27/04/2026
MVUVI NYOKA inakuja kutufungua macho juu ya hatari ya tamaa. Anko Sekalema alitafuta utajiri wa haraka mtoni, akadhani amepata bahati, kumbe amebeba laana inayotambaa.
Picha hii inaonyesha saa ya majuto. Wakati mwingine adui hatuvamii kwa mapanga, anaingia kupitia vitu tunavyotamani na uzembe wetu wa kutaka mafanikio bila jasho. Je, nguvu ya jani la ajabu itamwacha salama, au atabaki kuwa kiumbe hiki cha kutisha milele?
Somo letu ni hili: Usikubali tamaa ya muda mfupi ikupotezee ubinadamu wako na amani ya familia yako!
Share picha hii ili kuonya wengine kuhusu mitego ya giza. Video kamili inakuja kesho.