Afya Yangu Plus

Afya Yangu Plus Pambana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama presha, kisukari, PID, magonjwa ya moyo, kansa na figo

πŸ’” Je, Mpendwa Wako Anasumbuliwa na Stroke au Saratani? Usisubiri hali iwe mbayaβ€”chukua hatua mapema. πŸ‘‰ Tuma DM kupata ms...
04/05/2026

πŸ’” Je, Mpendwa Wako Anasumbuliwa na Stroke au Saratani? Usisubiri hali iwe mbayaβ€”chukua hatua mapema. πŸ‘‰ Tuma DM kupata msaada au maelezo zaidi leo

⚠️ Usipuuze kidonda kisichopona β€” kinaweza kuwa ishara ya tatizo kubwa zaidi. Chukua hatua mapema kabla hali haijawa mba...
04/05/2026

⚠️ Usipuuze kidonda kisichopona β€” kinaweza kuwa ishara ya tatizo kubwa zaidi. Chukua hatua mapema kabla hali haijawa mbaya. πŸ‘‰ Bofya link DM kupata msaada au maelezo zaidi leo

πŸ’” Je, Mpendwa Wako Anaumwa Saratani au Stroke? Pole sana ila... Usisubiri hali iwe mbaya ndipo uchukue hatua β€” msaada wa...
04/05/2026

πŸ’” Je, Mpendwa Wako Anaumwa Saratani au Stroke? Pole sana ila... Usisubiri hali iwe mbaya ndipo uchukue hatua β€” msaada wa mapema unaweza kuleta tofauti kubwa. πŸ‘‰ Bofya link Bio kupata msaada au maelezo zaidi leo

19/03/2026

Tendo la ndoa sio uume tu.
Ni mfumo mzima wa mwili.

Moyo wako unatuma damu,
mishipa inasafirisha,
akili ina-control hisia,
na hormones zina-activate hamu.

Ukiharibu sehemu moja
mfumo wote unaathirika.

Ndiyo maana wengine wanahangaika
bila kuelewa chanzo.

Usitibu dalili tu.
Rekebisha mfumo mzima wa mwili.

Tafadhali bofya link kwenye Bio
ikiwa unakabiliana na changamoto yoyote kati ya hizi.

Tunakusaidia kupambana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) k**a presha, kisukari, PID, magonjwa ya moyo, kansa na matatizo ya figo kupitia virutubisho na lishe bora.

Follow

19/03/2026

Kisukari + pombe = hatari.

Kwa nini?

Kwasababu, Pombe husababisha...
sukari kupanda au kushuka ghafla.

Pia huathiri namna dawa zako zinavyofanya kazi.

Ndiyo maana hali inakuwa mbaya bila kujua.

Suluhisho?
Punguza au epuka pombe.

Tafadhali bofya link kwenye Bio
ikiwa unakabiliana na changamoto yoyote kati ya hizi.

Tunakusaidia kupambana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) k**a presha, kisukari, PID, magonjwa ya moyo, kansa na matatizo ya figo kupitia virutubisho na lishe bora.

Follow

19/03/2026

POLE...
Hii si bahati mbaya.
Ni ishara ya tatizo ndani ya mwili wako.

Inaweza kuwa:
stress kali,
uchovu,
au KUSHUKA HORMONES.

Usingoje hali iwe mbaya.
Chukua hatua mapema.

Tafadhali bofya link kwenye Bio
ikiwa unakabiliana na changamoto yoyote kati ya hizi.

Tunakusaidia kupambana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) k**a presha, kisukari, PID, magonjwa ya moyo, kansa na matatizo ya figo kupitia virutubisho na lishe bora.

Follow

17/03/2026

- Sio zote zinafanya kazi.
- Quality ni muhimu KULIKO BEI
- Lishe bado NI msingi KUZINGATIA
- Mazoezi ni lazima, YANASAIDIA
- USINGIZI NI muhimu PIA
- SIO MBADALA WA Medical advice

βœ… Choose wisely

Tafadhali bofya link kwenye Bio
ikiwa unakabiliana na changamoto yoyote kati ya hizi.

Tunakusaidia kupambana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) k**a presha, kisukari, PID, magonjwa ya moyo, kansa na matatizo ya figo kupitia virutubisho na lishe bora.

17/03/2026

- Mbegu hupungua
- Ubora hushuka
- Libido kushuka
- Maumivu
- Fertility risk

βœ… Vaa nguo huru + epuka joto kali

Tafadhali bofya link kwenye Bio
ikiwa unakabiliana na changamoto yoyote kati ya hizi.

Tunakusaidia kupambana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) k**a presha, kisukari, PID, magonjwa ya moyo, kansa na matatizo ya figo kupitia virutubisho na lishe bora.

15/03/2026

Afya ya mwanaume – ni mfumo mzima unaohusisha πŸ‘‡

πŸ”Ή Testosterone – huchochea nguvu na nishati
πŸ”Ή Libido – hamu ya kingono inategemea hormones na afya ya akili
πŸ”Ή Fertility – uzazi unategemea testosterone na ubora wa mbegu
πŸ”Ή Mind – akili yenye afya inasaidia mood, motivation, na libido

βœ… Kila kipengele kinaathiri kingine. Lisha mwili, fikiria afya, fanya mazoezi, na pata usingizi wa kutosha.

15/03/2026

πŸ’‘ Kuamka UMEDINDA Asubuhi ni Ishara ya Afya
Hii ni ishara kwamba mfumo wa kiume na mishipa ya damu inafanya kazi vizuri. πŸ‘‡

βœ… Inamaanisha:πŸ‘‰πŸ‘‰

- Testosterone iko kwenye kiwango cha kawaida
- Mishipa ya damu na moyo vinafanya kazi vizuri
- Nguvu za kiume zipo imara

πŸ’ͺ Kila ishara ya mwili ni muhimu! Angalia afya yako na endelea kuzingatia lishe, mazoezi, na usingizi wa kutosha.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Yangu Plus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share