Furahia Afya Bora1

Furahia Afya Bora1 Ninatatua CHANGAMOTO za Magonjwa yote SUGU kwa kutumia virutubisho lishe vya asili, wasiliana nami kupitia whatspp/Call +255682876988

GESI • ACID • CHOO KIGUMU • BAWASIRI
Narejesha afya ya mmeng’enyo wa chakula
🌿 Afya ni Mali Afya ni Uhai
📩 Nitumie DM/WHTSAPP Uanze Tiba/Ushauri
🇹🇿255-629-609-936

28/08/2026

Je, Unachangamoto k**a hizi?

28/08/2026

Unakunywa Maji kiasi gani kwa siku?

27/08/2026

Madaha ya ugonjwa acid reflux

23/08/2026

USIPUUZE dalili hizi za Acid Reflux

# #

19/08/2026

FAHAMU UGONJWA WA TONSILS

12/08/2026

UNATOKA DAMU BAADA YA KUJISAIDIA?
(+255629609936)

12/08/2026

Colonoscopy ni uchunguzi unaotumia bomba jembamba lenye kamera (colonoscope) kuangalia ndani ya utumbo mpana (colon) na rektamu. Mbali na kuchunguza, pia unaweza kutumika kutibu baadhi ya matatizo wakati huo huo.

Kazi kuu za colonoscopy ni:

1.Kugundua saratani ya utumbo mpana mapema.
2.Kugundua na kuondoa polyps (uvimbe mdogo ambao unaweza baadaye kuwa saratani).
3.Kuchunguza chanzo cha damu kutoka kwenye haja kubwa.
4.Kutafuta sababu ya kuharisha au kufunga choo kwa muda mrefu.
5.Kuchunguza maumivu ya tumbo yasiyoeleweka.
6.Kuchunguza kupungua uzito bila sababu inayojulikana.
7.Kuchukua kipande cha tishu (biopsy) kwa uchunguzi wa maabara.
8.Kutambua magonjwa ya uchochezi wa utumbo k**a ugonjwa wa Crohn's disease na ulcerative colitis.
9.Kufuatilia wagonjwa waliowahi kuwa na polyps au saratani ya utumbo baada ya matibabu.
10.Wakati mwingine kusimamisha damu inayotoka ndani ya utumbo au kuondoa baadhi ya vitu vilivyokwama.

Kwa kifupi, colonoscopy ni kipimo muhimu cha kugundua, kuthibitisha, na wakati mwingine kutibu magonjwa ya utumbo mpana, hasa katika kuzuia na kugundua saratani ya utumbo mapema.
#

12/08/2026

Tumia huu Mchanganyiko

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Furahia Afya Bora1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Furahia Afya Bora1:

Shortcuts

Share