20/01/2025
UKIWA MUHANGA WA UZAZI, UNAPOKEAJE HILI?
Ili mwanamke ushike ujauzito bila kubahatisha wala hofu ya kupata na kuharibikia njiani kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yako kabla ya kuangalia mwanaume wako anashida gani. Mambo makubwa ni
Lazima mzunguko wa hedhi ukae sawa (perfect menstral circle)
Homoni zinazochochea kupevuka kikamilifu na kutoka kwa mayai na kuchochea mabadiliko wakati wa ovulation ili kushika mimba ziwe zinatolewa kila moja kwa kiwango stahiki hata zile ambazo zinafaa kuwa sawa ukishakuwa mjamzito pia ili mimba yako isiishie trimester ya kwanza(wiki 1-12 yaani mwezi 0-3).
Mirija ya uzazi isiwe na matatizo ya kupitisha kwa shida maana unaweza kupata mimba inayoishia kwenye mrija na utaupoteza kwa kukatwa pia usiwe umeziba kabisa kwachochote hata tishu za endometriosis
Kizazi chako kiwe sawa bila makovu wala uvimbe maana mimba haitaweza kujishikiza au ikikaa kutakosekana uimara alafu itatoka wakati wa uzito kuongezeka mimba inavokua
Ukiona hayo mambo hayako sawa labda kwa sababu
@ Uliwahi kutumia dawa za Uzazi Wa mpango zikakuathiri maana maranyingi madhara yake huja baada ya muda mrefu wakati ambao ungedhani sumu zake zishakuisha kumbe la na unajua shida ilianzia hapo au hujui maana siyo mara zote homoni kupata shida eti lazima uwe ulitumia dawa za kupanga uzazi. Huweza kuwa hata kutokana na mtindo wa maisha tu usiofaa hata UTI na au FANGASI kwa sana za kukufanya uwe na PID umewahi kuwa au unatokwa uchafu ukeni.
@ uliwahi kufanya abortion (kutoa mimba) ikakuathiri
@ Umewahi kutumia madawa kwa muda mrefu yakakuathiri
@ umewahi kuugua sana maradhi mengine ikaporomosha kinga yako ya mwili homoni kuathirika
@ Unaambiwa kizazi kiko mbali kutokana na mkao wake au kutokana na vimbe au tishu nyingi za endometriosis kuathiri umbile la kizazi
@ Unaambiwa kizazi kimegeuka au unaambiwa una uvimbe ( Fibroids/Myoma au cyst)
Hata hivo Unaweza kujikuta tu hivo kwamba hayo mambo hayajakaa sawa bila kujua sababu nini inaweza kuwa kijenetiki pia na usijue chakufanya ukabaki kusemwa tu hata kwamambo ambayo hujui na hujawahi kufanya pengine mpaka ndoa yenyewe inakuwa mashakani sasa.
Tumekuandalia msaada wa uhakika na huna haja ya kuwa unatibu kipengele kimojakimoja na unashangaa mambo yaleyale hufanikiwi mpaka unachoka kwa namna yoyote kikubwa gusa liki kujiunga na group hili upate kusaidiwa kwa maelekezo ya bure kabisa bila kusahau tiba inapohitajika kurahisisha mambo ufanikiwe kwa muda mfupi zaidi usipoteze mwaka mwingine tena.
https://chat.whatsapp.com/JG0hGQkqNZGK7JmuGCq0tg
Au unaweza kupiga simu mojakwamoja 0788512033 hakikisha unafika kabisa mpaka kwenye group isipokuwa k**a hupendi kuwa kwenye group ila kuna nafuu zaidi kupitia group.