EcoHealth

EcoHealth EcoHealth Tips:
Vidokezo Vya Afya Asilia, Mapishi Yenye Virutubisho, Na Mitindo Bora Ya Maisha.

PUNGUZA Uzito kwa Njia ya Asili Ndani ya Wiki 1 TUK**a umekuwa ukihangaika kupunguza uzito kwa muda mrefu bila mafanikio...
19/09/2024

PUNGUZA Uzito kwa Njia ya Asili Ndani ya Wiki 1 TU
K**a umekuwa ukihangaika kupunguza uzito kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote basi soma mpaka mwisho.
Kwanza nikupongeze sana kwa kufanya maamuzi ya kusoma huu ujumbe
kwasababu sekunde 60 zijazo utajifunza mbinu za kupunguza uzito kwa haraka zaidi ndani ya WIKI 1 TU.
NDIYO...
Ndani ya Siku 7 Tu Utaweza Kupunguza Uzito Maradufu Kwa Njia ya Asilia Bila ya Kutumia Kemikali Yoyote.
Utaungana na Wenzako Zaidi ya 200 Walionufaika na Hii siri ya Kupunguza Uzito kwa Haraka.
Na LEO hizi SIRI Utazipata katika kitabu kilichoandaliwa maalumu kwa ajili yako wewe unaeteseka na uzito mkubwa.
Ukipata bahati ya kupata hiki kitabu utajifunza siri zifuatazo:

1) Mbinu 100% za kupunguza uzito za asili—hakuna dawa wala kemikali

2) Mwongozo wa lishe bora ili kuongeza kasi ya kupunguza uzito

3) Mazoezi rahisi unayoweza kufanya nyumbani bila vifaa maalum

4) Jinsi ya kurudisha uzito wako wa ndoto bila kurudi tena kwenye uzito mkubwa
Thamani ya Kitabu Hiki Baada ya Kutoka Rasmi Itakuwa ni Tshs 35,000
LAKINI
Kabla ya Kuingia Sokoni Rasmi Kitaanza Kuuzwa kwanza Kwa Watu 50 Tu...
Ambapo...
Watu 50 wa Kwanza Kupata Kitabu Hiki Watalipia Tshs 6,999 Tu (Badala ya Tshs 35K)
Na Sio Hivyo Tu...
Watu 50 wa Kwanza Kupata Kitabu watapata BONUS ya kujiunga na Group la WhatsApp BURE kwa ajili ya kupata muongozo wa kitabibu.
k**a unataka uwe miongoni ya walionufaika na SIRI ya kupunguza Uzito ndani ya wiki 1 TU.
Basi Fanya Malipo SASAHIVI
M-PESA: 0762 679 864
Razak Bahasha
KISHA
Tuma screenshot ya muamala uliofanya kwa njia ya Whatsapp kupitia namba 0762679864.
Baada ya hapo utatumiwa nakala ya kitabu chako hapo hapo
Kwa Maelezo Zaidi PIGA
0762-679-864 SASAHIVI
WhatsApp: 0762-679-864
P.S. Watu 50 Tu Ndiyo Watakao Pata Bahati Ya Kupata Kitabu Hiki.
Chaguo ni Lako Uendelee Kuteseka na Uzito Mkubwa
AU
Kuanza Safari Mpya ya Kuwa na Mwili Wenye Afya
UBARIKIWE

Karanga Zina Faida Nyingi kiafya, Zikiwa Chanzo Kizuri Cha Virutubisho Muhimu.Baadhi ya faida zake ni:Chanzo cha protini...
07/09/2024

Karanga Zina Faida Nyingi kiafya, Zikiwa Chanzo Kizuri Cha Virutubisho Muhimu.
Baadhi ya faida zake ni:
Chanzo cha protini:
Karanga zina protini nyingi, muhimu kwa ujenzi wa misuli na tishu mwilini.
Vitamini na madini:
Zina vitamini E, B6, folate, na madini k**a magnesiamu, zinki, na chuma, vyote vikisaidia kudumisha afya bora.
Mafuta mazuri:
Karanga zina mafuta ya asili yasiyoshiba, ambayo husaidia kuboresha afya ya moyo na kupunguza cholesterol mbaya.
Antioxidants:
Karanga zina antioxidants, k**a resveratrol, ambazo husaidia kupambana na uvimbe na kuimarisha kinga ya mwili.
Kuboresha afya ya ubongo: Virutubisho k**a vitamini E na resveratrol vinaaminika kusaidia kuboresha kazi za ubongo na kukinga magonjwa k**a Alzeima.
Chanzo Cha Nishati:
Karanga zina kalori nyingi, hivyo ni chanzo kizuri cha nishati kwa shughuli za kila siku.
Hata hivyo, ni vyema kula kwa kiasi, kwani zinaweza kuongeza uzito endapo zitakuwa zinaliwa kupita kiasi

Kiasi cha maji unachopaswa kunywa kwa siku kinategemea mambo kadhaa, k**a vile umri, uzito, jinsia, kiwango cha shughuli...
06/09/2024

Kiasi cha maji unachopaswa kunywa kwa siku kinategemea mambo kadhaa, k**a vile umri, uzito, jinsia, kiwango cha shughuli, na hali ya hewa.
Kwa ujumla, miongozo ya kawaida inapendekeza:
Watu wazima: Takriban lita 2-3 za maji kwa siku.
Wanawake: Karibu lita 2.2 (glasi 8-9).
Wanaume: Karibu lita 3 (glasi 10-12).
Watoto: Wanapaswa kunywa kiasi kinacholingana na umri wao, lakini karibu glasi 6-8 za maji zinafaa kwa watoto wenye umri wa zaidi ya miaka 8.
Mambo ya kuzingatia:

Shughuli nyingi za mwili:

Unahitaji kunywa maji zaidi unapofanya mazoezi au unapokuwa kwenye hali ya hewa ya joto ili kuzuia upungufu wa maji mwilini.
Vyakula vyenye maji:

Matunda na mboga k**a tikiti maji, tango, na machungwa pia huchangia katika ulaji wa maji wa kila siku.
Wakati wa kunywa maji:

Kunywa maji taratibu siku nzima badala ya kunywa mengi kwa wakati mmoja.
na pia kuepuka upungufu wa maji ambao unaweza kusababisha uchovu na matatizo mengine ya kiafya

Ili kupata usingizi wa kutosha na afya bora, inashauriwa kulala kati ya masaa 7 hadi 9 kwa usiku mmoja kwa mtu mzima.Wak...
06/09/2024

Ili kupata usingizi wa kutosha na afya bora, inashauriwa kulala kati ya masaa 7 hadi 9 kwa usiku mmoja kwa mtu mzima.
Wakati mzuri wa kulala unategemea ratiba yako ya kila siku.
lakini ni muhimu kuhakikisha unapata muda wa kutosha wa kupumzika.

Kwa mfano, k**a unataka kuamka saa 6:00 asubuhi, ni vizuri kulala kati ya saa 9:00 hadi saa 11:00 usiku.
kuweka ratiba ya kulala inayotabirika husaidia kupata usingizi bora na afya njema.

Tango Lina Faida Nyingi Kiafya, Hasa Unapokula Mara Kwa Mara.Hapa kuna baadhi ya faida za kula tango:Kuhydrate Mwili:Tan...
06/09/2024

Tango Lina Faida Nyingi Kiafya, Hasa Unapokula Mara Kwa Mara.

Hapa kuna baadhi ya faida za kula tango:
Kuhydrate Mwili:

Tango lina zaidi ya asilimia 95 ya maji, hivyo husaidia kuuweka mwili na ngozi kwenye unyevu, na kuboresha afya ya jumla.
Kuboresha Afya ya Ngozi:

Tango Lina vitamini C na antioxidants ambazo husaidia kupambana na uvimbe wa ngozi na kuondoa madoa. Pia, lina sifa ya kulainisha na kufanya ngozi iwe nyororo.
Kusaidia Kupunguza Uzito:

Tango lina kalori kidogo, na kwa kuwa lina kiwango kikubwa cha maji na nyuzinyuzi, husaidia kujaza tumbo na kukupatia hisia ya kushiba bila kuongeza kalori nyingi.
Kuboresha Mmeng’enyo wa Chakula:

Tango lina nyuzinyuzi ambazo husaidia kuboresha mmeng'enyo na kuzuia tatizo la kufunga choo (constipation).
Kupunguza Uvimbe na Uchochezi:

Tango lina virutubisho ambavyo husaidia kupunguza uvimbe mwilini, ikiwemo uchochezi unaosababishwa na magonjwa k**a vile arthritis.
Kuboost Mfumo wa Kinga:

Tango lina vitamini C, ambayo inaboresha kinga ya mwili na husaidia kupambana na maambukizi.
Kuboresha Afya ya Moyo:

Tango lina madini ya potasiamu, ambayo husaidia kudhibiti shinikizo la damu, na hivyo kusaidia afya ya moyo.
Kusaidia Detoxification:

Maji na antioxidants yaliyomo kwenye tango husaidia kutoa sumu mwilini, kuboresha afya ya figo, na kusaidia mwili kusafisha mfumo wa damu.
Kwa hivyo, kuongeza tango kwenye mlo wako wa kila siku ni njia bora ya kuimarisha afya yako kwa ujumla.

EcoHealth Tips:Tuko hapa kutoa vidokezo vya afya asilia, mapishi yenye virutubisho, na mbinu za maisha rafiki wa mazingi...
04/09/2024

EcoHealth Tips:
Tuko hapa kutoa vidokezo vya afya asilia, mapishi yenye virutubisho, na mbinu za maisha rafiki wa mazingira kwa maisha yenye afya na furaha.
Karibu Sana.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EcoHealth posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share