DAWA ZA ASILI

DAWA ZA ASILI Boresha Afya kwa products zenye high QUALITY

NA NGUVU ASILIA bila chemicals kutoka (USA) America

Kwa wale watoto wanaosumbuliwa na tatizo la macho. kitu kipya hicho apo, inaitwa sharp Vision smart Kids😊
30/07/2024

Kwa wale watoto wanaosumbuliwa na tatizo la macho. kitu kipya hicho apo, inaitwa sharp Vision smart Kids😊

BF Suma ArthroXtra Tablets is a natural bone & cartilage supplement combining glucosamine and chondroitin for more motio...
17/03/2023

BF Suma ArthroXtra Tablets is a natural bone & cartilage supplement combining glucosamine and chondroitin for more motion.

The amino acid of glucosamine has anti-inflammatory effects, which have also been shown to support regeneration of cartilage, which is primarily in joints and connective tissues. Chondroitin is a major cartilage component which contributes to the maintenance and nutrition of water inside the joints..

Kwa kurudisha ute ute kwenye maungio ya mifupa, na kuondoa maumivu ya miguu, mgongo, kiuno n.k
Karibu tukuhudumie tiba hiyo apo +255658486037.

Femicare ni dawa ya Asili kutoka USA hutumiwa na wanawake.. na haina kemikali 100%1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu n...
29/07/2021

Femicare ni dawa ya Asili kutoka USA hutumiwa na wanawake.. na haina kemikali 100%

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D
4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)
9⃣ inaondoa michubuko ukeni, vidonda na vijipele vyote.

🔸Uke ni sehemu ya wazi yenye unyevu unyevu ni rahisi Kuvurugwa na kupata Maambukiz ya Mara kwa mara, Utibu na Utunze kwa kutumia Femicare feminine cleaner, Kiboko ya Maambukizi yote Ukeni na kwenye via vya Uzazi,.Jipatie kwa Tsh 40,000 Tu. piga +255658486037, Tupo dar na mikoan tunatuma

Ulisikia Kuhusu Pelvis Inflammatory Disease au P.I.D? Hii Ni maambukiz Katka Njia ya kutolea haja ndogo, ambayo husababi...
02/12/2020

Ulisikia Kuhusu Pelvis Inflammatory Disease au P.I.D?

Hii Ni maambukiz Katka Njia ya kutolea haja ndogo, ambayo husababishwa na bacteria waaribifu wanapoingia sehemu hizo, Kupanda Juu had kukutana na washukao Kutoka katika Mwanzo wa mfumo huo huo wa haja Ndogo pamoja na mlango wa Kizaz,

Hufanya Makutano kati na huleta miwasho iambatanayo na Maumivu makal,

Maumivu huendelea wakati hadi wakati ila huongezeka zaid Kutokana na msukumo wa tendo La ndoa ambapo bacteria hao waaribifu huendelea Kupandishwa Juu zaid na Kusambaa katika Kuta za Kizaz, Mlango wa Kizaz na Maeneo Mengine,
Huaribiwa na Kumegwamengwa..,

MATOKEO YA HALI HII

_Uchafu mzito au wenye Ugumu wa Kukera

_Maumivu makali chin ya kitovu had pemben ya Kiuno

_Ufikaji wa wadud hao katika damu huleta homa za mara kwa Mara au homa ndefu

_Hedh ya tofaut huvurugika itakayojitengenezea uvimbe Katika Ovaries na changamoto ya Kubeba Ujauzito kwa wahitaj..

CHANZO CHA TATIZO LA P. I. D

_UASHERATI
_Utoaji hovyo wa Ujauzito

_Kukaa na Matatizo madogo madogo Kwa Muda mrefu yahusuyo sehemu hizo

_weak Immunity ya Kukosa Lishe Imara

_Matumiz mabaya ya dawa mbaliMbal

_Msongo wa Mawazo na Uzaz Kwa waliojifungua na Kukosa Maji Rasmi ya Kutosha.

*Tatizo hili hutibika na kupona Moja Kwa Moja Endapo Ukifuata Dosage na Kuish Katika Mpangilio ufaao..

*Wahi mapema Mara pind Uonapo Dalil Kwan Hubadilika hatua had hatua na Kuleta hali ya sintofahamu...

Ikiwa una changamoto ya viungo Kuuma, mifupa kusagana, kuishiwa ute na shida yeyote katika maungio ya mifupa, karibu tuk...
30/07/2020

Ikiwa una changamoto ya viungo Kuuma, mifupa kusagana, kuishiwa ute na shida yeyote katika maungio ya mifupa, karibu tukuhudumie kwa tiba isiyo na Madhara yenye kurudisha gegedu upya na madini muhimu katika mwili..,

Zimethibitishwa na Mamlaka zote za viwango ulimwengun.

Kwa mawasiliano Zaid +255658486037. Karibu

JE, UMEKUWA NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU YA KIUME?X Power Coffee ni dawa maalumu, iliyopo katika Hali ya kahawa (coffee...
19/07/2020

JE, UMEKUWA NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU YA KIUME?

X Power Coffee ni dawa maalumu, iliyopo katika Hali ya kahawa (coffee) Ni special kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.

Coffee hii hufanya kazi zifuatazo:-
✅Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa

✅Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajili Ya Umri Na Kisukari/Presha

✅Huondoa Uchovu
✅Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume

✅Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama

✅Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo

✅Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi
✅Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu

✅Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege

✅Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa K**a Wa Mtoto

✅Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume, pia huweka Hali ya mwanaume kujiamini.

Ni ya Asili, yenye viambata vya mimea na mitishamba zaidi ya Vinne ambayo haina caffeine, hivyo mtu yeyote aliye mwanaume anaeitaji kujitibu au kiburudisho chenye Kinga hutumia.

🌷Haina Madhara yeyote Na inasaidia moja kwa moja na Kuweka Kinga., Imetengenezwa katika viwango vya juu na kutibitishwa na mashirika yote ya viwango ulimwengun.

PIGA +255658486037. Kwa maelezo Zaid na Kuipata popote ulipo

Kwanini uchague bfsuma Feminerg? Karibu uzijue faida za vidonge vya Feminerg, hii Ni kwa yeyote anaependa ngozi yake isi...
21/06/2020

Kwanini uchague bfsuma Feminerg?

Karibu uzijue faida za vidonge vya Feminerg, hii Ni kwa yeyote anaependa ngozi yake isichakae na kuzeeka mapema,

1️⃣ Huchelewesha Hali ya ngozi kufubaa, na kuinyoosha sababu huzalisha chembe hai nyingi na kuondoa silizochoka
2️⃣ Kufanya ngoz kuwa na muonekano wa kijana, Kuipendezesha Na kuondoa Makovu sugu
3️⃣ Husafisha na kudumisha Afya ya viungo vya ndan K**a Ini, Figo, Mapafu n.K, huboresha utendaji wake wa kazi bila kuchakaa mapema.
4️⃣ Hukomesha Ngozi kuwasha, kuwaka Moto, uchovu na kizunguzungu
5️⃣ Feminerg hupambana na Athari mbaya zitokanazo na mionzi ya Simu,
Runinga, computer n.K
6️⃣ Hukuza usawa wa Homon kwa wanawake wa kati, na wazee, HUTUMIWA NA JINSIA ZOTE,

NB; Hizi Ni supplements (virutubisho) vyenye mchanganyiko wa Divai ya asili, (zabibu), vilivyotengenezwa katika technologia ya Hali ya juu na kutibitishwa na Mamlaka zote za viwango ulimwengun.
AFYA YAKO NDIYO MAISHA YAKO.

KARIBU NIKUHUDUMIE KWA SIMU NAMBA +255658486037, au +255744592652

Inaitwa Doctor Teeth (Dr Ts) Dawa ya meno Bomba kabisa, kiboko ya meno mabovu.KAZI YAKE. 1⃣ ina herbal factor yenye uwez...
20/08/2019

Inaitwa Doctor Teeth (Dr Ts) Dawa ya meno Bomba kabisa, kiboko ya meno mabovu.

KAZI YAKE.
1⃣ ina herbal factor yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu maumivu ya jino na cleaning factor ambayo hung'arisha meno kuwa meupe
2⃣ Ina Green_Tea ambayo huondoa harufu mbaya ya kinywa
3⃣Kuzuia Meno kuambukizana kuuma kwa wale waliowah kung'oa jino
4⃣Inatibu fangas za mdomon na kuondoa sensitivity ya meno (hali inayotokoea kwenye meno pindi mtu anapouma kitu kigumu au msuguano wa vitu vya saut ukwas)
5⃣ Ina Honeysucke ambayo huzuia fizi kuvimba pia Notoginseng ambayo huzuia fizi kutoa damu, na kuondoa kichefuchefu..

Dawa hii ni Natural (Ya mitishamba) imetengenezwa katika viwango vya juu nchin Marekan na kuthibitishwa na mamlaka yote ya vyakula na dawa ulimwengun..
Bei yake ni shilling elfu 20 tu.. piga 0658486037 au 0744592652 kuipata ulipo

ANATIC HERBAL SOAP NA OLIVE OIL REPAIR SOAP, Ni sabuni zenye maajabu sana. piga 06584860371) KUONDOA CHUNUSI NA MADOA kw...
21/04/2019

ANATIC HERBAL SOAP NA OLIVE OIL REPAIR SOAP, Ni sabuni zenye maajabu sana. piga 0658486037

1) KUONDOA CHUNUSI NA MADOA
kwanza zinatoa chunusi sugu zote na madoa yote mwilini, kwa watoto na vijana, na wazee wenye mapunye au utangatanga, hapa ni mwisho

2) KUONDOA MIKUNJO YA NGOZ
kuzuia na kuondoa mikunjo ya ngoz, mikunyanz ya uson pia hufanya matit yasilegee sana iwapo unatumia kujifanyia massage ya Mara kwa mara

3) KUONDOA WEUSI KWAPAN NA SEHEMU ZA SIRI MAPAJAN
watu wengi sana wakati wa kijinyoa wanajikata, sabun hii inatoa na kuzuia takataka za makovu ya wembe, inazuia ngoz kufubaa kwa kurekebisha seli za ngoz zilizokufa

4) KUONDOA MAGAGA NA SUGU
zinarekebisha seli zilizokufa kwenye ngozi hivyo zinaondoa taka taka zote zisizohitajika kwenye ngoz ikiwemo magaga na sugu

5) M,MBA NA FANGASI ZA MIGUUNI
zinatoa mmba wote kichwani, fangasi za miguuni kwa wanaovaa viatu muda mrefu, kumaliza tatizo la miwasho ya ajabu mwilin

6) TUMIA KUSHEVIA NA KUNG'ARISHA MENO
unaitumia pia wakati wa kushave ili kuzua mapele, pia inapita mpaka mdomon K**a Una meno machafu yasiyosikia dawa hung'arisha, na Ina harufu nzuri ambayo ikikuelewa unaweza usiugue mafua ovyo.

7) INATIBU MAUMIVU YA MISULI
hii huzuia na kutibu midomo iliyopasuka, kurudisha unyevu unyevu kwenye ngoz na pia hutumiwa kufanyia massage kwa kupunguza maumivu ya viungo

8) KUONDOA HARUFU YA KIKWAPA
inazuia na kutibu tatizo la jasho kali, harufu mbaya ya kwapan na ni nzur kwa kuogea kwasababu huondoa miwasho ya ajabu ajabu yote mwilin

haichui na haina kemikali 100% iko Natural.. inaipa ngozi Afya yenye asili nzur ya kupendeza.. piga 0658486037 au 0744592652
zimetengengezwa katika maabara maalum na wataalamu wa Afya nchin USA na kuthibitishwa na TFDA na mashirika yote ya viwango, ipo ya mwenye ngoz kavu, na mwenye ngoz ya mafuta, pia hutumiwa na wote.

Penda ngozi yako sasa kwa kutumia kitu chenye high quality kutoka Marekan,. BEI NI elfu kumi tu. (10,000) UKIWA MKOAN UNALIPIA YA USAFIRI, DAR UNAWEZA KUFIKA OFISIN AU UNALETEWA ULIPO KWA DELIVERY POA KABISA. piga 0658486037.

Asilimia kubwa ya wanaume sasa husumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu wakati wa tendo, hii ni kutokana na kubadilika kwa ...
07/04/2019

Asilimia kubwa ya wanaume sasa husumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu wakati wa tendo, hii ni kutokana na kubadilika kwa Lifestyle na Mfumo m,bovu wa vyakula,. sababu nyingi K**a....

SABABU ZA KUKOSA NGUVU ZA KIUME

1⃣mzunguko wa damu wa kwenye uume haupo sawa, mishipa ya kwenye uume huwa inakufa kutokana na sababu k**a UMRI, KISUKARI, MOYO au KOVU lililoletwa kwa kuumia.

2⃣ Hisia kushindwa kufika kwenye ubongo wa mwanaume, hivyo kupelekea kukosa hamu au kua na uchovu

3⃣Mshipa wa damu wa vein wa kwenye uume (corpus carvenousum) hushindwa kuzuia damu kwenye uume na kumfanya mwanaume kushindwa kusimamisha

4⃣PUNYETO, mwanaume anapopiga punyeto Mara kwa Mara Anaminya Misuli ya kwenye uume na kuiuwa, hivyo husababisa uume kulegea na kukosa Nguvu ya kusimama barabara

5⃣sababu za kisaikolojia k**a stress za kaz, kutokujiamini, msongo wa mawazo (depression), mahusiano mabaya n.k

6⃣Unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara.
pombe na sigara zina kemikali na sumu zinazoathiri mwili hususani viungo vya uzazi kwa mwanaume.

7⃣Uzito/kitambi hufanya damu kushindwa kupita ipasavyo katika mishipa iliyozungukwa na mafuta had kufika vizurkwenye uume, hvyo mwanaume hushindwa kurudia tendo zaid.

8⃣Matatizo ya Tezi dume

JIPATIE X_POWER MAN YA VIDONGE AU X_POWER COFFEE (kiburudisho cha kahawa) zilizotengenezwa kwa tekonolojia ya hali ya juu kwa mtishamba wa fresh macca na Epimedium ambao unapatikana nchini Peru, ambayo haina kemikali 100% kuponya Tatizo hili. piga +255658486037

KAZI YAKE

1⃣hufanya uume kusimama barabara hadi kukamilisha tendo katika kiwango cha hali ya juu

2⃣ufanya mbegu kuwa nyingi, zenye rutuba na uwezo wa kuzalisha kwa wanaume wagumba

3⃣ Ina vitamin B ambavyo huondoa uchovu, stress na maumivu ya mgongo

4⃣ huweka mfumo wa damu sawa kufika hadi kwenye uume

5⃣huongeza nguvu na hufanya mwanaume asichoke haraka na kukaa Muda mrefu tendon

6⃣ huongeza uzalishwaji wa homoni ya kiume hvyo hufanya mwanaume arudi katika viwango vyake vya ujanani.

7⃣huburudisha na kuipa heshima ya ndoa.

TUWASILIANE ZAID KWA TIBA NA USHAUR WA BURE +255658486037, 0744592652

Bawasiri ni hali kupata pressure kwa mishipa ya damu midogo sehemu ya haja kubwa, kupasuka na damu kuganda hvyo hujikusa...
23/03/2019

Bawasiri ni hali kupata pressure kwa mishipa ya damu midogo sehemu ya haja kubwa, kupasuka na damu kuganda hvyo hujikusanya kwa pamoja na kujitokeza k**a vinyama katika Maeneo ya haja kubwa. pia huitwa hemorrhoids au mgolo

AINA ZA BAWASIRI
1)Bawasiri ya ndani
2)Bawasiri ya nje.
huwenda ukahis maumivu au usihis chochote, inaweza kujitokeza wakat wa haja na kurud yenyewe au kuirudisha.

DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI
1) Kuhis miwasho na maumivu sehemu ya haja kubwa
2) kinyesi kuchanganyika na damu
3) kinyesi kuvuja, au chenye harufu mbaya mno
4) kujitokeza kwa kinyama sehemu ya haja kubwa

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI
1) kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu
2) kufanya mazoez magumu yanayokaza misuli ya haja kubwa
3) ujauzito au Uzito kupitiliza,
4) Mapenz kinyume na maumbile
5) kutokupata choo, au kupata kigumu, hii ni sababu moja wapo kubwa inayotesa wengi kwa maisha ya sasa.

TIBA YAKE_Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo wengi ilirudi baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na kutokutibiwa chanzo cha tatizo
_Sasa unaweza kutibu tatizo hili kwa kutumia virutubisho kutoka USA vilivyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ambavyo havina kemikali 100% kutibu tatizo hili bila upasuaji kwa muda mfupi Sana, pia kuondoa miwasho, maumivu na kuweka sawa mfumo mzima wa mmeng'enyo wako wa chakula PIGA +255658486037 au +255744592652

Madhara ya kukaa na tatizo hili kwa muda mrefu ni kwamba kuweza kubadilika kuwa cancer enda ikipata infection, kupata cancer ya utumbo kwa kufuga kidonda, kukosa hamu ya tendo, Anaemia kutokana na kuvuja damu, miwasho, kero, maumivu na kuathirika kisaikolojia,

TUWASILIANE +255658486037 au +255744592652 kwa bidhaa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa wanaopata choo kigumu, kukosa choo na Bawasiri yenyewe kwa ujumla.

watu wengi husafisha miili yao kwa kuoga nje tu, hali ya kuwa ndani ni wachafu sana, wengine hushindwa hata kupona magon...
10/03/2019

watu wengi husafisha miili yao kwa kuoga nje tu, hali ya kuwa ndani ni wachafu sana, wengine hushindwa hata kupona magonjwa ya ngoz na ngoz zao ni chafu, kutokupata choo kwa wakati, kupata choo kigumu na hata kupata Bawasiri kutokana na mlundikano wa uchafu tumbon na sumu za mwilin.
Ni muda wako wa kutumia contiRelax virutubisho visivyokuwa na kemikali 100% ili kusafisha mwili wako na kujikinga

FAIDA ZA CONSTRELAX
1) Huondoa sumu zote mwilin za madawa yenye kemikali, kusafisha utumbo na kupendezesha ngoz zenye upele na mikunyanz
2)Kuweka sawa mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula
3) Hufanya mtu kupata choo kilaini na kwa wakati
4)Huzuia kupata Bawasiri, vidonda vya tumbo na kuvitibu
5)huondoa maumivu ya tumbo, tumbo kuunguruma na kujaa gesi

COSTRELAX INA NGUVU ASILIA, VIMETHIBITISHWA USA NA TFDA.. TUWASILIANE KWA KUVIPATA NA USHAURI ZAID +255658486037 au +255744592652

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAWA ZA ASILI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DAWA ZA ASILI:

Share