Husaidia kupunguza maumivu yanayosababishwa na uchovu, kukaa vibaya au msongo wa mwili.
• Hurekebisha mpangilio wa mgongo (spinal alignment)
Mgongo ukiwa sawa, mwili mzima hufanya kazi vizuri zaidi.
• Huboresha mzunguko wa damu
Joto la Ceragem husaidia damu kusambaa vizuri, hivyo mwili kupata oksijeni na virutubisho kwa ufanisi.
• Hupunguza msongo wa mawazo na uchovu
Tiba husaidia mwili kupumzika na akili kutulia.
• Ni tiba salama, isiyo na dawa wala sindano
Inafaa kwa watu wa rika tofauti bila madhara ya dawa.
• Husaidia ubora wa usingizi
Wateja wengi hujisikia usingizi mzuri baada ya kutumia Ceragem.
• Husaidia mwili kujirekebisha wenyewe kiasili
Huchochea uwezo wa mwili kujiponya bila kemikali.
• Inachukua muda mfupi lakini matokeo ni makubwa
Session ni dakika 60 tu, rahisi kuipanga kwenye ratiba ya kila siku.

02/02/2026

Pata Afya Bora na Ceragem Tanzania! 🔹

Je, unatafuta njia ya asili ya kupunguza maumivu ya mgongo, kuboresha mzunguko wa damu, na kuongeza nishati ya mwili wako? 🌿✨ Ceragem inakuletea suluhisho bora kwa afya yako kupitia teknolojia ya tiba ya mwili!

✅ Hupunguza maumivu ya mgongo na shingo
✅ Huboresha mzunguko wa damu
✅ Husaidia kupunguza msongo wa mawazo
✅ Inaimarisha afya kwa ujumla

📍 Tembelea Ceragem Tanzania leo na upate uzoefu wa tiba ya hali ya juu!

🇹🇿

14/08/2025

🙂🙂

06/03/2025

Our Best massage Bed

28/10/2024

Maelezo Muhimu, Kuhusu Huduma ya Ceragem Tanzania.. Manager wetu wa Ceragem Tanzania Anatueleza

MAUMIVU YA MGONGO YAMEGAWANYIKA SEHEM KUU TATU... SEHEM ZA JUU',,,, SEHEMU ZA KATI',, NA SEHEMU ZA CHINI ILA KWA ASILIMI...
25/10/2024

MAUMIVU YA MGONGO YAMEGAWANYIKA SEHEM KUU TATU... SEHEM ZA JUU',,,, SEHEMU ZA KATI',, NA SEHEMU ZA CHINI ILA KWA ASILIMIA KUBWA WANAUMWA SANA SEHEM ZA CHINI (ENEO LA KIUNO ) YAAN LUMBER REGION. Na wengine hupata maumivu sehem za juu yaan Cervical REGION..Yote hizi hutokana na kazi au mfumo wa maisha wetu wa kila siku kwa matumizi ya Ceragem husaidia kurekebisha Dosari za Uti wa Mgongo na kukuondoa kwenye maumivu Haya ya Mgongo na kukufanya uwe mwepes kwenye shughuli zako na Ujiskie mwenye furaha karibu sana CERAGEM TANZANIA

Address

Tank Bovu , Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 06:00 - 17:00
Thursday 06:00 - 17:00
Friday 06:00 - 17:00
Saturday 06:00 - 12:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CERAGEM TANZANIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CERAGEM TANZANIA:

Share