OCC Doctors

OCC Doctors Telemedicine Centre
Incorporating Telemedicine Service
| Answering Get Quick | Detailed Medical Advice | Non Emergency Medical Issues.

Who We Are
OCC Doctors is a trusted leader in digital healthcare, providing secure and comprehensive telemedicine services to patients around the world. We combine advanced technology, medical expertise, and compassionate care to make healthcare more accessible, affordable, and efficient. Our Mission
To enhance global access to high-quality healthcare by leveraging innovation and technology delive

ring personalized, cost-effective, and convenient medical services while promoting wellness and preventive care. Our Vision
To redefine how patients access care by bridging the gap between medical professionals and patients through modern telecommunication systems, and by promoting natural, science-backed health solutions for a healthier, more sustainable world. Our Services
Online Consultations: Speak with licensed doctors anytime, anywhere. E-Prescriptions: Receive secure and verified prescriptions online. Medical Certifications: Fit-to-work and fit-to-travel certificates available digitally. Routine Consultations: Ongoing care and medical advice from trusted professionals. Remote Monitoring: Continuous support and follow-up care through technology. Our Products
OCC Doctors also offers a wide range of natural and Ayurvedic health products, combining the wisdom of traditional medicine with modern scientific standards. Our formulations are made from high-quality, naturally derived ingredients and manufactured with state-of-the-art equipment that meets rigorous international safety and quality standards. Our Commitment
We are committed to innovation, integrity, and excellence in everything we do. Our goal is to make world-class healthcare available to every patient anytime, anywhere while contributing to the well being of individuals and communities worldwide.

Mtu mwenye presha hupimwa mafuta 'cholesterol' kwa sababu presha na mafuta mengi kwenye damu huenda pamoja kuongeza hata...
13/05/2026

Mtu mwenye presha hupimwa mafuta 'cholesterol' kwa sababu presha na mafuta mengi kwenye damu huenda pamoja kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu. 'Low-Density Lipoprotein' ni mafuta yanayosafirisha 'cholesterol' kwenda kwenye mishipa ya damu. Ikizidi, hujikusanya kwenye kuta za mishipa, husababisha kuziba kwa mishipa na huongeza hatari ya kiharusi na shambulio la moyo.

'High-Density Lipoprotein' ni mafuta yanayosafisha 'cholesterol' mwilini. Huondoa 'Low-Density Lipoprotein' kutoka kwenye mishipa na huirejesha kwenye ini ili ivunjwe. Kiwango kikubwa cha 'High-Density Lipoprotein' ni kinga ya moyo.

UGONJWA WA PRESHA
13/05/2026

UGONJWA WA PRESHA

Dawa bora ya macho hutegemea aina ya tatizo la jicho. Si kila tatizo la macho mekundu husababishwa na bakteria, mengine ...
11/05/2026

Dawa bora ya macho hutegemea aina ya tatizo la jicho. Si kila tatizo la macho mekundu husababishwa na bakteria, mengine husababishwa na virusi au allergy, hivyo dawa ya 'antibiotic' ya kawaida haisaidii. Dalili zinazo ashiria maambukizi ya bakteria ni pamoja na usaha wa njano au kijani kutoka kwenye jicho, kope kugandana asubuhi, jicho kuwa jekundu na kutoa uchafu au kuvimba kidogo.

Muhimu kuchukua hatua mapema ikiwa kuna maumivu makali ya jicho, kuona ukungu au kupungua uwezo wa kuona, kushindwa kustahmili mwanga, uwepo wa jeraha kwenye jicho, kushindwa kutumia miwani na macho kuvimba au kuwasha kupita kiasi.

MAGONJWA YA MACHO
11/05/2026

MAGONJWA YA MACHO

Kutopata ujauzito kwa muda mrefu baada ya kuacha sindano za uzazi wa mpango pamoja na mzunguko wa hedhi usioeleweka kuna...
11/05/2026

Kutopata ujauzito kwa muda mrefu baada ya kuacha sindano za uzazi wa mpango pamoja na mzunguko wa hedhi usioeleweka kunaweza kusababishwa na vimbe kwenye fuko la mayai (PCOS) ambayo husababisha hedhi kuvurugika, kuchelewa kupata ujauzito, wakati mwingine kuongezeka uzito. Sababu nyingine ni upungufu wa homoni za uzazi kutokana na athari za muda mrefu baada ya sindano za uzazi wa mpango.

Hedhi zisizoeleweka ikiwemo tarehe kubadilika sana kila mwezi ni ishara kwamba yai halitoki vizuri kwenye kifuko chake (Ovulatory dysfunction).

HEDHI SALAMA
11/05/2026

HEDHI SALAMA

Mkusanyiko wa uchafu mweupe kwenye mashavu ya uke ya mtoto 'Sm**ma' hukusanyika kwenye mikunjo ya uke au karibu na kinem...
10/05/2026

Mkusanyiko wa uchafu mweupe kwenye mashavu ya uke ya mtoto 'Sm**ma' hukusanyika kwenye mikunjo ya uke au karibu na kinembe kwa mwanamke, kwa mtoto mara nyingi husababishwa na maambukizi ya fangasi au inaweza kuwa ni mkusanyiko wa uchafu wa jasho kutokana na eneo kuwa na unyevu muda mrefu. Wakati mwingine muwasho wa sabuni, diaper au mafuta na mara chache maambukizi ya ngozi.

Kiasi kidogo ni kawaida, lakini kikizidi kinaweza kutoa harufu mbaya, kuwasha au kuleta muwasho na kusababisha maambukizi k**a usafi si mzuri kwa mtoto mdogo.

AFYA YA MTOTO - UKUAJI NA MAENDELEO
10/05/2026

AFYA YA MTOTO - UKUAJI NA MAENDELEO

Vitu vinavyoongeza hatari ya kuharibika kwa mimba ni pamoja na umri wa mwanamke ikiwa ni zaidi ya miaka 35 anakuwa kweny...
03/05/2026

Vitu vinavyoongeza hatari ya kuharibika kwa mimba ni pamoja na umri wa mwanamke ikiwa ni zaidi ya miaka 35 anakuwa kwenye hatari zaidi, kuwepo kwa historia ya kuharibika kwa mimba hapo zamani, uvutaji wa sigara, madawa ya kulevya, pombe na matumizi ya kahawa kupita kiasi. Sababu zingine hatarishi ni uwepo wa uvimbe kwenye kizazi (fibroids) au makovu ndani ya mfuko wa uzazi.

Hali ya mimba huharibika yenyewe kabla ya wiki 28 za ujauzito (Miscarriage) haijumuishi utoaji mimba wa makusudi kwa kutumia dawa au vifaa. Mimba hupotea yenyewe kabla ya kufikisha wiki 28 za ujauzito.

Uwepo wa doti leusi au kahawia karibu na mboni ya jicho (Conjunctival nevus), hujitokeza k**a doti la rangi kwenye jicho...
25/04/2026

Uwepo wa doti leusi au kahawia karibu na mboni ya jicho (Conjunctival nevus), hujitokeza k**a doti la rangi kwenye jicho, huonekana k**a doa la kahawia au jeusi, haliumi na halisumbui kuona. Husababishwa na mkusanyiko wa seli zinazotoa rangi (melanocytes), zinapokusanyika sehemu moja kwenye mboni ya jicho hutengeneza hiyo doa (nevus). Wakati mwingine kupigwa na mionzi ya jua (UV) inaweza kuchochea seli za rangi kufanya kazi zaidi na kusababisha doa kuonekana wazi zaidi kwa watu wanaopigwa sana na jua.

Pia kwa wengine huzaliwa nayo au huanza utotoni. Inaweza kuwa ndogo halafu ikaonekana zaidi kadri mtu anavyokua. Doti jeusi jichoni sio maambukizi, haiambukizi na wala sio kansa.

Address

4th Floor, Matangini House, Plot No: 2786, Block A, Morogoro Road/Matangini Street, Kimara Terminal
Dar Es Salaam
16104

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OCC Doctors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to OCC Doctors:

Share