Dr Buberwa Herbal Products

Dr Buberwa Herbal Products Herbal remedies are safe and effective alternative treatments of various diseases and for sustainable health care.

RISE UP NATURAL HERBAL Inatibu magonjwa k**a: Asthma, Maumivu ya viungo, Diabetes, High blood pressure (BP), Vidonda vya...
25/01/2017

RISE UP NATURAL HERBAL
Inatibu magonjwa k**a:
Asthma, Maumivu ya viungo, Diabetes, High blood pressure (BP), Vidonda vya tumbo (ulcers), Typhoid, Inaongeza CD4, Ukosefu wa usingizi (Insomnia) na mengine

Rudisha furaha ndani ya familia yako kwa kumaliza kabisa tatizo la malaria na malaria sugu kwako na kwa wapendwa wako,kw...
16/01/2017

Rudisha furaha ndani ya familia yako kwa kumaliza kabisa tatizo la malaria na malaria sugu kwako na kwa wapendwa wako,kwa kutumia MUSHANA dawa iliyoandaliwa na mimea asili bila kuchanganywa na kemikali hata kidogo.Kwa maelezo Zaidi wasiliana na tabibu wetu moja kwa moja kupitia 0767 700 900.

Dawa yetu ya LIFE inatibu na kuzuia magojwa k**a UTI na STD's?LIFE hujenga na kuimarisha Ubongo na mfumo wote wa fahamu ...
09/01/2017

Dawa yetu ya LIFE inatibu na kuzuia magojwa k**a UTI na STD's?LIFE hujenga na kuimarisha Ubongo na mfumo wote wa fahamu pamoja na kuimarisha misuli na mifumo mingineyo ya mwili.Jipatie tiba hii mikoani kote na makao makuu ya JKB Tanzania hapa Ubungo Plaza Ground Floor au wasiliana nasi 0767 700 900

 Moja ya faida za Tango ni kupunguza tatizo la pressure sababu tango lina potasium inayofanya kushuka pressure kwa urahi...
07/01/2017


Moja ya faida za Tango ni kupunguza tatizo la pressure sababu tango lina potasium inayofanya kushuka pressure kwa urahisi na salama,tuambie faida nyingine ya tango kwa afya ya binadamu

Ni wakati wako wa kuanza mwaka mpya kwa kurudisha furaha na upendo uliopotea kwa kushindwa kumfurahisha mwenzi wako.Dawa...
04/01/2017

Ni wakati wako wa kuanza mwaka mpya kwa kurudisha furaha na upendo uliopotea kwa kushindwa kumfurahisha mwenzi wako.Dawa yetu SG iliyotengenezwa kwa miti shamba ndio suluhisho la matatizo yote ya nguvu za kiume na inapatikana kwa bei rahisi na kukufikia popote ulipo.Wasiliana nasi 0767 700 900

Happy New Year
01/01/2017

Happy New Year

Explore a few of the many ways herbs can be used outside of the kitchen for health and wellness with 10 Uses for Herbs B...
31/12/2016

Explore a few of the many ways herbs can be used outside of the kitchen for health and wellness with 10 Uses for Herbs Besides Cooking!

10 uses for herbs outside the kitchen. From making your skin smell good to relieving headaches and helping you get a better night's sleep.

The management of JKB INTERNATIONAL wish everyone of you a merry Christmas and Prosperous New Year 2017
25/12/2016

The management of JKB INTERNATIONAL wish everyone of you a merry Christmas and Prosperous New Year 2017

Inaondoa maumivu ya kichwa kisababishwasho na macho, Kipanda uso, Maumivu ndani ya macho,macho kuwa mekundu, Ukavu wa ma...
22/12/2016

Inaondoa maumivu ya kichwa kisababishwasho na macho,
Kipanda uso, Maumivu ndani ya macho,macho kuwa mekundu, Ukavu wa macho,kuona ukungu na itumie ili ulinde macho yako.

Njia bora ya kupiga mswakiKwanza madaktari wanasema kwa kuwa dawa ya meno hukwaruza na wakati mwingine inaweza kuwa ngum...
20/12/2016

Njia bora ya kupiga mswaki

Kwanza madaktari wanasema kwa kuwa dawa ya meno hukwaruza na wakati mwingine inaweza kuwa ngumu kuliko jino, inashauriwa kutumia kiasi kidogo cha dawa ya meno.

Pili, pinda kidogo mswaki kutoka kwenye mwisho wa fizi, kisha kwa utaratibu kabisa, piga mswaki kutoka kwenye fizi kwenda chini. Hakikisha kwamba mswaki unapigwa sehemu zote za meno, ndani na nje.

Tatu, piga mswaki pole pole kwenye nncha za meno za kutafunia. Ili kusafisha sehemu ya ndani ya meno ya mbele, shikilia mswaki wima na kisha piga mswaki kutoka kwenye fizi hadi katika sehemu ya kutafunia. Mwisho, kabla ya kumaliza, hakikisha unapiga mswaki ulimi na sehemu ya juu ya kinywa

Address

Dar Es Salaam
0701

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Buberwa Herbal Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share