Afya suluhisho

Afya suluhisho Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya suluhisho, Medical and health, Dar es Salaam.

05/06/2026
05/06/2026

Usikubali kuteseka na tatizo lolote suluhisho lipo na tatizo linaisha kabisa..

*JE, MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE NI YA KAWAIDA AU TATIZO..?*  Leo nimeamua kuvunja ukimya kwa kutoa eli...
22/08/2025

*JE, MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE NI YA KAWAIDA AU TATIZO..?*


Leo nimeamua kuvunja ukimya kwa kutoa elimu ya kitaalamu kuhusu jambo hili linalowaumiza kimya kimya wanawake wengi, Bila msaada sahihi...

Maumivu wakati wa tendo siyo mapenzi, ni ujumbe wa mwili kuomba msaada...

Usiache hili liendelee kukuumiza kimya kimya, Leo tutaweka wazi tatizo, chanzo, na njia sahihi za tiba.

Wanawake wengi hupitia, maumivu makali wakati wa tendo la ndoa k**a kawaida, wakihisi labda ni kwa sababu ya "kukosa uzoefu" au "kubana sana" 🍑

*Lakini ukweli wa kisayansi ni huu...*

Maumivu ya mara kwa mara wakati wa tendo la ndoa (Dyspareunia) ni DALILI ya tatizo la kiafya au kisaikolojia...

Na bila uchunguzi sahihi, linaweza kuendelea kuwa kubwa zaidi, likisababisha hofu, msongo wa mawazo, kupoteza hamu ya tendo, au hata migogoro ya kimapenzi...

*Kwa pamoja Tuone chanzo cha tatizo...👇*

↳ Maambukizi ukeni (U.T.I, PID, fangasi)

↳ Ukavu ukeni – hasa kwa wanawake waliopo kwenye stress au mabadiliko ya homoni..

↳ Msongo wa mawazo na hofu ya tendo la ndoa (psychological trauma.)

↳ Misuli ya uke kubana sana (vaginismus)

↳ Matatizo ya via vya uzazi (k**a uvimbe kwenye kizazi)

↳ Kutoandaliwa vya kutosha kabla ya tendo la ndoa..

*Ni hatua gani ya kwanza kuchukua, Ukigundua tatizo hili la maumivu wakati wa tendo...*

↳ Mwone daktari bingwa wa afya ya wanawake (Gynecologist) kwa uchunguzi wa kina, Pap smear, ultrasound ya nyonga, na vipimo vya maambukizi.

↳ Tatizo likigundulika mapema, tiba huwa rahisi na haina madhara....

↳ Ukigundulika una PID, UTI au fangasi —Unatibiwa na dawa sahihi...

↳ K**a ni ishu ya uke mkavu kutokana na hormone imbalance, Nitakuja na elimu soon

*NB:* Tendo la ndoa linapaswa kuwa tamu, si mateso, Maumivu sio ya kawaida, na hayapaswi kuvumiliwa...

26/07/2025

Changamoto ya sukari suruhisho limefika....piga 0617232715

0617232715
12/02/2025

0617232715

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya suluhisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share